Kaiser🇬🇧
6.7K posts


@pksalasya Unasimama na Wamunyoro na unataka kiti ya pale Mumias🤣🤣🤣
Filipino

I stood with Rigathi Gachagua when it was politically costly to do so. I was removed from key committees because I refused to betray my principles during the impeachment process. Loyalty tested in difficult moments creates lasting trust, and that is why our political relationship remains strong today.”

English

@pastajoshuatz Watu wanapuuza shule lakini elimu ni muhimu sana kwenye mahusiano labda kama wote hamjasoma hapo sawa
Filipino

@Sirajitz1 Kamsapoti wewe na ukoo wenu huyo ni msaliti wa jamii kama wasanii wengine tu
Indonesia

Mchagga 🎤 unajiskiaje Gigy money ukiona picha zako za utupu mtandaoni na watu wanavyosema kuzihusu.
Gigy Money 🎤 Kiukweli nikiona naona tu kila mtu ambae anakuzunguka siku video zako zikivuja nae lazima ataziangalia na kukusema
🎤 Ila mchagga mbona unapigo za KE , unaniulizaje swali kama hili, hauoni kua kama una ni bully na unafurahia?
🎤 Angelikua dada ako ungeweza kumuuliza hivi
-------------------------------
Mitandao haisahau
Gigy money ana another chance na watanzania wote tunaendelea kusmupoort and take it as a mistake


@MkulimaKante Kama ni kweli basi naenda kushona suti hapo wikiendi hii
Filipino

@isaonyango @calvinokello4 The DCP candidate would have got votes even if he ran independently
English

@calvinokello4 Asking how UDA is winning in Emurua Dikir is just insane. The question should be, how DCP is getting so many votes in Ruto's stronghold. This should worry tutamers how Ruto is securing a decisive tutam.
English

@gratian_barbosa Kama defensive midfielder kazidiwa hata na vierra lakini box to box midfielder hakuna kama huyu
Indonesia

@zittokabwe We nae kwenda unatumika af saa hii ndio unakuja kujifanya uko smart hebu tutolee unafki
Indonesia

Zama za Ofisi ya Msajili wa Vyama kuwa mchezaji namba 12 wa CCM FC zimekwisha.
Dola isome alama za nyakati. The writing is on the walls!
Msajili STOP THIS NONSENSE ya kutaka kufuta CHADEMA. Utafutwa wewe, No doubt about this!
Tume ya Chande iliyoundwa na Rais imetoa Taarifa inayosema wananchi wanailalamikia Ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa kutokutenda haki kwenye kusimamia shughuli za vyama vya Siasa. Badala ya Msajili kuchutama, kuwajibika na kubadilika anarudia makosa yaleyale yaliyopelekea mauaji yaliyoanza Oktoba 29.
Msajili anajua, Watanzania wanajua na Dunia inajua kuwa Kuna ushahidi wa kutosha wa CCM kufanya makosa makubwa kuliko hata ambayo msajili ameituhumu Chadema, hatukuwahi kuona hatua zozote zimechukuliwa na Ofisi hii ya Msajili.
Ofisi ya Msajili ijue WATANZANIA SIO MABWEGE. Tunachukulia tishio lolote dhidi ya CHADEMA ni tishio dhidi ya Demokrasia. An attack to one, is an attack to all.
Iacheni CCM ifanye Siasa za Ushindani dhidi yetu. Nasi tufanye siasa za ushindani dhidi yao.
Acheni kuwa mbeleko ya CCM. Mtaanguka nayo. Ujumbe huu sio wa Msajili tu bali pia ni kwa VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA pia. Kaeni pembeni acheni vyama vya Siasa vifanye Siasa.
Mnataka watu wangapi wafe ili mpate somo?
Indonesia

@emabilly2001 Kwahio kupiga picha na hio kumbafu ni unaita mafanikio
Filipino























