Haidar mohd

929 posts

Haidar mohd banner
Haidar mohd

Haidar mohd

@Haidarmohd70

Air Ticketing | Visa | Hotel Booking | Travel Insurance Fast • Trusted • Affordable 📍 Mkunguni/Ukami 📞 0710132720 | 0710400247 Travel Smart with RoyalSky🌍

Zanzibar Katılım Mart 2016
240 Takip Edilen90 Takipçiler
Haidar mohd
Haidar mohd@Haidarmohd70·
@BigOO47 🚨✈️ USIKOSE NAFASI! Safari yako inaanza hapa na RoyalSky Travel Services 🌍 Tiketi za bei nafuu, Visa assistance ya uhakika, Hotel booking na Travel Insurance – huduma zote sehemu moja!
Haidar mohd tweet media
Indonesia
0
0
0
5
Big 0047
Big 0047@BigOO47·
Sema Ukweli Mimi darasa la 5 😂
Big 0047 tweet media
Filipino
193
51
449
35.2K
Haidar mohd
Haidar mohd@Haidarmohd70·
@gabyconscious 🚨✈️ USIKOSE NAFASI! Safari yako inaanza hapa na RoyalSky Travel Services 🌍 Tiketi za bei nafuu, Visa assistance ya uhakika, Hotel booking na Travel Insurance – huduma zote sehemu moja!
Haidar mohd tweet media
Indonesia
0
0
0
6
𝙶𝙰𝙱𝚈 𝙻𝙾𝚅𝙴𝚂 𝚃𝙴𝙲𝙷 7.o
1. Hatia iii 2. Ndoano 3. Get better 4. NIS 5. chupa moja ya ziada 6. Tribulation Say my name 🫵🏾😄
𝙶𝙰𝙱𝚈 𝙻𝙾𝚅𝙴𝚂 𝚃𝙴𝙲𝙷 7.o tweet media
#NIPENI_MAUA_YANGU💐@Roma_Mkatoliki

Kama Emcee/Rap Artist (HipHop) Unatakiwa kwenye career yako uwe tayari una miwa yenye content/topics/agenda zifuatazo!! 1. Hakikisha una muwa/miwa inayokemea na kupinga masuala ya haki za binadamu/siasa/kosoa na shauri kuhusu masuala ya kijamii/violence/rushwa/ufisadi/utekaji/ongelea kuhusu elimu/maradhi/ajira/afya/ ukabila/maadili etc (elimisha/kosoa/kemea/shauri Hiyo ☝️ndiyo iwe main goal!! Number 1 coz ndio chimbuko la HipHop/Rap. 2. Then second hakikisha una muwa wa kuhusu mapenzi/kuhusu ndoa/kuhusu mahusiano/Familia (Parents/Kids). Ongelea kwa namna yoyote itakayo relate na uhalisia tunaoishi, ikibidi iwe based on true story. 3. Ya tatu hakikisha una muwa/miwa ya inspiration (Gheto gospel kinda shit) Wajaze hopes waliokata tamaa, wape story yako ya from zero to hero, waambie fans kuwa Mungu yupo, waamshe wagonjwa hospital waliokata tamaa, ongelea marehemu ongelea kifo, zungumza na masikini na watu wanaopitia hard time!! 4. Then ya nne sasa ndio unakuja kwenye ufundi/Skillz/Tambo/Majigambo/Swaggs Kuwaonyesha Emceez wenzako kuwa wewe ni noma, wewe ni bora kuzidi wao!! Hapa cheza sana na word Play, wape watu misemo, jifananishe na kila champion kwenye fields tofauti, tambulisha na wakilisha hood/gang yako. 5. Hakikisha una muwa unaongelea goodlife, Pesa,Pombe,Magari, Wanawake,Kuvaa Kupendeza,Bata,Party Song, Club Banger!! Hapa wenzetu huenda mbali na kuongelea hadi Drugs & PyuPyu (Its all about braging) Not Necessary ☝️ 6. Hakikisha una DISTRACK (Not necessary) Rappers/Emceez wengi wanakimbiaga majukumu yao ya Numbers 1-3 Wanakwenda kujikita kwenye Numbers 4-6 Unakuta mtu career yake yote (10+ years) Yeye kila muwa ni majigambo tu….hii inamfanya asikilizwe na rappers wenzake tu coz ndio wanaweza kuRelate na anachoki spit!! JE YOUR FAV EMCEE/RAPER ANAZO NGOMA ZOTE 6 HIZO!? Kama hana huyo bado anajitafuta!!

Indonesia
14
19
110
4.4K
Haidar mohd
Haidar mohd@Haidarmohd70·
@Roma_Mkatoliki 🚨✈️ USIKOSE NAFASI! Safari yako inaanza hapa na RoyalSky Travel Services 🌍 Tiketi za bei nafuu, Visa assistance ya uhakika, Hotel booking na Travel Insurance – huduma zote sehemu moja!
Haidar mohd tweet media
Indonesia
0
0
0
1
#NIPENI_MAUA_YANGU💐
#NIPENI_MAUA_YANGU💐@Roma_Mkatoliki·
Siku wapinzani wakiwa watawala wakaingia ikulu, amini kwamba hawa watawala ndio hawataweza kabisa kuwa wapinzani!! Yaani sioni anayeziweza siasa za upinzani pale, sio wanasiasa wao wala wafuasi!! Kwanza wengi watahama na kurudi kwa watawala!!
Indonesia
37
140
1.3K
33.5K
Haidar mohd
Haidar mohd@Haidarmohd70·
@Sativa255 🚨✈️ USIKOSE NAFASI! Safari yako inaanza hapa na RoyalSky Travel Services 🌍 Tiketi za bei nafuu, Visa assistance ya uhakika, Hotel booking na Travel Insurance – huduma zote sehemu moja!
Haidar mohd tweet media
Indonesia
0
0
0
41
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
Nikiwa nafanya mazoezi asubuhi huwaga naweka “TIKTOK” video zile zinapoteza muda vizuri sana. Leo nimekutana na VIDEO moja ya DUDE yule jamaa wa zamani aliekuwa anaigiza kama TAPELI zamani analalamika. MALALAMIKO yake ni dhidi ya jamaa mmoja maarufu sana kwasasa na nakumbuka nishampost “PENGO MAKEKE” anaigiza kama TAPELI. DUDE anasema “Jamaa anaiga kila kitu aisee”—kwanza kama mnakumbuka nilishawahi kusema hapa “GEN Z NDIO TUNAAMUA NANI ATAMBE NA NANI APOTEE NA YOTE HIYO INAWEZEKANA KWA NGUVU YA MTANDAO”. “Wewe kama hutaki kufuata MTANDAO unataka nini utabaki tuu kusema Mimi zama zangu nilikuwaga NOMA ila hakuna atakaekusikiliza na ZAMA ZAKO”. Malalamiko ya DUDE ni mfano mzuri wa nilichosema. Yeye bado yupo zama za ANALOGY anategemea Kushoot kisha anaenda kuwauzia ITV , AZAM SIJUI. Nani akae ITV kuangalia vituko vyako muda huu DUDE?? Dunia ipo kiganjani na GEN Z ndio wamiliki wa mitandao—fuata wanataka nini kama kweli unautaka UKING wa milele. NB: UKIGOMA KUBADILIKA USITULAUMU. KWAKO HOME BOI PENGO MAKEKE—PIGA KAZI ACHANA NA HUYO KIBAKA WA SISIEMU, MBEYA MBALI MZEE.🫵
SIR TIVA tweet media
Filipino
41
52
909
72K
Haidar mohd
Haidar mohd@Haidarmohd70·
@EsirEid : 🚨✈️ USIKOSE NAFASI! Safari yako inaanza hapa na RoyalSky Travel Services 🌍 Tiketi za bei nafuu, Visa assistance ya uhakika, Hotel booking na Travel Insurance – huduma zote sehemu moja!
Haidar mohd tweet media
Indonesia
0
0
1
80
Big
Big@Zephania_Ndaki·
Roma Mkatoriki Anaimba Lakini Hawezi Mfikia John Makini. John Makini Anahit Nyingi Sana Na Mziki Wake Unaishi Kinoma Anaflow Kali Na Ninyimbo Za Kishua Uchoki Kumsikiliza. Roma Mkatoriki Nyimbo Zake Anatunga Kutokana Na Idea Za Taifa Haumizi Kichwa Sana. Nb: Njoo Na Fact.
Indonesia
47
8
125
11.2K
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
#TajiriLaKihaya Hii Ndio Picha Yangu Bora Kwa Miaka yote- nkiwa na Mke wangu siku ya Graduation-2016! Ushauri wangu ambao kila siku nawaambia VIJANA hasa waliopo CHUO… Hakikisha unapo graduate unatoka na Degree mbili Chuoni; Moja ya Masomo na nyengine ya MWENZA WAKO! Hakikisha Mke/mume unampata Chuoni uliposomea Otherwise utaoa Mke wa mtu! Statistics zinasema wanandoa waliokutana chuoni- Ndoa zao zinadumu saana na wanakua na furaha! Especially mkikutana 1st year,mka build mahusiano na ukaribu kuanzia hapo-Wengi huwa ni Bikra(enzi zetu) Ila siku hizi hata Asipokua bikra anakua hajawahi Kua na Mahusiano Serious zaidi ya binamu wake- watoto wa mjomba au wale wakuchovya chovya bahati mbaya na kupita … Angalizo ni kwamba: Muwe CHUO Kimoja- Kwa maana kwamba mienendo na Tabia zake unakua unazifaham!
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿@EsirEid

#JKUAT28thGRAD thanks be to ALLAH.. I Graduated #jkuat

Filipino
84
36
356
30.1K
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
‼️TANGAZO ‼️ Kwa wanaopata changamoto kuingia mjini wafike Ubungo Kibo jirani kwa Gwajima 💪🏽🔥 Msisahau mabango #D9Tunatoka #D9TanganyikaDay Tutaendelea kuwaletea location zingine
Maria Sarungi Tsehai tweet media
Indonesia
55
258
1.4K
63.1K
Haidar mohd retweetledi
XNIPER | Trader📈
XNIPER | Trader📈@cr_xniper·
You can do three important things: 1.Learn. 2.Backtest charts/market. 3.Practice. ⟶ Learning is slow and steady process. ⟶ Backtesting needs right information about market. ⟶ Practice needs self commitment. Hakuna kuchoka💪🏾
English
6
18
102
2.8K
Haidar mohd
Haidar mohd@Haidarmohd70·
No regrets in life. Just lessons learned.
English
0
0
0
32
C R I A N N I C A S ♟️
C R I A N N I C A S ♟️@criannicas_·
Inawezekana 100% upo kwenye biashara ya Forex lakini hukuambiwa hizi HARDEST TRUTH. Most traders hawapendi kuzisikia. #thread🧵, Shuka nayo>>
Indonesia
5
21
78
3.3K
Haidar mohd
Haidar mohd@Haidarmohd70·
“Be the change that you wish to see in the world.” ― Mahatma Gandhi
English
0
0
0
11
Haidar mohd retweetledi
Almalik Mokiwa
Almalik Mokiwa@Almalik_Mokiiwa·
NILITUMIA NJIA HIZI KUJIFUNZA FOREX NA KU MASTER NDANI YA MIEZI SITA 1. Niliipenda kuliko kitu chochote (elewa neno KITU). Kuipenda kuliniweka mbali na Imani hasi juu ya michakato ya kusadikika. Niliifanya kwa Mapenzi hata iliponivunja Moyo. 2. Nili unfollow pages zisizo za msingi Insta na X na ku follow traders Tu (nimewafollow wengi sana), na wengine nikawawekea na notifications kabisa. Lengo ni kutengeneza algorithm ambayo itaniweka karibu na kuona charts kila nnapo scroll kwenye mitandao ya Kijamii (Hili liliniongezea Morali na lilikuwa sehemu kubwa sana ya mimi kusogea) 3. Niliachana na biashara za kuuabudu Usingizi nikatangaza vita nao, nika escape from the comfort zone. Niliutumia usiku kama mchana na Mchana kama mchana. 4. Niliwekeza Nguvu, Mwili na akili kuyatafuta maarifa popote yalipo. 5. Nilitumia zaidi ya masaa 8 kutazama charts kila nilipojifunza, kutafuta nilichojifunza na kukifanyia kazi. 6. Nilipomaliza Technical, nikatenga muda wa ku deal na Saikolojia yangu. It didn't last longer. Nilipona Psychology ndani ya miezi michache. 7. Nilitumia muda mwingi ku bactest na kuboresha mfumo ninaotumia kutrade. Sahii usiku nautumia kutrade, asubuhi kukikucha nakuwa nishaakunja midola yangu. Watu wakiamka kwenda mihangaikoni, mimi narudi kulala. Na nayainjoi Maisha yangu. Nikiamka napangilia ratiba zangu, naendelea nazo. Sihangaiki tena na Macharts. Nilikubali kuteseka kwa muda mfupi, ili nijipe Amani ya kiuchumi ya Miaka mpaka pale muda wangu wa kuishi utakapoisha!. ONCE U HOLD IT, DON'T LEAVE IT. ISHIKE MPAKA IWAKE!
Indonesia
21
60
194
4.3K
Haidar mohd
Haidar mohd@Haidarmohd70·
@Roma_Mkatoliki Kifo ni khatim ya kil mja kuish katk mda alio kadiriwa na sio kupendwa na mungu yani maneno ya kumpa moyo mfiwa asijiskie vibaya
Indonesia
0
0
0
17
#NIPENI_MAUA_YANGU💐
#NIPENI_MAUA_YANGU💐@Roma_Mkatoliki·
Inasemekana mtu akifa ni amependwa na Mungu!! Right?🤔 Ndiomaana tunasema Mungu amempenda zaidi!! “Zaidi” inamaana Mungu amempenda zaidi yetu sisi tuliobaki hai au amempenda zaidi yeye kwa kumuita kwake kule, tofauti na…. Nways tuiache hiyo!! Sasa ni kwanini sometimes maadui zako au watu unaowachukia unawaombea umauti!?🤔 Means unawaombea Mungu awapende? How?🤷🏿 Mtu kama ni adui kwako utatamanije Mungu ampende? Sio unatakiwa utamani Mungu Amchukie?🤔 Lakini pia ikitokea mtu aliekutesa au aliyetesa na kuonea na kunyima watu haki akafariki, kwanini wengi tunaamini kama Mungu amemuadhibu?🤔 Kwanini kufa kwa maadui tunaona ni Mungu kawapa adhabu sababu ya ukatili na matendo yao……….Wakati mtu akifa ni Mungu amempenda zaidi!🤷🏿 Sio kama tunaConfuse Upendo na Adhabu?
Indonesia
142
61
886
57.5K
Haidar mohd retweetledi
H’s mom
H’s mom@aiishadahir·
The Qur’an exposed the Number 1 mental health killer before psychology did. 1400 years before therapy was a trend, Allah diagnosed the root of most anxiety and depression! Subhan Allah.
English
84
2.1K
12.2K
691.4K