Steph

73.2K posts

Steph banner
Steph

Steph

@IheboJr

sharing things i'm learning through life and other interests

Afrika Katılım Mayıs 2023
2.6K Takip Edilen5.6K Takipçiler
Steph
Steph@IheboJr·
chuki ni upendo uliokosa matunzo
Filipino
0
1
2
24
Steph
Steph@IheboJr·
mitaa inavumbi lakini ndoto hazichafuki
Eesti
1
2
5
36
Steph
Steph@IheboJr·
Full Time: 5imba 0-2 YANGA Nabaki na Yanga ✊
Filipino
0
1
2
36
Steph retweetledi
Ambele Young
Ambele Young@Ambele_Young·
Kuanzisha penzi jipya ni kazi sana, kwanza inabidi ujifanye hupendi sex 😂😂😂
Indonesia
62
74
349
9.2K
Steph retweetledi
Brave man
Brave man@thomas_yona_·
Siku nyingine tena ya Kumshukuru Mungu kwa kutuamsha salama Ikawe jumapili njema na yenye baraka kwa wote Good morning Familia 🌤
Indonesia
21
29
45
340
Steph retweetledi
Ambele Young
Ambele Young@Ambele_Young·
📢 WAKUU NAOMBA RETWEETS 🙏🏾🙏🏾 OFA OFA OFA! 🚀 Badala ya 110,000/= sasa lipa 100,000/= tu upate router yako leo! 💥 📶 25Mbps – 70,000/= (siku 30) ⚡ 40Mbps – 100,000/= (siku 30) Internet ya uhakika, kasi ya uhakika Usikose! 🔥 📞 0693947007 💬 wa.me/255693947007 📩 DM: @amosrichar14147
Ambele Young tweet media
Indonesia
18
56
53
591
Steph retweetledi
Adv.Innocent⚖️
Adv.Innocent⚖️@Adv_innocent·
Mungu katupa siku nyingine tena, leo atukumbushe kusema ukweli kwenye hali yeyote..hata kama wanaotuunga mkono na kutusapoti wakienda kinyume bado tusimamie kweli ili hiyo kweli ituweke huru. Good morning🖐
Filipino
54
88
145
1.5K
Steph
Steph@IheboJr·
timu mwenyeji kufanya mazoezi ya mwisho muda mfupi baada ya timu mgeni kumaliza ni ushirikina tu... hakuna mantiki yoyote
Indonesia
0
2
3
81
Steph
Steph@IheboJr·
ukiwa huna pesa siku kama ya leo... usiwe wa kwanza kumaliza bia
Indonesia
1
1
6
107
Steph
Steph@IheboJr·
yaani hii mvua nimefika karibu na Bar ndiyo imeanza... haya ngoja niingie nisubiri ikatike tu!
Indonesia
0
4
8
106
Steph
Steph@IheboJr·
ukiwa na wateja 20 ukapambana wakafika 100... umejiongezea mshahara bila kusubiri hotuba ya mei mosi
Indonesia
0
8
17
178
Steph retweetledi
Adventure-360
Adventure-360@Adventure_36·
Tarehe 01 Mei kila mwaka ni siku ya Wafanyakazi, lengo ni Kuwatambua na kuwapongeza wafanyakazi kwa mchango wao katika jamii. Pia Kupigania haki za wafanyakazi kama mishahara bora, mazingira salama ya kazi, na saa za kazi zinazofaa.
Indonesia
4
15
42
413