Izzo Magari
141 posts

Izzo Magari
@Izzo_Magari
-TUNAUZA NA KUNUNUA MAGARI YALIYONYOOKA TU!. 📍 MWANZA!. -AUTHENTIC CAR DEALERS!. Whatsapp/normal calls +255699317113
Katılım Şubat 2024
138 Takip Edilen64 Takipçiler

@georgediano Try as much as you can not to touch the anointed. You might actually find these posts deleting themselves.
English

😂hatuwezi tu amua kama nchi tuseme tutaAppreciate mafanikio/hustle za watu. Kam ameiba, ameuza unga, amefanya ML akikutana na mkono wa sheria ama Mungu wake wewe utamsaidia nini??
Assenga Jr@assengajrr
ELA haramu wanazitakatisha kwa kujenga REAL ESTATE (Maarpatment) afu wakija uku WANAKUMOTIVATE Upambane.
Indonesia

Nimesoma vitabu kibao vya design aesthetic(nasomaga for fun)
Wataalamu kina Joseph Dirand, Vincent van duysen kina Yanu Pushelberg...
ITOSHE TU KUSEMA,
Watu wengi wanakosea sana kujenga nyumba zao..
Ipo sababu kwanini ukilala Hoteli za 5 star unaona kabisa UMEPUMZIKA
ila ukilala kwako unaona kabisa UMEJIEGESHA😂😂
Filipino

@gabyconscious Hepap sio kusemezana sana online humu wakubwa, kausheni yaishe!.✌🏿
Filipino

Nani kasema Tamaduni ni kundi babu😂 wewe jamaa uliza mtu aliesoma Songea Boys 2014-16 mzee mimi ndo nilikua Plug muda wa Lunch wote wanakuja kuskiza ngoma za Tamaduni chembani.
Huna cha kuniLecture kuhusu kuwa shabiki wa Tamaduni😂🫵🏾
Babu Bomba@BabuBomba4
Unabishana na mtu paka leo anajuaga Tamaduni ni kundi, ila sisi mashabiki kuna muda tuna miyeyusho. Ndiyo wale wale wanakumbia One alikuwa Lunduno. Kuna muda ukimya ni bora kuliko ujuaji mwingi kumbe mbele kiza.
Indonesia

@AutofixKENYA This are not Presidents.
This are Warlords, Rebel leaders,Drug Smugglers,Swindlers and Tribal Leaders in the suit of perceived democracy.
English
Izzo Magari retweetledi

💥BREAKING:
US inflation falls to 2.8%, lower than expectations.
BULLISH FOR #BITCOIN 🚀
English
Izzo Magari retweetledi

@EsirEid Hawakuwezi kivyovyote tajiri, fans wako tutakupigania kwa nguvu nyingi sana mpaka kieleweki yani
Indonesia

#TajiriLaKihaya
Utasikia oohh wanaomtetea Tajiri wamepokea 5k …
ooohh wanaokuwa upande wa tajiri ni Chawa wake…
Ooohhh Tajiri kaunda group wasap la vita kila siku wanalipwa🤣😅🤣
Oohh mbona Tajiri TunamBlock lakini anazidi kufahamika na kupata marafiki wengi😅
Hivi Vyote Ni Vilio tu na kukubali kwamba Tajiri nimewazidi kila kitu kifedha na kiakili!
Kama kugawa 5k ni rahisi kwa wapwa mbona nyie mliiga lakini mmeshindwa na Support Hampati?
Wapwa hawaangalii Fedha… Wanaangalia Akili ya mtu, Content zake zipoje… Ukweli upo wapi!?
Wapwa wa miaka hii sio wapwa wa miaka ile… wapwa wamefunguka kifikra, wana uwezo wa kuchambua mambo sio Bendera kufuata upepo!
Eti kisa flani kasema ana followers wengi na sisi tumuige/tumsupport… hapana hizo enzi zishapita…
Amkeni aiseee- wapwa wamesoma hakuna fala tena!
Labda ni wasaidie tu…
Tajiri amekuja ku break the Gap ya ma Bro na Wapwa…
Humu ndani kuna ma Bro na mafeminist wanasema wametengeneza ‘circle’ yao…
Ambayo haiwezi guswa, kila kitu wanachosema wao kipo sawa hakifai kupingwa… wenyewe ndio wanafaham SIASA, wenyewe ndio Twitter MAADILI, wenyewe ndio wana akili kumzidi kila mtu humu!
Wenyewe wanafaa kupewa Follow tu ila wenyewe Kufollow Back sio shida zao…
Watu wanafaa ku comment kwenye post zao tu hata wakiPost NUKTA ila wenyewe hawawezi comment wala ku engage na wapwa… wana special ‘circle’
Sasa #TajiriLaKihaya ana engage na kila mtu… na Asilimia 90% ya followers wake ni wale wenye followers 10,50,100,200,500,1k hadi mwisho 5k!
Sasa hivyo vitisho vya kunipoteza humu X hamuwezi- ma Bro na Ma Feminist Mme ni BLOCK karibia wote- lakini napeta na bado mnanifuatilia kila siku nmepost nini!
Ma Bro Mnatumia nguvu na Chuki kubwa ili nishuke lakini mnasahau kwamba sio nyie mlionipandisha hadi hapa nlipofika!
#TajiriLaKihaya is Real, Penye UKWELI atasema Ukweli … sifa yangu kuu ni Kusimama kwenye UKWELI with FACTS.
Hata uwe na Followers wengi kiasi gani ukipuyanga nitakuchana live tu..
Ifike hatua yule mwenye Followers 50 apewe heshima sawa na yule mwenye followers 200k.
Na Labda ma Bro niwaambie tu…
HAMNIWEZI KIELIMU, KIFEDHA,KIFAMILIA na Hata KIAKILI…
IQ yangu kubwa mnoooooooooo…
Acheni vitisho na matusi JENGENI HOJA!
Indonesia

Nimesimamia msimamo wangu kuwa hiki kitu kifungwe tuu, ili kulinda maadili yetu, kama mitandao ya kijamii ipo mingi tuu na kama uhuru wa habari tuna vyombo vya habari na mitandao ya kijamii mingi tuu ya kutoa maoni, nimeposti ili mjue msimamo wangu juu ya mtandao wenu

Dar es Salaam, Tanzania 🇹🇿 Indonesia

@harddon18 Mhuni hapambani na Wanawake Mitandaoni humu Kaka, Usiwe Msenge Msenge
Indonesia

@StahmyJunior Stick na masuala ya # Bruh', achana na Mwonekano wa mtu, sonofabwich!!!.
Indonesia

@Izzo_Magari But we're not bullying anybody. Just you didn't understand the point
English

@Neypaul01 @___OSCA__ 😭 naomba na Mimi followers sis @Neypaul01
Hats off to you, for always supporting small accounts!. Stay Blessed!!.
English














