BIASHARA BORA ZA MUDA WOTE ZENYE MZUNGUKO MKUBWA NA FAIDA NZURI HAYA KWA WENYE MTAJI MDOGO.
.
Fursa yeyote ya biashara inategemea na mahali ulipo na uhitaji katika eneo husika.
Biashara unazoweza kufanya.
1. Chakula ni kipaumbele kwa kila mtu, fungua duka la vyakula na nafaka.