
@1TraVeLA Ikifika mpaka tarehe 31 May ligi haijaisha basi itaisha mwezi wa 8
Indonesia
Imaginator
378 posts



New Life!








Hii gari nakumbuka ni mali ya chama lakini mtu kajimilikisha na inapigwa mnada huku kesi ya mali za chama ikiwa haijaisha. Labda tupate ufafanuzi wa chama au wa mmiliki wa sasa ameipataje. Wameuza akaunti ya chama ya X/twiter kwa milioni 10, sasa wameanza kuuza magari. Nasikia ford ranger zimetafunwa injini na giabox zote Itabidi tumtonye Bwana Side boy aieleze Mahakama kuwa wameuza mali za Chama🙌🏾😁😁😁




