Grayson Gideon

5.5K posts

Grayson Gideon banner
Grayson Gideon

Grayson Gideon

@Gplanet5

Eastafrican(🇹🇿) radio producer and creative consultant @eastafricaradio | Host @madinidotcom| Tacaids & Unicef-Tanzania @ongearadioshow

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Aralık 2016
11 Takip Edilen1.2K Takipçiler
Grayson Gideon
Grayson Gideon@Gplanet5·
"Mwanaume anatakiwa kusheherekea kitu alichokifanya mwenyewe.Birthday sio Moja wapo! 😎😀
HT
0
0
0
20
Grayson Gideon
Grayson Gideon@Gplanet5·
Mabadiliko ya mashabiki na MZIKI kwenye mitaa, ndo Mwalimu wangu mkuu anayenipa usupastaa.Naamini siku zangu zimeshapata kuwa nyingi,katika nchi uliyonipa. #Johmakini #WetalkMusic
Grayson Gideon tweet media
Filipino
0
0
0
23
Grayson Gideon
Grayson Gideon@Gplanet5·
Zaidi ya 95% ya wasanii wa #Bongofleva akaunti zao HAZINA uwezo wa kulipia Gharama za LUKU ya studio room ya radio na mshahara wa watangazaji wa kipindi 1 tu kwa mwezi. Media Guys hamna sababu yoyote ya shobo au kuwa PR wa msanii! Mnaua game! Be profesheno! #WetalkMusic
Grayson Gideon tweet media
Indonesia
0
0
1
43
Grayson Gideon
Grayson Gideon@Gplanet5·
I hope Tanzania na Marapa wa kike nchini mmejiandaa kisaikolojia kumtambua rasmi Black Queen 👑 kama RAPA wa mainstream. #WetalkMusic
Grayson Gideon tweet media
Indonesia
1
0
6
206
Grayson Gideon
Grayson Gideon@Gplanet5·
Kila mtu Alipokuja Dar alidhani Wachawi kawaacha kijijini kwao! Sapraiz! sapraiz mazafadaz ! #Kamjadala
हिन्दी
0
0
0
50
Grayson Gideon
Grayson Gideon@Gplanet5·
So Harmonize anadai kapata alichokosa Diamond? "UTU wangu na Thamani ina maana kweli hakuvijua?Licha ya burudani..." #MAWAZO "UTU wangu na Thamani yeye pekee ndo unayevijua, na ndo maana hatuachani..." #WEWE #WetalkMusic
Grayson Gideon tweet media
Indonesia
0
0
4
182
Grayson Gideon
Grayson Gideon@Gplanet5·
UPDATE: Trump amekanusha VIKALI kushinikizwa na Netanyahu kuvunja mkataba wa Nyuklia na IRAN kwa Madai anarutubisha URANIUM! MATAIFA jirani yanahimiza Haki na DIPLOMASIA!😀 UFUNGUO: TRUMP = AY, Netanyahu = FidQ , IRAN=Cholo , URANIUM=Bangi Nyuklia = Lebel #WetalkMusic
Grayson Gideon tweet media
Indonesia
0
0
1
101
Moshi Jr
Moshi Jr@MoshiMwilwa·
@Gplanet5 So angekuwa anapenda wavuta bangi..angekuwa na hiyo RECORD LEBEL?
Moshi Jr tweet media
Filipino
1
0
0
278
Grayson Gideon
Grayson Gideon@Gplanet5·
Sasa Nimeelewa kwanini AY Hana RECORD LEBEL kubwa licha ya uwezo wake mkubwa kibiashara! Hapendi wavuta Bangi!🥳😄🤣#WetalkMusic
Grayson Gideon tweet media
Filipino
7
0
14
20.6K
Grayson Gideon
Grayson Gideon@Gplanet5·
Napata wakati MGUMU washkaji wanapolia kwa uchungu! Kwani nami Nina MAUMIVU yangu nasema tu na Moyo wangu - #MwanaFa #WetalkMusic
Grayson Gideon tweet media
Indonesia
0
2
17
312
Grayson Gideon
Grayson Gideon@Gplanet5·
@2Ndulisu Cholo mwenyewe ka repost hii post insta.Aliyeelewa ndo kaambiwa. This is how wetalkMusic
HT
0
0
2
487
Hamza Makombolelo
Hamza Makombolelo@2Ndulisu·
@Gplanet5 Unachafua watu wewe, Cholo mwenyewe amekanusha kuwa havuti bangi ila anapenda kuiongelea kutokana na fans wake wengi ni masela wa street, hivo anagusa lifestyle yao, Wewe kama mwandishi ilibidi uheshimu personality yake badala ya kumhusisha na miahadarati.
Indonesia
1
0
2
818
Grayson Gideon
Grayson Gideon@Gplanet5·
@lukalijr Bwana mkubwa ujifunze kuanza na SWALI kabla kutoa maoni kwa jambo usilolielewa vizuri.Hayo kaandika msanii mwenyewe kwenye MISTARI yake na kwenye interview .Mwisho nipende kumwambia MATAKO YAKO. #wetalkMusic
Filipino
2
0
1
488
Ticha LK
Ticha LK@lukalijr·
@Gplanet5 Una kuza mambo kipimbi sana bwana mdogo are you that is what it is? Kwa hiyo Cholo anavuta bangi? Una uhakika ?
Filipino
1
0
0
591
Grayson Gideon
Grayson Gideon@Gplanet5·
1.Prof Jay 2.ROMA 3.Mr.Blue 4.Fid Q 5.Darassa 6.Mwana FA 7.Chidi Benz 8.Joh Makini 9. Afande Sele 10............. SIJASEMA ni list yangu ya Nini,ukihisi Umeelewa, JAZA namba 10. #WetalMusic
Indonesia
5
0
6
360
Grayson Gideon
Grayson Gideon@Gplanet5·
Nimegundua MAWILI kwenye FINALE ya BIEN x ALIKIBA .Kwanza BIEN kaongea ukweli ulionigusa " I never had a type in my life, mi ni vibe ndo hunibamba" 👊🏾🥂 Pili, ndo naskia tumetoka MOFAYA sasa ni DORIME!🤗🤑 #WetalkMusic
Filipino
0
1
13
539
Grayson Gideon
Grayson Gideon@Gplanet5·
"Oya KUSH..sijuniniNanini.. ya SINZA SIKILIZA SAUTI YA RADI ANATEMA MOTO ...Ukitaka matembele utakula matembele ×2 e bwana kaka matembele anafikiria bamia eh' anatereza 😄JUDY MOSHI anatereza!"🤣😄 Huyu mwamba ALITISHA SANA!Judy Moshi yupo wapi?😄🤣 #WetalkMusic
Indonesia
0
0
3
211
Grayson Gideon
Grayson Gideon@Gplanet5·
Leo nimejifunza Kuna majina yameshapevuka na Generation flani kiasi kwamba inasound sio kumpa mtoto. Imagine nimekutana na dada ana mtoto wa miezi 6 anaitwa ABDALLAH! 😄 #kamjadala
Grayson Gideon tweet media
Filipino
0
0
6
220