Governor Newton retweetledi

Ni wakati wa Rhumba Friday! 🔥 #RhumbaRepublik ya kumaliza wiki kwa style!
Titi Ni Rhumba tayari ako ndani ya studio, na DJ Darius pia ameshafika kwenye mjengo!
Ni Rhumba ya Motema !❤️
Ni Rhumba ya Bakulutu !
Ni Rhumba ya kufunga wiki kwa vibe safi!
Usikose hii nanii… usikose hii nanii!! 😄
##RhumbaRepublik
Indonesia













