
Zero brain
4.4K posts







Kaka TAZAMA MBALI utagundua kuwa kuwa kila biashara inabidi mtu akupe HELA yake.. Utagundua pia hata hizo HISA, ili wewe uuze kuna mtu mahali ananunua.!! Forex sio kwamba kuna mtu anamnyang'anya mwingine hela ili akupe wewe.. Kuna Liquidity providers and all that.. UKITAZAMA MBALI utagundua kuwa sio kila kitu ambacho ni deep ni "UTAPELI WA WAZUNGU" Sasa kuna zerosum businesses na zinginezo (Japo mimi naaminigi zote ni ZEROSUM..mimi)






@gabyconscious Hii kiburi mzee, Tunapita tu Duniani man, Relax







Kutokana na maoni ya watu. Nimefungua WhatsApp Channel Itakayokuwa inacontent zilizochujwa vizuri za Technology pamoja na Uwekezaji wa Hisa, Bonds Crypto Wapenzi wa WhatsApp Channels Karibuni sana whatsapp.com/channel/0029Vb… Inspiration from @gabyconscious










