McihwaJr
13.4K posts

McihwaJr
@JJMaxmillian
Mkulima 🍇|Contractor|Construction Claim Expert|Former ARUSO VICE-PRESIDENT | Simba& Manchester Utd fan.
Tanzania Katılım Eylül 2015
423 Takip Edilen742 Takipçiler

@RioMeets @rioferdy5 Oooh wow!need to listen this one for sure!...✊🏽
English

@George_Ambangil @LocalFundi_ Best city aisee kama unaweza kuishu huko unakaa kwa amani kabisa!.🙌🏽
हिन्दी

@LocalFundi_ Last week nilikuwa huko ... aiseee i loved it . Basi tu majukumu lakini nilitamani sana kuendelea kubaki
Filipino
McihwaJr retweetledi

OGFC is assembling! @rioferdy5 is in South Korea for this weekends incredible Shoot For Love legends game 🇰🇷❤️
English

@George_Ambangil Hii haiepukiki hata livescore utayakuta matokeo!😂
Sema kukosa ma CB wote kasoro yule bwana mdogo leo inaweza itucost game ambay tungekua tunashinda aisee daah😞
Indonesia


Javier Hernández Balcázar..
Hayo ndio majina yake halisi , mshambuliaji kivuli, Sisi watu wa mpira tulimtambua kama Chicharito,.. kwenye ile Manchester united ya maziwa na asali, alikuwepo mviziaji mmoja mwenye uso wa upole kutoka taifa la Kijasusi. pale Mexico kwenye majiji yenye uhalifu mkubwa na utovu wa nidhamu kupitiliza, paligeuka sehem tulivu sana iwapo Home boy, Chicharito atakuwa uwanjani,.. hiyo ilipelekea jeshi la polisi nchini Mexico kukiri na kumtambua Chicharito kama sehemu ya Jeshi lao kwa sababu yeye husaidia kwa asilimia mia Polisi kupumzika😂⚽️🔥...

Suomi











