Mseminary 🤓

11K posts

Mseminary 🤓 banner
Mseminary 🤓

Mseminary 🤓

@HermanRaphael7

Hermarich Co Ltd. Wafugaji, wanunuzi na wasambazaji wa mifugo aina zote. Under God's control everything is possible.

Kagera, Tanzania Katılım Temmuz 2019
1.7K Takip Edilen1.8K Takipçiler
Mseminary 🤓 retweetledi
Eugene
Eugene@UTDEugeneee·
Before Lisandro Martinez there was Marcus Rojo.Just imagine this two as your center back pair there would be no mercy for the cripple.
English
6
15
289
14.7K
Mseminary 🤓 retweetledi
Fadhili Kangusi
Fadhili Kangusi@fadhilikangusi·
Pray for him!
Fadhili Kangusi tweet media
English
3
117
602
6.5K
Mseminary 🤓
Mseminary 🤓@HermanRaphael7·
Chelsea ni takataka za kijani
Polski
0
0
0
19
Brave man
Brave man@thomas_yona_·
Nipate chochote kitu kabla ya kwenda church 😀😎
Brave man tweet media
HT
10
18
82
1.5K
Mseminary 🤓 retweetledi
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
#TajiriLaKihaya Kwa Nini Iran Inasimama Peke Yake Dhidi ya Israel na Marekani Wakati Nchi Nyingine za Kiislamu Zinajiunga na USA: Kabla ya 1979, Iran chini ya Mohammad Reza Pahlavi ilikuwa mshirika wa karibu wa Marekani na ilikuwa na uhusiano wa kimya na Israel. Kila kitu kilibadilika baada ya Mapinduzi ya Kiislamu yaliyoongozwa na Ruhollah Khomeini. Utawala mpya ulijitambulisha kwa nguzo tatu: • Kupinga utawala wa Magharibi • Kukataa uhalali wa Israel • Utawala unaotokana na theolojia ya kisiasa ya Kiislamu ya Shia ✅ Utambulisho wa Kidini:- Iran ni taifa lenye Waislamu wengi wa SHIA katika Mashariki ya Kati, wakati nchi nyingi za Kiarabu ni Waislamu wa SUNNI kwa wingi. Mgawanyiko wa Sunni na Shia ulianza baada ya kifo cha Mtume Muhammad (SAW) , Awali ilikuwa ni kuhusu nani anapaswa kuwa kiongozi wa jamii ya Kiislamu; • Waislamu wa Sunni waliona kwamba uongozi unapaswa kwenda kwa SWAHABA bora zaidi (Abu Bakari RA). • Waislamu wa Shia waliona kwamba uongozi unapaswa kuwa kwa familia ya Mtume, hasa Ali RA. Kwa karne nyingi, tofauti hii ya kisiasa iligeuka kuwa ya kitheolojia. Leo: • Takriban 85-90% ya Waislamu duniani ni Sunni • Takriban 10-15% ni Shia • Iran ni takriban 90-95% Shia • Nchi nyingi za Kiarabu (Saudi Arabia, Misri, Jordan, n.k.) ni za Waislamu wa Sunni kwa wingi ✅ Nini Kinachofanya Fikra za Kisiasa za Shia Zilete Tofauti? Shia wa Twelver wanaamini kwamba Imam wa 12 alitoweka na atarudi kama Mahdi. Hii ilisababisha tatizo la kisiasa: Nani atakuwa kiongozi wakati Imam hayupo? Kwa karne nyingi, wasomi wa Shia waliepuka utawala wa moja kwa moja wa kisiasa,waliongoza jamii kimaadili lakini hawakuwa watawala. Hali hii ilibadilika mwaka 1979. ✅ Velayat-e Faqih – Mabadiliko Makubwa Baada ya mapinduzi, Ruhollah Khomeini alianzisha fundisho la: Velayat-e Faqih (Uangalizi wa Mchungaji wa Kiislamu) Hoja yake: Kwa sababu Imam hayupo, mtaalamu mzee wa Shia lazima atawala ili kuhakikisha haki za Kiislamu. Hii ilisababisha: • Kiongozi Mkuu • Uangalizi wa kidini juu ya taasisi zilizochaguliwa • Nchi iliyojengwa waziwazi kwa misingi ya sheria za Shia Mfano huu ni wa kipekee katika dunia ya Kiislamu. Hakuna nchi ya Waislamu wa Sunni iliyo na mfumo sawa wa ustawi wa kidini. ✅ Kwa Nini Hii Inasababisha Mivutano ya Kikanda Sasa tunahamia kutoka kwa theolojia hadi siasa za kimataifa. Kwa sababu nchi ya Iran imejengwa juu ya theolojia ya kisiasa ya Shia: • Iran inaona yenyewe kama mtetezi wa jamii za Shia • Inasaidia harakati za Shia nchini Iraq, Lebanon, Yemen • Inajiweka kisiasa kama upinzani dhidi ya udhalimu na “unyanyasaji” Ufalme wa Sunni,hasa Saudi Arabia wanaona hili kama: • Changamoto kwa halali yao • Tishio kwa utawala wa Sunni • Chanzo cha uwezekano wa machafuko ya ndani (kwa sababu wana wa Shia wachache) Hivyo, kinachoonekana kama “mivutano ya madhehebu” kwa kweli ni: Utambulisho wa kidini + Halali ya kisiasa + Mashindano ya nguvu ✅ Tabaka la Utambulisho wa Kipersia dhidi ya Kiarabu Iran ni: • Kipersia (si Miarabu) • Ina lugha yake mwenyewe (Farsi) Nchi nyingi za Mashariki ya Kati ni za Kiarabu. Hii inaongeza hali ya kujitenga. ✅ Kwa Nini Nchi Nyingi za Kiislamu Hazikabiliani na Marekani Hii si hasa kuhusu dini,ni kuhusu kudumu kwa utawala. 🇸🇦 Saudi Arabia • Ufalme wa Sunni • Ushirikiano wa usalama na Marekani • Makubaliano ya mafuta na usalama tangu 1945 • Kipaumbele cha uthabiti wa utawala kuliko upinzani wa kiitheolojia 🇯🇴 Jordan • Nchi ndogo, maskini wa rasilimali • Inategemea msaada mkubwa kutoka Marekani • Inatafuta utulivu 🇪🇬 Misri • Baada ya Camp David (1978), iliungana kimkakati na Marekani • Inapata msaada mkubwa wa kijeshi Nchi hizi si lazima ziwe za kibiashara kwa Israel,zinajiunga kimkakati na USA kwa ajili ya usalama na utulivu wa kiuchumi. Iran pia inashindana na nguvu za Sunni kwa uongozi wa kikanda. Kwa mfano: • Saudi Arabia inaona yenyewe kama kiongozi wa Uislamu wa Sunni. • Iran ina jiweka kama kiongozi wa SHIA.
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿 tweet media
Indonesia
82
85
351
34.8K
𝑵𝑨𝑩𝑬𝑬𝑳
𝑵𝑨𝑩𝑬𝑬𝑳@heisnabeel·
Hakuna kitu sikipendi kama mtu awe tayari kashakunja kona alafu asahau kuzima indicator light🤦🏾‍♂️
Indonesia
7
15
61
3.3K
Thom Mnkondya
Thom Mnkondya@Thommunkondya·
Ibrahim Traoré amesomea upima ardhi (land surveying) kabla ya kujiunga na jeshi na hatimaye kuwa Rais wa Burkina Faso. Ni mdogo kwa umri kuliko babu leve na mwijeke, lakini anatekeleza mambo makubwa sana kwa ajili ya Taifa lake. Hii inathibitisha kuwa, kuwa na maono makubwa na uwezo wa kuyatekeleza kwa manufaa ya nchi si suala la umri 😄.
Thom Mnkondya tweet media
Filipino
12
7
76
14.9K
Mseminary 🤓 retweetledi
EuroFoot
EuroFoot@eurofootcom·
🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿✨ 17 years ago today: Wayne Rooney scored 4 goals in a single match against Hull City! What a player. ⚽️⚽️⚽️⚽️
English
15
309
3.8K
120.2K
TANZANIA YETU
TANZANIA YETU@MguuKwaMguu2025·
@RickyJaduong86 Wazushi hutegemea hasira za wananchi ili kueneza ajenda zao. Lakini Watanzania wamekomaa na wanajua kuwa suluhu si vurugu bali mazungumzo na umoja unaolinda amani ya kudumu.#WanaharakatiWazushi Tuilinde Amani
Indonesia
1
0
0
512
Punch-UDSM90
Punch-UDSM90@RickyJaduong86·
Ndugu ZANGU kuna voice clip inasambaa sana ya George Simbachawene, sijajua kama ujumbe huu aliutoa zamani au kipindi hiki baada ya kutenguliwa. Vyovyote vile ni Maneno Mazito na ya Busara sana yamenenwa humo
Indonesia
6
19
432
38K
Hananya Naftali
Hananya Naftali@HananyaNaftali·
An Iranian girl inside Iran says: “Mom told me, ‘Tonight and tomorrow, you can stay out past midnight.’” In the background, a speech by HIH Mohammad Reza Pahlavi plays, with Queen Farah on the screen. This generation isn't looking back, they’re moving forward. Fearlessly.
English
254
2.6K
22.4K
914.6K
Mseminary 🤓
Mseminary 🤓@HermanRaphael7·
@Sativa255 Tanzania bodaboda wao wasafi awana ndevu na awapauki kwa upepo
Indonesia
0
0
5
1.4K
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
Wanangu hawa BODABODA wanambeba nani huko mitaani? kumbe kuna bodaboda hadi WABIBI na hamsemi.
SIR TIVA tweet media
Indonesia
36
42
492
29.5K
Mseminary 🤓 retweetledi
Abissay Stephen Jr
Abissay Stephen Jr@abissay_stephen·
Nimeyakumbuka maneno yaliyomfanya Coach Adel Amrouche afungiwe na CAF mechi 8 na fine USD 10,000 (Tsh 24,781,550) alisema "Morocco wanaushawishi CAF wa kupanga muda wa mechi na Waamuzi". Mwamuzi Boubou Traore (Mali) amewanyonga Tanzania sana hadi kukataa penalty.
Abissay Stephen Jr tweet media
Indonesia
48
57
861
30.4K
Maulid Kitenge
Maulid Kitenge@mshambuliaji·
Timu ya Taifa ya Afrika Kusini, Bafana Bafana imesukumizwa nje ya michuano ya Kombe la Mataifa Afrika AFCON 2025 kufuatia kipigo cha 2-1 dhidi ya Cameroon kwenye hatua ya 16 bora. Cameroon imetinga robo fainali na sasa itachuana na wababe wa Tanzania, Morocco kwenye robo fainali itakayopigwa Januari 09, 2026. FT: Afrika Kusini 🇿🇦 1-2 🇨🇲 Cameroon ⚽ 88’ Makgopa ⚽ 34’ Tchamadeu ⚽ 47’ Kofane #KitengeSports
Maulid Kitenge tweet media
Indonesia
2
4
118
5.6K
Ayubu Madenge
Ayubu Madenge@ayubu_madenge·
Jeshi la USA lilikuta Ulinzi wa Maduro upo imara na una wasubiri kwa mapambano. Makazi ya Maduro yalikuwa na milango ya chuma ambayo ni migumu kubomoa. Pia kulikuwa na chumba maalum cha Chuma ambacho alijaribu kujifungia ila wakawahi kumkamata. Pia hakuna Askari wa USA aliyekufa
Ayubu Madenge tweet media
Indonesia
59
68
859
28.2K