Dikteta akitaka kuteka NCHI anaanza kuvunja NORMATIVE VALUES. Anashambulia Katiba kwa kupiga watu risasi; kupiga mabomu; kukamata watu; kunyamazisha watu kwa vitisho. Anafanikiwa pale WANANCHI, na taasisi hazitompina. Mabadilko ya Katiba ni MWISHO akishavunja VALUES za nchi.
Kama vyombo vyetu vya habari vya kizazi kipya vingekuwa na watu wanaofikiria vizuri visingemchukua Anna video hasa kile kipande analia kuhusu kufiwa na familia yake yote. Sometimes tuwaache watu waomboleze tu jamani bila kutaka views za video.