inalipa inc

1.9K posts

inalipa inc banner
inalipa inc

inalipa inc

@Inalipa_tz

We sell and deliver products that people make to the people who need them.

Tanzania Katılım Mart 2020
121 Takip Edilen1.8K Takipçiler
inalipa inc
inalipa inc@Inalipa_tz·
Wakati wa kuchangamkia OFA ndio huu! Furahia PUNGUZO maalumu la 20% pale unapofanya shopping ya TZS 100,000 au zaidi kupitia inalipa. Tembelea inalipa app au bit.ly/inalipa4u sasa kufanya shopping yako. #inalipa #Discount
inalipa inc tweet media
Indonesia
0
1
0
124
inalipa inc
inalipa inc@Inalipa_tz·
Muda wowote ni muda wa maziwa! Sasa skia, jipendelee kwa kunywa milkshake za Milkit zenye fleva mbalimbali sasa. Tembelea inalipa app au bit.ly/Milkitshake kuagiza ufurahie maziwa yenye ladha tofauti na uliyozoea. #inalipaapp
inalipa inc tweet media
Indonesia
0
1
0
116
inalipa inc
inalipa inc@Inalipa_tz·
Skia, fanya yooooote ila usiache KULA KUKU. Hebu jipendelee kwa kuagiza kuku sasa kupitia inalipa app au bit.ly/intachk na tutakuletea mpaka ulipo. #inalipaapp
inalipa inc tweet media
Indonesia
0
0
0
52
inalipa inc
inalipa inc@Inalipa_tz·
Una uhuru wa kufanya shopping muda wowote kupitia inalipa app. Download inalipa app sasa ufanye manunuzi ya bidhaa unazohitaji na tutakuletea ulipo jijini Dar. #inalipaapp #inalipa
inalipa inc tweet media
Indonesia
0
1
0
99
inalipa inc
inalipa inc@Inalipa_tz·
Happy Mother's Day kwa MAMA wote, popote pale mlipo. Ninyi ndio mashujaa halisi katika jamii na msingi wa maendeleo. Asanteni kwa kuilea jamii na taifa kwa ujumla. #MothersDay #inalipa
inalipa inc tweet media
Indonesia
0
1
0
145
inalipa inc
inalipa inc@Inalipa_tz·
Wine bora za Four Cousins Sweet Rose zinapatikana sasa kwa bei nafuu ya JUMLA. Tembelea inalipa JUMLA app kuweka oda au wasiliana nasi bure kwa namba 0800710700. Tutakuletea mzigo ulipo. #inalipaJUMLA
inalipa inc tweet media
Indonesia
0
1
0
135
inalipa inc
inalipa inc@Inalipa_tz·
Skia, asikupangie mtu muda wa kunywa maziwa mkuu. Agiza maziwa fresh ya Asas kwa kutembelea inalipa app au bit.ly/AsasMilk kuweka oda yako kisha tunakuletea mpaka ulipo.
inalipa inc tweet media
Indonesia
1
0
0
82
inalipa inc
inalipa inc@Inalipa_tz·
Tunawatakia wafanyakazi wote Heri Ya Siku Ya Wafanyakazi. Tunathamini mchango wenu katika kukuza uchumi wa nchi na jamii kwa ujumla. Asanteni sana! #inalipa #LabourDay #MeiMosi
inalipa inc tweet media
Indonesia
0
2
1
204
inalipa inc retweetledi
Hopewell Chin’ono
Hopewell Chin’ono@daddyhope·
Today I met a great African woman, Mwamvita Makamba @Makambas from Tanzania. She has written a beautiful book for the Girl Child called, Things I Tell My Daughter. It will soon be on Amazon for everyone. Today, you can order it to your door in Tanzania via @Inalipa_tz Let us write our stories for future generations to read, well done to Mwamvita👏🏿👏🏿👏🏿
Hopewell Chin’ono tweet mediaHopewell Chin’ono tweet media
English
44
38
300
84K
inalipa inc
inalipa inc@Inalipa_tz·
You heard Mr. Hopewell. Get your copy now and we will deliver it to you. 🤝🏾
Hopewell Chin’ono@daddyhope

Today I met a great African woman, Mwamvita Makamba @Makambas from Tanzania. She has written a beautiful book for the Girl Child called, Things I Tell My Daughter. It will soon be on Amazon for everyone. Today, you can order it to your door in Tanzania via @Inalipa_tz Let us write our stories for future generations to read, well done to Mwamvita👏🏿👏🏿👏🏿

English
0
0
1
217
inalipa inc
inalipa inc@Inalipa_tz·
Unahitaji bidhaa za JUMLA za Chai Bora? Usisumbuke sana. Tembelea app ya inalipa JUMLA sasa kuweka oda au wasiliana nasi bure kwa namba 0800710700. Tutakuletea bidhaa mahali ulipo. #inalipaJUMLA
inalipa inc tweet media
Indonesia
0
1
0
98