Bellah

8.5K posts

Bellah banner
Bellah

Bellah

@IbrahimNassib

Dodoma, Tanzania Katılım Ağustos 2011
1.9K Takip Edilen1.1K Takipçiler
Bellah
Bellah@IbrahimNassib·
@Sirajitz1 Maku hainaga makombo Pia kwasasa hakuna mwanamke wa peke yako na kumkuta bikra ni ngumu sana Wewe pia wanawake uliotembea nao ni mademu zawatu kwa muda mrefu
Indonesia
0
0
2
801
Headboy wa mtaa
Headboy wa mtaa@Sirajitz1·
Mtangazaji 🎤 D voice Ni kweli wewe na Lulu Diva mnatarajia kupata mtoto na mimba ina miez mingapi D voice 🎤 Ni kweli natarajia kupata mtoto na Lulu Diva , soon na kuhusu miez ya hio mimba hio ni siri yetu 🎤 Watu wanapenda ku judge pia umri niseme tu kama uliwahi kusikia msemo wa Mapenzi ni upofu basi jua mimi ni kipofu mwenyewe ---------------------------------- Hivi hii mishangazi hua ina dawa ama🤔 mtu anajua ma ex zake zaidi ya 7 waliopita nae ila bado anadata na kuchanganyikiwa . Imagine brazah wozzu kwa wema Sepetu Mapenzi noma wanangu 🙌
Headboy wa mtaa tweet media
Indonesia
16
16
173
27.6K
Trica Online Store
Trica Online Store@TriciaAbou·
Nina changaoto ya Sikio linauma mpaka kwenye taya za meno nazo zinauma, natumia dawa ile ya Maji naweka asubuhi na usiku ila bado haijasaidia 🥹 Kuna dawa nyingine ambayo inaweza saidia msaada 🙏🏻
Filipino
87
25
231
15.4K
Bellah
Bellah@IbrahimNassib·
@MsigwaGerson Ingekuwa kama unavyosema hizo asilimia usingekuja kulia lia hapa
Indonesia
0
0
0
7
Gerson Msigwa
Gerson Msigwa@MsigwaGerson·
Kuna nguchiro wamechapisha namba yangu binafsi ya simu mitandaoni na kuanza kuhamasisha watu wanishambulie. Nataka kuwaambia huo ni upuuzi na ni uvunjaji wa Sheria. Ukiondoa watu wachache sana wanatuma meseji za hovyo, asilimia 99 wananitumia meseji za kunitia moyo na kueleza utayari wao wa kuilinda nchi yao dhidi wenye nia ovu. Wale wanaoeleza changamoto za ajira na mitaji ninawapa majibu na nafikisha kwa wahusika zifanyiwe kazi. Nguchiro na chawa wa nguchiro acheni kupoteza muda na rasilimali mkiporomosha matusi, tulieni na tuungane kujenga na kulinda nchi yetu.
Indonesia
774
51
464
166.2K
IKINGI@2014
IKINGI@2014@gerino_andrew·
@Adventure_36 Nakumbuka, boss wq Latra alieleza vizuri sana kigezo cha nauli kupanda na taratibu zake. Kumbe nauli haziongezwi kama vocha ni mchakato. Serikali ina taratibu nzuri sana, shida sisi na mihemko
5
2
28
8.3K
Adventure-360
Adventure-360@Adventure_36·
Mwenyekiti wa chama cha Wamiliki wa Daladala mkoani Dar es Salaam anasema hizi ndo nauli walizopendekeza wao kutokana na kupanda mwa mafuta. Nauli ya 600 iwe 850 Nauli ya 700 iwe 1300 Nauli 800 iwe 1700 Nauli ya 900 iwe 2100 Nauli ya 1100 iwe 2500 Nauli ya 1300 iwe 3000 Lakin
Indonesia
139
74
875
69.2K
kasesco☆
kasesco☆@kasesco_tz·
Mtaa gani ambao kila mkoa lazima uwepo..👇
kasesco☆ tweet media
Indonesia
235
23
305
30.7K
Bellah
Bellah@IbrahimNassib·
@hancymachemba Polee sanaa Allah akufanyie wepesi katika kipindi hiki kigumu unachopitia
Indonesia
0
0
0
4
Hancy Machemba
Hancy Machemba@hancymachemba·
Tukiwa Hospital uliniambia "daddy twende nyumbani sitaki kukaa hapa" Nilikuahidi uongo kuwa tutarudi nyumbani kumbe hautorudi tena. Pumzika kwa amani mtoto wangu Machemba jr😘😘😭😭😭
Hancy Machemba tweet media
Indonesia
1.4K
174
2.1K
85.4K
Bellah
Bellah@IbrahimNassib·
@godbless_lema Wapuuzi sana Ila zile damu zitawatafuna sanaa hakuna damu ya mtu inayomwagika bure
Indonesia
0
0
0
46
Godbless E.J. Lema
Godbless E.J. Lema@godbless_lema·
Kauli hiyo inapotosha. Idadi haikuwa ndogo, na hata kama ingekuwa, maisha ya binadamu hayapimwi kwa mizani ya kulinganisha na maafa ya wengine. Kila kifo ni hasara kubwa kwa familia na taifa. Badala ya kupunguza uzito wa tukio, jamii inapaswa kuonyesha masikitiko, kuwajibika, na kuhakikisha haki na usalama vinatangulizwa. Maisha ya Mtanzania hayapaswi kupunguzwa kwa takwimu.Taifa hujengwa juu ya kulinda uhai, si kulinganisha maumivu yake na ya wengine. Ni muhimu jamii kuendelea kujua ukweli na kutambua uzito wa kila tukio na huchukua hatua za kuhakikisha halijirudii tena.
Godbless E.J. Lema tweet media
Indonesia
70
150
754
28.3K
Bellah
Bellah@IbrahimNassib·
@kasesco_tz Chai maharage ila kwasasa tumepiga sana hatu labda Zanzibar kama bado wanazo
Filipino
0
0
0
62
kasesco☆
kasesco☆@kasesco_tz·
hii chuma unaifaham kwa jina gani na inapatika hasa wap..?
kasesco☆ tweet media
Filipino
25
11
96
5.3K
Adventure-360
Adventure-360@Adventure_36·
SGR ikimalika watu kutoka Dar kwenda Mwanza watatumia masaa sita tu. Hapa watu wa mabasi wajiandae
Indonesia
59
32
510
53.4K
Bellah retweetledi
M.D (🅨)
M.D (🅨)@ReganTesla_·
Unahitaji kuwa na roho ya kichawi sana kumchukia Lissu. Na licha huo uchawi bado utateseka kumchukia.
हिन्दी
17
157
1K
13.1K
Bellah retweetledi
Jebra Kambole
Jebra Kambole@Advocate_Jebra·
Heshima Kubwa sana kwa kaka mkubwa Sele! Sisi wadogo zako hatukudai kabisa!!!
Jebra Kambole tweet media
Filipino
20
282
2.1K
17.9K
Bellah
Bellah@IbrahimNassib·
@kalage_jr Gawa tu kwa hisani ya Sadio Mane
Indonesia
0
0
0
27
John kalage 🇹🇿
John kalage 🇹🇿@kalage_jr·
Mmeamkaje huko.? perfume mnazo au niwape kwa bei nafuu.?
John kalage 🇹🇿 tweet mediaJohn kalage 🇹🇿 tweet mediaJohn kalage 🇹🇿 tweet mediaJohn kalage 🇹🇿 tweet media
HT
1
1
37
1K
Bellah
Bellah@IbrahimNassib·
@HildaNewton21 Roho za ndugu zetu naona zitaanza kutulia kwa amani taratibu
Indonesia
0
0
4
1.1K
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Watu wa Mwanza mnasiri sana kumbe jana kulikuwa na tukio kubwa hivi halafu hatuambiani? Halafu ukute hawa Polisi ndo wale kazi yao kubambika watu kesi za mchongo.
Hilda Newton tweet media
Indonesia
44
84
778
31.5K
chuga girl❣️
chuga girl❣️@Lizzie36021·
Team senegal mmelala au mpo wapi??😜
Indonesia
12
1
36
1.5K
Bellah
Bellah@IbrahimNassib·
@mzeewakaliua Pia penalty ya Diaz ni fair kampelekea kabisa kipa
Indonesia
0
0
0
279
OscarOscar
OscarOscar@mzeewakaliua·
Goli la Senegal lilikuwa Goal halali na penalty ya Morocco, ni Penalty halali!
Indonesia
61
45
1.1K
33.5K
George Ambangile
George Ambangile@George_Ambangil·
Pale tu Ndala alipokataa goli la Senegal ndio ishu ikaanza . Goli la Sarr should've stood . Seck was more stronger than Hakimi . And the penalty ni right decision pia . consistency.!
Filipino
74
78
1.7K
47.5K