Eknowsaint

1.4K posts

Eknowsaint banner
Eknowsaint

Eknowsaint

@InnocentMmbando

Auditor/Tax Consultant/Views are my own.

Mwanza, Tanzania Katılım Şubat 2015
797 Takip Edilen145 Takipçiler
Eknowsaint retweetledi
Dingii
Dingii@Dingiiiiiii·
Rip Mengi
Dingii tweet media
Indonesia
1
3
67
4.9K
Latto 𝕏
Latto 𝕏@Rydx_017·
Rick Rose ana msemo wake, Anasema ukitaka kuwa tajiri.. "Never leave any money on the table" How.. Tuseme una duka lako, unauza nguo, mteja akaja anataka shati wewebukawa unaliuza kwa 10k. Mteja ana 7k na analitaka sana hilo shati, ila hiyo 3k ya kuongezea hana. Rick Rose anakwambia, Mwambie mteja leta hiyo 7k, nakupa shati, kesho ukipata 3k uniletee uje umalizie deni lako!!!
Latto 𝕏 tweet media
Filipino
18
13
240
22.9K
Eknowsaint
Eknowsaint@InnocentMmbando·
@INFLUENCERjr Ila turudi nyuma kidogo,tuskie wachambuzi walichokisema wakati Yanga walipeka Derby Zanzibar!!
Indonesia
0
0
0
70
Eknowsaint retweetledi
Eknowsaint retweetledi
Samuel Leeds
Samuel Leeds@samuel_leeds·
I'm running a free online training that explains in detail how you can profit from all of these strategies in 2026. Click the link bio if you're interested in joining!
English
9
4
75
18.8K
Ayubu Madenge
Ayubu Madenge@ayubu_madenge·
Picha hii ilipigwa January 23 mwaka 2009 ndani ya Ikulu ya Whitehouse. Hapa Obama alikuwa anafanya kikao na washauri wake wa uchumi. Picha inaonesha Obama akiwa amesimama kwa kutulia akisikiliza kwa makini mtaalam akieleza jambo. Kiongozi mzuri inapaswa uwe msikilizaji mzuri.
Ayubu Madenge tweet media
Filipino
16
46
886
21.4K
Samatime Car Dealers Co Ltd
Samatime Car Dealers Co Ltd@samatimemagari·
JIFUNZE Jinsi ya kutumia options za Gears Kwenye Gari Automatic. . Gari za AT zimekua rahisi sana kuendesha, watu wasiopenda manual wametokea kuzipenda sana na wanazifurahia. . Mtu akishapata Leseni tu Utasikia wanakwambia We ingia ukishaweka D ndo ushamaliza Dar Moro hii hapa.
Samatime Car Dealers Co Ltd tweet media
Indonesia
281
1.1K
2.1K
0
Eknowsaint retweetledi
#ElimikaWikiendi
#ElimikaWikiendi@ElimikaWikiendi·
“Mafanikio hayatokani na shule au chuo ulichosoma. Mafanikio yanatokana na wewe mwenyewe.” - Dave Ramsey
#ElimikaWikiendi tweet media
Indonesia
2
70
317
6.2K
Eknowsaint retweetledi
SikilizaTogolani
SikilizaTogolani@SikilizaTogolan·
"Iwe ni shuleni, kazini, shambani au biashara, mafanikio hutegemea sana nidhamu na nidhamu ni zao la malezi, mifumo na imani." ~Togolani Mavura.
SikilizaTogolani tweet media
23
106
500
11.7K
Eknowsaint retweetledi
#ElimikaWikiendi
#ElimikaWikiendi@ElimikaWikiendi·
“Jamii yoyote ile haiwezi kujikomboa kutoka kwenye umaskini wa kipato bila kwanza kujinasua kutoka kwenye umaskini wa fikra.” - Reginald Mengi
#ElimikaWikiendi tweet media
Indonesia
8
120
636
19K
Eknowsaint retweetledi
SikilizaTogolani
SikilizaTogolani@SikilizaTogolan·
"Ukiwa na taarifa chache, epuka kuwa na maoni mengi." ~Togolani Mavura.
SikilizaTogolani tweet media
Indonesia
34
177
894
43.1K
Eknowsaint retweetledi
Maxwell 🕊
Maxwell 🕊@MindWisdomMoney·
Maxwell 🕊 tweet media
ZXX
124
2.4K
21.9K
809K
Eknowsaint retweetledi
SikilizaTogolani
SikilizaTogolani@SikilizaTogolan·
"Wakati mwingine msimu wa neema unaweza usiufikie au ukachelewa sana ukakukuta moyo wako umejeruhiwa kiasi cha kutoifaidi neema yako. Usisimamishe kuishi ukisubiri yajayo ambayo huna miadi nayo. Ishi wakati ukisubiri na subiri ukiwa unaishi." ~Togolani Mavura.
SikilizaTogolani tweet media
Indonesia
23
103
410
16.2K
Martin Maranja Masese
Martin Maranja Masese@IAMartin_·
Kwa kuwa nilitangaza kumuunga mkono @freemanmbowetz katika uchaguzi wa chama chetu hadharani, ndivyo nampongeza @TunduALissu kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA katika uchaguzi huru na haki. Binafsi, namtakia heri katika uongozi wake. CHADEMA tumetoa darasa la demokrasia. ✌🏾
Indonesia
608
553
5.7K
152.7K
Eknowsaint retweetledi
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
Asante Sana FAM. Naomba Repost 1000🔥🔥🔥✅
SIR TIVA tweet media
Português
65
1.1K
3.3K
63K