JKT Queens

580 posts

JKT Queens banner
JKT Queens

JKT Queens

@JKT_Queens

Official account of @JKT_Tanzania women team|| Champions of TWPL🇹🇿 x4 || Champions of CECAFA-UGANDA 2023🇺🇬-KENYA 2025🇰🇪 ||Ngao ya Jamii×2 🆕

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Ağustos 2023
16 Takip Edilen279 Takipçiler
JKT Queens
JKT Queens@JKT_Queens·
Khadija (Golikipa), aliungana na timu ya JKT Tanzania FC, akifanya mazoezi chini ya kocha wa magolikipa, Fatuma Jawadu, ambaye amemtengeneza na kuwa golikipa Mahiri kiasi cha kuwa bora na kuitwa kulitumikia Taifa kupitia timu hiyo ya vijana ya wanawake. #KichapoChaKizalendo
Indonesia
0
0
1
11
JKT Queens
JKT Queens@JKT_Queens·
Uongozi wa timu ya JKT Tanzania/Queens, unatoa pongezi za dhati kwa mchezaji huru wa kike, Khadija Bakari, kwa kuteuliwa kujiunga na timu ya Taifa ya vijana wenye umri chini ya miaka 17 (U-17).
Indonesia
1
0
3
31
JKT Queens retweetledi
JKT Tanzania Football Club
JKT Tanzania Football Club@JKT_Tanzania_FC·
Mchezo mwingine mkubwa katika uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo🏟️ tunapokutana na mabingwa wa ligi wa mwaka 1988. Hautakuwa mchezo rahisi hivyo mashabiki wetu tunaomba mje kwa wingi kutuunga mkono🙏 #WajengaNchi #KichapoChaKizalendo
JKT Tanzania Football Club tweet media
Indonesia
1
3
23
445
JKT Queens
JKT Queens@JKT_Queens·
⏳:HT Kipindi cha kwanza kimemalizika
JKT Queens tweet media
Indonesia
0
0
2
28
JKT Queens
JKT Queens@JKT_Queens·
JKT Queens tulifika uwanjani 🏟️ kwa ajili ya mchezo wetu dhidi ya Bunda Queens lakini wapinzani hawakufika Baada ya tararibu zote za mchezo kufuatwa mwamuzi alimaliza mchezo. #WajengaNchi #KichapoChaKizalendo
JKT Queens tweet media
Indonesia
0
0
2
28
JKT Queens
JKT Queens@JKT_Queens·
MATCH DAY 🏆 Women's Premier League ⚽ JKT Queens 🆚 Bunda Queens 📅 08-22-2025 🏟️ Major General Isamuhyo ⏰ Saa 10:00 jioni #WajengaNchi #KichapoChaKizalendo
JKT Queens tweet media
English
0
0
3
43
JKT Queens
JKT Queens@JKT_Queens·
⏳:dak 69' JKT Tanzania 1️⃣-4️⃣ TP Mazembe
Indonesia
1
1
3
189
JKT Queens
JKT Queens@JKT_Queens·
⏳:dak 51' Kipindi cha pili kinaendelea tukiwa nyuma bado kwa tofauti ya magoli 2
Filipino
0
1
2
169