Innocent Kalikawe
2.4K posts

Innocent Kalikawe
@Innocent087
Know why then do it. BA in Planning&Community devl/Painter/Electrician/Activist/A speaker of Swahili, English, German & Spanish.

Namshkuru Mwenyezi Mungu kwa kunijaalia Afya, Utashi na Hamasa ya kwenda kuchukua fomu ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Kinondoni siku ya leo. Kwa wale mnaosema siwezi nawakumbusha tuu Jesca hakumsupport Baba yake. Asanteni Nyote mmenitia nguvu sana. 💜

#Bungeni: Akichangia Bajeti ya Wizara ya Elimu, Mbunge wa Kuteuliwa (CCM), Shamsi Vuai Nahodha ameweka mkazo kwenye uhusiano wa kile kinachofundishwa darasani na uhalisia wa maisha. Kwa urefu zaidi unaweza kuitazama kupitia YouTube channel yetu ya EastAfricaTV #EastAfricaTV #Bungeni #HainaKuchoka #EATV2025

Hongera sana rafiki yangu @RahmaMwita na Kilalakheri kwenye hatua zijazo mbele You have my full support