Goodluck Gabriel

1.1K posts

Goodluck Gabriel

Goodluck Gabriel

@GoodluckGa57644

Power of secrety @ccm political party @Miners Tanzania career

Katılım Mayıs 2024
62 Takip Edilen47 Takipçiler
Goodluck Gabriel retweetledi
Mchambuzi
Mchambuzi@Baraza_Kuu·
Tanzania Kupanda katika viwango vya nchi zenye mazingira bora ya uwekezaji Afrika ni ishara ya kuwepo kwa jitihada za maksudi za Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Uongozi wa Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan. Hatua mojawapo ni ya hivi karibuni tu, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Mipango na Uwekezaji), Profesa Kitila Mkumbo kukabidhi hati za ardhi kwa wawekezaji sita katika Mji Maalumu wa Kiuchumi wa Bagamoyo (BEMC SEZ) Prof. Kitila alibainisha kuwa mwaka 2024 Tanzania ilikuwa nafasi ya 11 kwa uwekezaji Afrika na mwaka huu imepanda na kufikia nafasi ya tisa ikiongozwa na Kisiwa cha Shelisheli, Mauritius, Misri, Afrika Kusini, Morocco, Ghana, Algeria na Ivory Coast. Profesa Kitila alisema Serikali ilianzisha programu za vielelezo saba kote nchini ambazo ni utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo ya 2050 na Eneo Maalumu la Kiuchumi la Bagamoyo ni mojawapo. Sambamba na hilo, imesema kwa mwaka 2025 miradi ya uwekezaji iliyosajiliwa imeongezeka na kufikia 915 yenye thamani ya Dola za Marekani bilioni 10.95. Aidha, katika eneo hilo lenye ekari 9,800 Serikali inatarajia kujenga Bandari ya Bagamoyo, ukanda maalumu wa ujenzi wa meli na kituo cha usafirishaji, kituo maalumu cha matumizi ya nishati safi na eneo litakojengwa mji mpya wa kisasa. “Sisi ni wa tisa kwa kuwa na mazingira bora ya uwekezaji Afrika, na kabla ya mwaka 2021 Tanzania kwenye orodha ya nchi zinazovutia uwekezaji ilikuwa haionekani sasa hivi tumewazidi majirani,” alisema Profesa Kitila. Prof Kitila amesisitiza kuwa eneo hilo lina maeneo 60 ya uwekezaji na Serikali imeanza na wawekezaji sita watakaowekeza katika ujenzi wa viwanda na chuo, akisisitiza wawekezaji kujitokeza. miradi hiyo itakapotekelezwa, Sh trilioni nane zinatarajiwa kuwekezwa katika eneo hilo ikiwa ni uwekezaji mkubwa kutoka ndani na nje ya nchi.
Mchambuzi tweet media
Indonesia
0
5
5
73
Goodluck Gabriel retweetledi
The Insight Council
The Insight Council@insightcouncil_·
Things are getting even better in the tourism sector in Tanzania after the Port of Kilwa, in the Lindi region, received the cruise ship Le Bellot with over 150 tourists from various nations worldwide. This grand reception, which brought together the Tanzania Tourist Board (TTB), the Tanzania Wildlife Management Authority (TAWA), and private sector stakeholders, aims to strengthen cruise tourism and promote the historical wealth of the Kilwa Kisiwani Ruins. This is the second ship to be received in the country within a short period, after another ship carrying over 500 tourists arrived recently—a situation that confirms that cooperation between the government and the private sector is driving a new pace of growth for the blue economy across both the Mainland and Zanzibar. This flourishing of tourism is accompanied by a heavy message from the Chief Government Spokesperson, Gerson Msigwa, who urged the youth to seize opportunities instead of complaining. Speaking on February 12, 2026, Msigwa emphasized that the Sixth Phase Government has created an enabling environment, including providing the youth with their own official ministry to be the source of economic liberation. This message is a call for youth to recognize their position as the nation’s labor force and use every opportunity arising in the tourism sector and other areas to uplift their lives. Responding to this call, youth in the country, especially in coastal regions like Lindi, have a unique opportunity to turn this tourism into a source of income through various activities. Instead of waiting for office jobs, youth can involve themselves in providing tour guide services using knowledge of our history, or start modern marine and land transport projects. Additionally, opportunities exist in arts and crafts by making traditional products, starting traditional food restaurants with international standards, and using technology in photography and digital marketing to promote Tanzania to the world. By doing this, youth will not only create jobs but will be an important engine for strengthening the tourism sector and eradicating hunger in the country.
The Insight Council tweet media
English
1
1
2
49
Goodluck Gabriel retweetledi
Mchambuzi
Mchambuzi@Baraza_Kuu·
Usiku wa Februari 14, huku zulia jekundu (Red Carpet) katika ukumbi wa The Super Dome Masaki likiwaka moto kwa nakshi na mitindo, ujumbe mmoja mzito ulitawala anga: Filamu za Tanzania sasa ni biashara ya kimataifa, si mradi wa sinema tu, na vijana lazima kujipamnga kuvuna fursa hizo. Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa, amewataka wasanii nchini kubadili ‘script’ za kazi zao na kuandika hadithi zitakazoshindana duniani na kuleta fedha za kigeni (Dola), akisisitiza kuwa serikali imeshaweka mazingira ya "High Definition" (HD) kwa ajili yao. Katika kilele cha hotuba yake, Msigwa alibainisha kuwa mpango wa Rais Samia Suluhu Hassan wa kujenga studio ya kisasa ya Shilingi Bilioni 150 ni ishara tosha kuwa safari ya ushindi katika tasnia ya filamu imeanza. “Tukisimamia ubora na filamu zetu zikafikia viwango vya kimataifa, watengeneza filamu ni mabilionea duniani. Ukifanya kazi kwa mazoea au ‘heya heya’, utaishia kupata milioni mbili, lakini ukizingatia utaalamu, unatafuta mabilioni,” alisema Msigwa huku akishangiliwa na wadau wa tasnia. Katibu Mkuu hakumung’unya maneno kuhusu ushindi wa wasanii wageni na chipukizi waliojitokeza safari hii. Alieleza kuwa siri ya mafanikio yao ni kwenda shule na kufuata maelekezo ya kitaalamu. Alimtaja Profesa Mhando kama mmoja wa wabobezi wanaoandaa maandiko na miongozo ya kitaalamu ili kuwapata wasanii wanaojua misingi ya ubora. “Tusipoandaa wasanii kutekeleza kazi hizi kwa weledi, hata tukiweka miundombinu, itakuwa kazi bure,” alionya. Kujirudia kwa majina ya washindi kulielezwa kuwa ni matokeo ya majaji wabobezi wanaokagua kazi kitaalamu na si kwa hisia. lengo likiwa ni kuhakikisha TAFFA inakuwa na viwango vinavyotambulika nje ya mipaka, ambapo filamu zinazoshindana zinatakiwa kuwa ni kazi za sanaa (Artistic works) na si miradi ya kutafuta pesa ya haraka.
Mchambuzi tweet media
1
5
5
66
Goodluck Gabriel retweetledi
The Insight Council
The Insight Council@insightcouncil_·
The Government has planned to purchase 10,000 tractors and establish 1,000 integrated agricultural mechanization service hubs at the ward level. This move is set to reduce production costs for farmers, increase farm productivity, and allow them more time to engage in other economic activities. The statement was made on February 3, 2026, by Prime Minister Dr. Mwigulu Nchemba while opening the First Africa Regional Consultative Meeting on Sustainable Agricultural Mechanization, held at the Johari Rotana Hotel in Dar es Salaam. Dr. Mwigulu stated that establishing these mechanization hubs at the ward level will ensure that farmers—particularly small and medium-scale holders—can access modern machinery services near their farms instead of relying on traditional methods that are costly and time-consuming. He explained that the use of modern, eco-friendly tools is a vital pillar of the country's agricultural transformation. He emphasized that these tools must reduce the physical labor burden, increase yields, minimize post-harvest losses, and protect the environment while addressing the effects of climate change, such as droughts and shifting seasons. “It is essential to strengthen investment in climate-smart agricultural mechanization. We need technologies that increase production while also protecting the environment for the benefit of current and future generations,” the Prime Minister stated. He further emphasized the importance of Private Sector participation in the production, distribution, and servicing of agricultural machinery. He noted that the Government will continue to create an enabling environment through policies, laws, and investment incentives to lower costs for farmers and increase the availability of these tools nationwide. In another development, Dr. Mwigulu said the Government aims to empower youth and women to participate fully in the business, innovation, and service delivery of agricultural mechanization. He noted that these groups possess the labor force, creativity, and potential to bring about rapid transformation if provided with training, capital, technology, and market opportunities. He clarified that the empowerment of youth and women is the foundation of inclusive and sustainable development and should be measured by indicators such as employment, the establishment of sustainable businesses, and their participation in agricultural machinery value chains. The Prime Minister stated that through this meeting, African nations—in collaboration with the Food and Agriculture Organization (FAO), the African Union (AU), financial institutions, the private sector, researchers, and development partners—intend to build robust mechanization service systems that meet the actual needs of small and medium-scale farmers, while also exchanging experiences and strengthening institutional coordination. For his part, the Minister for Agriculture, Godfrey Chongolo, mentioned that the Government plans to use the meeting to launch the National Agricultural Mechanization Strategy Phase II (2026–2035). This strategy aims to enhance the sustainable use, manufacturing, development, promotion, management, and coordination of technologies that simplify labor and save time across the entire production and value-addition chain of agricultural crops. He concluded by saying the strategy is a significant step toward modernizing agriculture, making it productive and profitable for farmers while contributing to national food security and economic growth.
The Insight Council tweet media
English
33
11
13
73
Goodluck Gabriel retweetledi
Mchambuzi
Mchambuzi@Baraza_Kuu·
Kwa muda mrefu, wananchi wamekuwa na kiu ya kuona Serikali inayojibu changamoto zao kwa vitendo badala ya kauli na kwa Serikali ya Awamu ya Sita imechagua kujipima kwa matokeo yanayoonekana. Katika mazingira ya gharama za maisha, ushindani wa kiuchumi na mabadiliko ya kasi ya dunia, imani ya wananchi kwa taasisi za umma haiwezi kujengwa kwa maneno matupu, bali kwa ushahidi wa kazi halisi na Ushahidi huu unajionesha wazi katika sekta ya uchukuzi. Takwimu zinaonyesha ndani ya siku 100, reli za SGR na MGR zimesafirisha abiria 838,870 na tani 85,735 za mizigo, huku mapato ya bandari yakiongezeka kwa Shilingi bilioni 290 kufikia Shilingi trilioni 1.44 na mapato ya forodha kufika Shilingi trilioni 8.256. Aidha, Serikali imeongeza uwezo wa uchukuzi kwa kupokea vichwa viwili vya treni, mabehewa 50 ya mizigo, kuzindua meli ya MV New Mwanza yenye uwezo wa kubeba abiria 1,200, na kupanua huduma za ATCL hadi vituo 32, takwimu hizi zinazoonesha mafanikio yanayopimika. Si kwa bahati mbaya, bali kwa kutambua kuwa uchukuzi ni kiungo cha moja kwa moja kati ya Serikali na maisha ya mwananchi miradi ya reli, bandari, usafiri wa majini na anga imekuwa tena si miradi ya kifahari bali ni mishipa ya uchumi inayobeba chakula cha mkulima, bidhaa za mfanyabiashara, muda wa mfanyakazi na usalama wa abiria. Pale uchukuzi unapoboreshwa, gharama hushuka, muda huokolewa na fursa huongezeka na yote hayo yanaonekana kuendelea kuboreshwa na kuonekana wazi ndani ya siku 100 za mwanzo wa muhula wa pili wa Serikali ya Awamu ya Sita. Maboresho katika reli za kisasa na za kawaida yameongeza ufanisi wa usafiri wa abiria na mizigo, kupunguza muda wa safari na kuleta uhakika kwa shughuli za biashara ambapo kwa mara ya kwanza kwa muda mrefu, reli imeanza kurejea kama chaguo la kuaminika kwa wananchi na wafanyabiashara. Katika bandari, mageuzi ya uendeshaji na uwekezaji katika miundombinu yameleta matokeo yanayopimika kwani ongezeko la mapato linaloonekana si mafanikio ya taasisi pekee, bali ni rasilimali inayorejea kwa wananchi wote kupitia ujenzi wa shule, hospitali, barabara na huduma nyingine za kijamii. Hatua zilizochukuliwa katika usafiri wa majini zimebeba ujumbe mzito zaidi wa kwamba ulinzi wa maisha ya wananchi ni kipaumbele na ndiyo maana uwekezaji katika meli za kisasa, vituo vya utafutaji na uokoaji pamoja na boti za wagonjwa umeongeza usalama kwa wananchi wanaoishi na kufanya kazi majini. Ni wazi hapa, Serikali imeonesha kwa vitendo kuwa maendeleo hayaendi sambamba na kupuuzwa kwa usalama wa raia. Kadhalika Sekta ya anga nayo imeendelea kufunguliwa kwa Watanzania kupitia upanuzi wa safari za ndani na nje ya nchi. Hatua hii imeongeza muunganiko wa Tanzania na masoko ya kikanda na kimataifa, kuchochea biashara, utalii na ajira na sasa Mwananchi anayesafiri kwa urahisi, mfanyabiashara anayefikia soko jipya na kijana anayepata ajira wanakuwa sehemu ya ushahidi wa Serikali inayotenda. Kwa ujumla, kinachojitokeza ni taswira ya Serikali inayochagua kujenga imani kwa kazi, si kwa kelele. Badala ya kuomba kuaminiwa, Serikali ya Awamu ya Sita inaacha matokeo yazungumze.
Mchambuzi tweet media
Indonesia
53
19
22
147
Goodluck Gabriel retweetledi
Mchambuzi
Mchambuzi@Baraza_Kuu·
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imesema kuwa utekelezaji wa miradi 10 ya hifadhi ya mazingira na kuhimili mabadiliko ya tabianchi yenye thamani ya shilingi bilioni 97.6 umeleta manufaa ya moja kwa moja kwa jamii za Zanzibar, ikiwemo kuongeza kipato cha wananchi, kuimarisha ajira mbadala na kuboresha ustahimilivu dhidi ya athari za mabadiliko ya tabianchi. Hayo yameelezwa Februari 4, 2026 bungeni jijini Dodoma na Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Dkt. Festo Dugange, wakati akijibu swali la Mbunge wa Mtambwe, Mhe. Rashid Habib Ali, aliyehoji namna Zanzibar inavyonufaika na fedha za mazingira zinazotolewa na wafadhili wa kimataifa. Mhe. Dkt. Dugange amesema miradi hiyo iliyotekelezwa katika kipindi cha mwaka 2020 hadi 2025 imewezesha wananchi kushiriki katika shughuli za kiuchumi rafiki kwa mazingira, hali iliyosaidia kuongeza kipato cha kaya, kupunguza utegemezi wa shughuli zinazoharibu mazingira na kuimarisha juhudi za uhifadhi wa rasilimali asilia. Amefafanua kuwa kupitia miradi hiyo, jamii zimejengewa uwezo wa kuhimili athari za mabadiliko ya tabianchi ikiwemo mafuriko, ukame na uharibifu wa mifumo ya ikolojia, hatua inayochangia ustawi wa maisha ya wananchi na maendeleo endelevu ya kiuchumi kwa Zanzibar kwa ujumla. Naibu Waziri huyo ameongeza kuwa Serikali imekuwa ikipokea fedha za mazingira kutoka kwenye mifuko ya kimataifa na wafadhili mbalimbali, wakiwemo Mfuko wa Mazingira wa Dunia (GEF), Mfuko wa Mabadiliko ya Tabianchi (GCF), Benki ya Dunia (WB) na Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB). Amesema fedha hizo zimekuwa zikitumika kutekeleza miradi ya kimkakati ya hifadhi ya mazingira na mabadiliko ya tabianchi kwa Tanzania Bara na Zanzibar, kwa lengo la kulinda mazingira huku ikihakikisha wananchi wananufaika kiuchumi na kijamii.
Mchambuzi tweet media
Indonesia
52
20
22
142
Goodluck Gabriel retweetledi
Mchambuzi
Mchambuzi@Baraza_Kuu·
Katika ulimwengu wa sasa, uongozi si tu kusimamia mambo ya ndani, bali ni uwezo wa kushawishi ulimwengu kuamini katika fursa na utulivu wa nchi yako. Hivi karibuni, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ameanza safari yake ya kwanza ya kimataifa tangu kumalizika kwa Uchaguzi Mkuu wa 2025, akielekea Dubai, Falme za Kiarabu (UAE). Safari hii si ya kawaida; ni hatua ya kimkakati inayolenga kuliweka taifa katika ramani ya dunia kupitia Mkutano wa Dunia wa Serikali (WGS) na ule wa Uwekezaji Afrika (GAIS). Lengo kuu la Rais Samia kushiriki jukwaa hili la kimataifa ni kuoanisha maono ya Tanzania na mwelekeo wa mitaji ya dunia. Katika jukwaa hili, viongozi wa nchi, wamiliki wa mitaji mikubwa, na watunga sera duniani kote hukutana ili kuunda mwelekeo mpya wa utawala na uchumi. Kwa Tanzania, huu ni muda muafaka wa kuonyesha kuwa nchi ipo tayari kwa ajili ya uwekezaji mkubwa wa moja kwa moja kutoka nje (FDI), huku ikihakikishia dunia kuwa Tanzania ni kisiwa cha utulivu wa kisiasa na mwendelezo wa sera rafiki za kibiashara. Uzito wa safari hii unajitokeza zaidi katika mada atakayoshiriki Rais Samia inayohusu "Serikali na Mustakabali wa Uwekezaji: Mtazamo wa Afrika." Katika mjadala huo, Rais Samia atakuwa meza moja na viongozi mashuhuri kama Rais wa Angola na Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika, João Lourenço, Rais wa Ghana, John Mahama, na nguli wa uchumi Dk. Akinwumi Adesina. Mjadala huu unalenga kutoa majibu ya jinsi Afrika inavyoweza kuhama kutoka kwenye utegemezi wa misaada na badala yake kujenga uchumi unaoendeshwa na uwekezaji wa tija. Ushiriki wa Rais Samia nchini Dubai unaendana kikamilifu na Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 na Sera Mpya ya Mambo ya Nje inayosisitiza diplomasia ya kiuchumi. Kupitia mazungumzo ya ana kwa ana na viongozi wa taasisi za fedha za kimataifa na wawekezaji wakubwa, Rais anafungua milango ya miradi ya kimkakati itakayochochea ajira na ukuaji wa uchumi wa haraka. Ni fursa ya kipekee ya kuwasilisha miradi ya Tanzania mapema ili kupata matokeo yanayoweza kupimika katika maisha ya kila siku ya mwananchi. Safari hii ni dhihirisho kuwa Tanzania haitaki kubaki nyuma katika mapinduzi ya teknolojia na ubunifu wa sera za umma. Kwa kuweka msingi huu mapema mwaka 2026, serikali inatuma ujumbe mzito kwa jumuiya ya kimataifa kuwa Tanzania ni mshirika makini katika maendeleo endelevu. Ni hatua inayolenga kuifanya nchi iwe kitovu cha uwekezaji Kusini mwa Jangwa la Sahara, ikichochewa na maono ya kiongozi anayejua namna ya kutumia majukwaa ya kimataifa kuleta neema nyumbani. Mwisho wa siku, matunda ya Dubai hayataishia kwenye kumbi za mikutano, bali yataonekana katika viwanda, miundombinu, na biashara zitakazochipuka kutokana na mitaji itakayovutiwa nchini. Hii ndiyo tafsiri halisi ya kuifungua nchi: kutafuta fursa pale zilipo na kuzileta nyumbani kwa ajili ya ustawi wa Watanzania wote na utekelezaji wa malengo ya muda mrefu ya taifa.
Mchambuzi tweet media
Indonesia
52
18
20
175
Goodluck Gabriel retweetledi
Mchambuzi
Mchambuzi@Baraza_Kuu·
Katika kumbi za Bunge jijini Dodoma, kumesikika sauti ya matumaini inayobeba mustakabali wa mamilioni ya Watanzania, hususan vijana wanaosubiri kwa hamu kuona milango ya fursa ikifunguka. Hatua ya Serikali kuwasilisha mapendekezo ya bajeti ya Shilingi trilioni 61.934 kwa mwaka wa fedha 2026/2027 si tu suala la namba na takwimu za kifedha, bali ni mwelekeo mpya wa namna nchi inavyojipanga kuwakomboa vijana wake na kuwapa nafasi ya kujidai ndani ya uchumi wa kisasa. Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Mussa Omar, ameweka wazi kuwa serikali imejipanga kuwekeza kwa kiwango kikubwa katika rasilimali watu, jambo ambalo ndilo mzizi wa ajira na maendeleo ya kijamii. Kupitia Mpango wa Nne wa Maendeleo wa Miaka Mitano, kipaumbele kimeelekezwa katika kujenga uchumi shindani na jumuishi. Hii ina maana kuwa serikali inatengeneza mazingira ambapo kijana wa Kitanzania hatakuwa mtazamaji tu, bali mshiriki mkuu katika miradi ya kielelezo na kimkakati inayotekelezwa kote nchini. Kufunguliwa kwa nchi kupitia bajeti hii kunaonekana wazi katika ongezeko la matumizi yanayolenga kuchochea ukuaji wa sekta mbalimbali. Serikali inapowekeza zaidi ya nusu ya bajeti yake katika ruzuku kwa taasisi, mashirika ya umma, na mamlaka za mitaa, inatengeneza mnyororo mrefu wa thamani ambao mwisho wa siku unazalisha ajira kwa vijana wa kada mbalimbali. Ni mpango unaolenga kumpa kijana uhakika wa maisha kupitia ujuzi wake, huku ukiongeza thamani ya nguvu kazi ya taifa ili iweze kushindana hata katika soko la kimataifa. Zaidi ya ajira na uchumi, bajeti hii imebeba dhamana ya kulinda amani na utulivu wa taifa. Amani ya kweli inategemea matumaini ya wananchi wake, na serikali imeliona hilo kwa kuelekeza fedha nyingi katika huduma za jamii na kuimarisha misingi ya uendelevu. Kijana mwenye uhakika wa kipato na fursa hana sababu ya kukata tamaa, badala yake anakuwa mlinzi wa amani na mjenzi wa taifa lake. Hii ndiyo tafsiri halisi ya kuifungua nchi, ambapo uhuru wa kiuchumi unakuwa kichocheo cha utulivu wa kijamii. Mwelekeo wa muda wa kati hadi mwaka 2029 unaonyesha kuwa Tanzania ipo katika mapinduzi makubwa ya kifikra na kiutekelezaji. Kwa kuweka msisitizo katika kukua kwa mapato ya ndani na kupunguza utegemezi, nchi inajenga uwezo wa kujiamulia hatma yake. Hili ni jambo la kujivunia kwa vijana, kwani linafungua milango ya ubunifu na uwekezaji ambayo hapo awali ilionekana kuwa na vikwazo. Kwa bajeti hii, serikali haitoi tu fedha, bali inatoa dira ya wapi nchi inaelekea na jinsi gani kila raia anaweza kunufaika. Tunapoelekea kwenye utekelezaji wa bajeti hii, matarajio ni kuona mabadiliko ya kweli mitaani na vijijini. Ni wakati wa vijana kuchamka na kuchangamkia fursa zitakazotokana na ufunguzi huu wa nchi. Msingi uliowekwa na Balozi Omar bungeni ni mwanzo wa safari ndefu ya kuelekea Tanzania yenye neema, ambapo amani itastawi kupitia kazi, na vijana wataweza kutembea kifua mbele wakijidai kwa mafanikio yaliyopatikana ndani ya ardhi yao.
Mchambuzi tweet media
Indonesia
50
21
21
158
Goodluck Gabriel retweetledi
Mchambuzi
Mchambuzi@Baraza_Kuu·
Siku 100 za Rais Samia Suluhu Katika Maboresho ya Elimu
Indonesia
57
32
35
1.3K
Goodluck Gabriel retweetledi
Mchambuzi
Mchambuzi@Baraza_Kuu·
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb), amesema haya katika Mkutano wa Kwanza wa Afrika kuhusu Matumizi Endelevu ya Zana za Kilimo (Africa Conference on Sustainable Agricultural Mechanization - ACSAM)
Filipino
58
27
30
510
Goodluck Gabriel retweetledi
Mchambuzi
Mchambuzi@Baraza_Kuu·
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb), amesema haya katika Mkutano wa Kwanza wa Afrika kuhusu Matumizi Endelevu ya Zana za Kilimo (Africa Conference on Sustainable Agricultural Mechanization - ACSAM)
Filipino
60
29
33
522