Hamisi Shabani Dimalila

5.6K posts

Hamisi Shabani Dimalila banner
Hamisi Shabani Dimalila

Hamisi Shabani Dimalila

@HDimalila

dimalila jr

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Şubat 2021
1.3K Takip Edilen444 Takipçiler
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼@RevocatusMagum1·
Meneja wa Klabu ya Yanga Walter Harrison siku mbili hizi ni mbaya kwake na huenda akapewa adhabu na Bodi ya ligi kuu Tanzania Bara. Siku moja kabla ya Mchezo dhidi ya Simba alimtukana vibaya mchambuzi wa Michezo Jemedari Said aliyemkosoa baada ya kusambaa kwa video akisema Uwanja wa Meja Jenerali Isamuyo haupaswi kutumika kwani una matope. Leo wakati mechi inaendelea amemsukuma vibaya Kiungo Mshambuliaji wa Simba SC Clatous Chama lakini Mwamuzi hakuona na badala yake kadi ya njano akaoneshwa Kocha mkuu.
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼 tweet media
Indonesia
6
0
58
3.4K
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼@RevocatusMagum1·
🚨_JANGWANI KIMEUMANA😂🙌🏽 Mkataba wa Duke unaisha msimu huu mwishoni Azam Fc wametuma offer ya $ 720 USD kama sign fee kwenye management ya Duke mazungumzo ya awali yamefanyika kati ya Azam Fc na management ya Duke Msimu ujao Duke anaweza kucheza Azam na alie mli-recommend Duke ni Ibenge
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼 tweet media
Indonesia
14
4
157
8.8K
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼@RevocatusMagum1·
✍️AMEANDIKA HAJI MANARA Ndio mpira lakini na Sisi tupunguze midomo midomo , tunachonga mno kupitiliza wakati kocha wetu ni Muomba Mungu tu!! Tulionyesha kujiamini kupitiliza nje ya uwanja na kufanya mbwembwe nyingi za kipuuzi,Show za kindezi kibao kabla ya mechi tukasahau uzito wa kukutana na Makolo. Mnawaaminisha hadi Washabiki wetu kwamba ni ise tu kwetu,Mechi hz hazihitaji mazoea. Derby haihitaji dharau na tusipokuwa makini watatukanda tena jumapili!! Na Wallah Wakishinda ntakuja na viboko hapo kaunda kuwatandika. ✍️Haji Manara
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼 tweet media
Indonesia
4
1
22
1.8K
Balyx
Balyx@Balyx_·
Nimeangalia interview ya Emmanuel Eboue kwenye page ya “The5thHouse Podcast”. Yule mzee ana roho ngumu bhana Mzee anakwambia zile rumors zote za kweli. Aliipoteza kila kitu Mabinti zake wote na kijana wake (amesaini Chelsea) wote wanam-bluetick mwaka wa nne sasa.
Filipino
10
33
572
31.9K
WHYMYCATISSAD
WHYMYCATISSAD@INFLUENCERjr·
Kati ya vitu Bi mkubwa alikuwa anasisitiza home ni msosi ukiwa tayari kuleni haijalishi ni saa ngapi, mtaletewa taarifa ya msiba mkashindwa kula. 😅
Indonesia
6
16
238
3.7K
Jogoo la Shamba Mjini
Jogoo la Shamba Mjini@JMariotz·
Rudi bonyokwa sasa ili uwanja ujae ni kuhamasishana mwezi mzima na vispika na press conferences kama 200 hivi. Amerika kusini ni machizi soka, they live and breath football. Its deep in their DNA. 🙌🏿
Fabrizio Romano@FabrizioRomano

🔴⚪️ River Plate have reached 105 consecutive sold-out matches, with more than 85.000 fans in attendance at the Mâs Monumental. This was the team’s reception at the latest Superclásico against Boca Juniors. ⤵️🎥

Indonesia
4
6
67
3.6K
WHYMYCATISSAD
WHYMYCATISSAD@INFLUENCERjr·
@HDimalila Haya. Yenye Mbappe, Jude, Vini na Rodrigo imefika lini fainali? Hii nitakuonea, tuoneshe imebeba kikombe gani chochote hata cha kuku
Filipino
3
0
7
423
Hamisi Shabani Dimalila
Hamisi Shabani Dimalila@HDimalila·
@RevocatusMagum1 Ila kwa jamaa tangu libase tangu zinaanza tetesi kuja simba alichambua vitu vingi sana vya ubora na udhaifu wake kwahyo anawez akawa ni mchzj ambae amemfatilia kwa ukarib sana
Indonesia
0
0
1
408
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼@RevocatusMagum1·
Huyu ni mchambuzi mmoja tu tena kwenye kipindi kimoja tu cha leo asubuhi wasafi 😃😃😃😃
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼 tweet media
Indonesia
8
5
72
7.2K
WHYMYCATISSAD
WHYMYCATISSAD@INFLUENCERjr·
Mpaka sasa kwenye maisha umejifunza nini??
HT
114
46
418
67.2K
S t e w a r d
S t e w a r d@madeinmusoma·
Mwaka 2009 kuna basi moja iliwahi kuingia pale Ubungo, Dar, saa 1.00 jioni, ikiwa imetoka Mwanza saa 12.00 asubuhi. Ilikuwa ni Ally's Sport 😁😁
Filipino
36
33
599
37.4K