Home boy

1.6K posts

Home boy

Home boy

@IssaYurry1

DREAM

Katılım Eylül 2021
209 Takip Edilen46 Takipçiler
joseph_selasini
joseph_selasini@joeselasini·
Ni kweli huyu ni Mkiti wa Chadema wilaya ya Mwanga? Kama ndivyo msimamo wa chama unaotolewa na Msemaji Mkuu wa chama akifafanua maamuzi ya kamati kuu haujui au haya anayofanya ni kusudi?
Indonesia
39
6
61
9.3K
Home boy
Home boy@IssaYurry1·
@aairyss1 @millardayo Kesi kashashinda ndio maana mukajitia kukata rufaa mahakama kuu kwa sababu muna ficha uovu wenu kwenye mahakama naona mpaka leo mwezi wa pili tangu mulipo kata rufaa mahakama kuu haijapanga tarehe ya kusikilizwa mpakaleo mwajua kama hamumuwezi kwa elimu akili na maarifa
Indonesia
0
0
1
156
Aairaair
Aairaair@aairyss1·
@millardayo Hakuna cha mazungumzo hapa...ashinde case yake ndo atoke Wala hakuna anaembembeleza kufanya mazungumzo, maana yeye siyo wa muhimu! Aendelee kutoa darasa la sheria Si mlikuwa hamtaki mazungumzo nyie😂🤌🏻 Saiv kelele kibao No body cares about him, hakuna huruma za kumpa
Filipino
13
1
5
1.9K
millardayo
millardayo@millardayo·
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetoa taarifa kikieleza kuwa April 15, 2026, Mwenyekiti wake, Tundu Lissu, amewasilisha mapendekezo muhimu kwa Rais wa zamani wa Jamhuri ya Malawi, Lazarus Chakwera, akiwa mahabusu katika Gereza la Ukonga jijini Dar es salaam, wakati Lissu alipopata fursa ya kukutana na Kiongozi huyo. Kwa mujibu wa taarifa hiyo iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi wa CHADEMA, Brenda Rupia, Lissu amewasilisha hoja kadhaa zinazolenga mustakabali wa demokrasia na utawala wa sheria Nchini Tanzania, miongoni mwa hoja hizo ni pamoja na kueleza kuwa kesi ya uhaini inayomkabili inatokana na msimamo wake wa “No Reforms, No Election,” akisisitiza kufutwa kwa kesi zote zinazomkabili yeye na chama, pamoja na utayari wake kushiriki mazungumzo akiwa huru. Taarifa hiyo inaeleza kuwa Lissu pia amependekeza kufanyika kwa uchunguzi huru wa kimataifa kuhusu matukio ya Oktoba 2025 kupitia Taasisi za Kikanda kama SADC, pamoja na kuwepo kwa mazingira wezeshi yatakayowezesha mazungumzo ya kweli na utekelezaji wake. Aidha, amesisitiza umuhimu wa uwajibikaji wa taasisi mbalimbali za umma ikiwemo Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Tume ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), akirejea pia mapendekezo ya ripoti za Jaji Nyalali (1992) na Jaji Chande (2023), kuhusu mageuzi ya kisiasa na kiutawala. Katika hatua nyingine, Lissu ameeleza umuhimu wa kufanyika kwa mageuzi ya mfumo wa uchaguzi, ikiwa ni pamoja na kuundwa kwa chombo huru cha kusimamia uchaguzi, kwa kuzingatia ripoti za waangalizi wa uchaguzi kuanzia mwaka 1995 hadi 2025, pamoja na mapendekezo ya Tume za Jaji Warioba na Nyalali. Wakati huo huo, CHADEMA imesema Lissu amepatiwa nakala ya uamuzi wa Mahakama ya Rufani uliotolewa Aprili 15, 2026 unaoruhusu chama kuendelea na shughuli zake, ambapo baada ya kuupitia uamuzi huo, ametoa wito kwa Wanachama na Watanzania kwa ujumla kujiandaa kwa hatua zinazofuata za kisiasa, hususan maandalizi ya mikutano ya hadhara. #MillardAyoUPDATES.
millardayo tweet media
Indonesia
45
27
430
33K
Hasta La Victoria Siempre
Hasta La Victoria Siempre@Oktoba29·
Kushoto ni Pilot na Spika bunge la Iran, Dr Mohammad Ghalibaph, Mwenye Degree mbili za Human Geography, na PhD ya Political Geography. Kulia ni Fundi na Spika wa bunge la Tanzania, Mussa Zungu, Mwenye Elimu ya ufundi wa Mambo mbalimbali kwenye ndege. Astaghfirullah
Hasta La Victoria Siempre tweet mediaHasta La Victoria Siempre tweet media
Indonesia
33
43
536
39K
Home boy
Home boy@IssaYurry1·
@swahilitimes Nyinyi kazi yenu ni kufikiria uongozi tu ili muibe kodi zetu muzidi kushuka mashavu kama tembo hamuna hata mawazo ya kushuhulikia wananchi
Indonesia
0
0
0
139
Swahili Times
Swahili Times@swahilitimes·
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amekemea wanachama walioanza harakati za kusaka urais mwaka 2030 akieleza kuwa muda wa kufanya hivyo bado haujawadia.
Indonesia
40
6
95
10.4K
Home boy
Home boy@IssaYurry1·
@Jambotv_ Kutolea watu maneo siyo busara ya kujenga kitu kaeni chini mujitathimini mumekosea wapi mpaka tukafikia hapa
Indonesia
0
0
1
211
Jambo TV
Jambo TV@Jambotv_·
VIDEO: Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, ametoa wito kwa Watanzania kuwa makini na matumizi ya mitandao ya kijamii, akisema baadhi ya watu wanaposhiriki mitandaoni huonekana kama wanajua yote, wakati kwa kweli hawana uhusiano wala ufahamu wa kweli. Akizungumza katika Misa ya kuaga mwili wa marehemu William Lukuvi, bungeni jijini Dodoma, Dkt. Nchemba amesema: "Siku hizi tunatumia vibaya mtandao. Sisi hapa mitandaoni, wapo wengine wakiandika utadhani ni Mungu kaandika. Ukimwangalia mtu mwenyewe anayeandika hivyo, ameshadhulumu dhulumu tu; hata sio msafi, ana madeni kibao na utapeli mwingi. Somo la leo, Baba Paroko, limetusaidia sana kuturudisha binadamu, tuone sisi ni binadamu na safari yetu ni moja." Ameongeza kuwa, kupata masahihisho ya kuweza kujua nani ananufaika au nani amekosea, ni jambo linalobaki kwa Mungu peke yake.
Filipino
61
3
88
14K
M.B.G
M.B.G@_kingOFstreet·
Football ❌️ Basketball ❌️ Democratic ❌️ Music❌️ Sisi kama nchi tunaweza nn?
M.B.G tweet media
English
71
9
99
6.6K
Real Nigger
Real Nigger@MrDepalitto9·
Kutoka inbox Nimetoka safari ya nje ya nchi Nilikaa miezi 6 lakini nilipolejea nyumbani nimekuta mama watoto wangu anasumbuliwa na ugonjwa huu..Nishaulini nimwambie atumie dawa gani amegoma kwenda hospital anasema anaona aibu nimempiga picha Kwa kumvizia na sio Kwa hiari yake 🙏
Real Nigger tweet media
Filipino
80
5
92
25.9K
MR BEN
MR BEN@Eric__Bernard·
Pumzika Kwa Amani Mzee William Vangimembe Lukuvi. 🙏
MR BEN tweet media
Suomi
11
16
135
3.6K
Home boy
Home boy@IssaYurry1·
@fumbokhanJr Wewe hasa una chekesha sasa mtu tangulini kuinjoi maisha akiwa na bibi yake mzalia mama huoni kama kuna tofauti hapo raha ya maisha muwe na age sawa au mupishane kwa miaka 2 au 5 mwisho lakini unainjoi na mtu maisha kakupita miaka 39 ambae mtu huyo kasoma darasa moja na bibi yako
Filipino
0
0
0
109
Fumbo Khan
Fumbo Khan@fumbokhanJr·
Konde boy Kuna namna Ana enjoy Maisha yake Kimya Kimya bila Kelele, Hivi ndivyo binadamu tunatakiwa Kuishi.
Fumbo Khan tweet media
Filipino
14
18
486
18.5K
Ayubu Madenge
Ayubu Madenge@ayubu_madenge·
Siku ya Arsenal kubeba kombe la kwanza la msimu huu kati ya mengine mengi ambayo itabeba imewadia. Siku ya Arsenal kuithibitishia dunia kuwa msimu huu ni msimu wa kuweka heshima imefika. Leo ni heri Man City wasije uwanjani wakapoteza kombe kwa heshima au waje tuwafunge kwa aibu.
Ayubu Madenge tweet media
Indonesia
120
32
573
19.9K
millardayo
millardayo@millardayo·
Watanzania mbalimbali wameguswa na simulizi ya kijana Kassimu Hamis (29), Mkazi wa Buzebazeba katika Manispaa ya Kigoma Ujiji Mkoani Kigoma, ambaye alionekana akilia baada ya kudai kudhulumiwa shilingi 10,000 na wenzake waliokuwa wakifanya kazi pamoja ya kukusanya mchanga wa ujenzi. Baada ya tukio hilo kusambaa mitandaoni, Wananchi na wadau mbalimbali waliguswa na kuanza kujitokeza kumchangia fedha ili kumfariji na kumsaidia katika maisha yake ya kila siku. Kupitia michango hiyo, Kassimu amekabidhiwa jumla ya shilingi milioni 2,817,000, fedha ambazo zimewasilishwa kwake na Mwandishi wa Habari wa @AyoTV_ Kigoma ambapo pia alifika Nyumbani anapoishi Kassimu na Familia yake, ambayo ilieleza kuwa Kijana huyo ndiye tegemeo kuu la familia katika kutafuta mahitaji muhimu ya maisha. Kwa sasa Kassimu amepata simu mpya pamoja na laini iliyosajiliwa kwa jina la mama yake mdogo, na anaweza kupatikana moja kwa moja kupitia namba +255 68 892 7629 (Airtel) kwa jina Shabina Majaliwa Karuta. #MillardAyoUPDATES
Indonesia
33
54
702
51.1K
Home boy
Home boy@IssaYurry1·
@millardayo Kwahiyo Mungu yupo ramadhani tu miezi mengine hayupo wacheni njaa viongozi vitabu vyote vya dini vina kataza kunywa pombe na niharamu kwa miezi yote pigeni marufuku miezi yote siyo Ramadhani tu
Indonesia
1
0
3
237
millardayo
millardayo@millardayo·
Serikali ya Zanzibar imesisitiza kuwa uuzaji wa pombe haukubaliki katika kipindi cha Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, hata kwa wale waliokuwa na vibali vya kuuza vinywaji hivyo. Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ, Idrissa Kitwana Mustafa, akieleza kuwa vibali vya uuzaji vilivyotolewa awali havifanyi kazi katika kipindi hiki cha Mwezi wa Ramadhani. Akizungumza kuhusu suala hilo, Waziri Kitwana amesema kuwa Serikali imeweka marufuku ya uuzaji wa pombe ili kulinda heshima na utakatifu wa Mwezi wa Ramadhani, huku akionya kuwa Mfanyabiashara yeyote atakayebainika kuuza pombe katika kipindi hiki, atakuwa anakiuka Sheria na atachukuliwa hatua stahiki kwa mujibu wa taratibu zilizowekwa na Serikali. Aidha, ameongeza kuwa Bodi ya Vileo Zanzibar inaendelea na Operesheni Maalum ya kusaka na kuwachukulia hatua wale wote wanaoendelea kuuza pombe kinyume na agizo hilo. #MillardAyoUPDATES
millardayo tweet media
Indonesia
127
18
301
64.9K
Home boy
Home boy@IssaYurry1·
@Sisimizi3 Dudubaya na mwigulu nani mwenye akili ?
Filipino
0
0
0
30
Dr. Sisimizi
Dr. Sisimizi@Sisimizi3·
Huyu jamaa hana Akili na muda si mrefu kitamkuta kitu
Dr. Sisimizi tweet media
Indonesia
51
4
75
11.1K
Home boy
Home boy@IssaYurry1·
@rovicofficial__ Ingalikua amekuja mama ako aliye kuzaa jee ungalikuja kuandika na kutuma hapa huo ujumbe mimi nikwambie tu huyo mume aliyefanya kukuoa wewe ndie aliye kaa tumboni kwa huyo mkwe wako miezi 9 na huyo mkweo alikua akijinyima yeye chakula lakini mtoto wake ale ili aendelee kuishi
Indonesia
0
0
2
440
Home boy
Home boy@IssaYurry1·
@swahilitimes Ukisikia kuna polis wanaofirwa ni hawa polis wa Tanzania
Indonesia
2
0
3
438
Swahili Times
Swahili Times@swahilitimes·
Jeshi la Polisi mkoani Pwani limesema wanachama 29 wa CHADEMA waliokamatwa Machi 6, 2026 eneo ya Viziga wakiwa wanasafiri, kulitokana na kukiuka amri ya mahakama, na kuwepo taarifa kuwa walipanga kwenda kutekeleza uhalifu mkoani Mara kwa kisingizio cha kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani. Polisi wamesema wanachama hao wako nje kwa dhamana wakisubiri uchunguzi ili hatua nyingine za kisheria zichukuliwe.
Swahili Times tweet media
Indonesia
76
9
214
17.6K
Home boy
Home boy@IssaYurry1·
@Eric__Bernard Broo umeongea vizuri sana yani kama vikosi vya usalama wa Tanzania vilipo wanyima vijana elfu 10 uhalali wa kuishi tena duniani October 29
Indonesia
1
0
0
68
MR BEN
MR BEN@Eric__Bernard·
Yanga Kafungwa Goli Halali Simba Kanyimwa Goli Halali Imefika hatua Marefa wa Bongo hata kuogopa Mwezi Mtukufu hawawezi, Ligi imeharibika hii🙌🙌
Indonesia
23
16
311
11.2K