chosen_

4.2K posts

chosen_ banner
chosen_

chosen_

@JabbarXCVII

Manchester United👹 and Simba🦁| Football⚽️ & arts lover✏🖌| Umbwe & Mafinga Seminary Alumni📚

Katılım Mayıs 2022
1.3K Takip Edilen443 Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
chosen_
chosen_@JabbarXCVII·
EE BWANA UIFUNGUE MIDOMO YETU NASI TUTALISIFU JINA LAKO
Filipino
2
0
5
656
chosen_
chosen_@JabbarXCVII·
@RevocatusMagum1 Ujio wa Mbappe kuna kitu umeharibu pale Madrid hili sio uongo🤝
Indonesia
0
0
0
9
chosen_
chosen_@JabbarXCVII·
@giboretz Kama refa tunayeona anafaa kuchezesha mechi kubwa mwenyewe ndo yule sijui hao wengine😂
Indonesia
0
0
0
93
TheProtégéTZ
TheProtégéTZ@giboretz·
FIFA wamewachagua marefa saba kutoka Afrika, Jean-Jacques Ndala refa wa AFCON 2025 ameachwa. 1. Tom Abongile🇿🇦 2. Omar Artan🇸🇴 3. Pierre Atcho🇬🇦 4. Dahane Beida🇲🇷 5. Mustapha Ghorbal🇩🇿 6. Jalal Jayed🇲🇦 7. Amin Mohamed🇪🇬 Marefa wasaidizi (10): Mostafa Akarkad 🇲🇦 Mahmoud Abdouelregal 🇪🇬 Amos Abeigne 🇬🇦 Boris Ditsoga 🇬🇦 Mokrane Gourari 🇩🇿 Ahmed Hossam 🇪🇬 Elvis Noupue 🇨🇲 Siwela Zakhele 🇿🇦 Abbes Akram 🇩🇿 Jerson Santos 🇦🇴 VAR (2): Ashour Mahmoud 🇪🇬 Hamza El Fariq 🇲🇦 Hamna refa hata mmoja kutoka Tanzania, hata wasaidizi tu imeshindikana, kuna faida gani za kuwa na moja ya ligi bora Afrika sasa?
TheProtégéTZ tweet mediaTheProtégéTZ tweet media
Indonesia
18
9
232
26.1K
chosen_
chosen_@JabbarXCVII·
@Elsukay0 Ungesema bila kumtaja kaka George tu🤝
0
0
3
711
EL SUKAYO🇹🇿
EL SUKAYO🇹🇿@Elsukay0·
Heavyweight Dullah katambulishwa wasafi majuzi nilitweet nikasema huyu bwana mdogo anakuja kwa kasi sana kwenye uchambuzi wa mpira leo kaaminiwa na wasafi Pengo la George Ambangile linaenda kuzibwa
EL SUKAYO🇹🇿 tweet media
Indonesia
23
15
267
13.1K
Moshi Jnr
Moshi Jnr@moshijnr·
🚨Viongozi wa klabu ya Simba SC walifanya mazungumzo ya kina asubuhi ya leo hii dhidi ya Uongozi wa TRA United FC ili kupata saini na huduma ya Winga Ramadhani Chobwedo kwa msimu ujao na mazungumzo yalikuwa mazungumzo na waliongea na Mchezaji huyo na kumsainisha mkataba wa awali
Moshi Jnr tweet media
Filipino
12
2
144
2.8K
Moshi Jnr
Moshi Jnr@moshijnr·
🚨Klabu ya Yanga SC imeanza mazungumzo na Zambro Traore ambaye ni msimamizi wa beki wa kushoto Valentin Nouma ili kupata saini yake kuelekea msimu ujao akitokea TRA United FC na Valentin Nouma ni option ya pili ikiwa dili la beki Mustafa Kiiza litashindikana kutoka Nairobi United
Moshi Jnr tweet media
Indonesia
13
2
252
7.2K
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼 𝗦𝗽𝗼𝗿𝘁𝘀
🚨𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄 || 𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐒𝐂 𝐖𝐀𝐌𝐀𝐋𝐈𝐙𝐀𝐍𝐀 𝐍𝐀 𝐂𝐇𝐎𝐁𝐖𝐄𝐃𝐎 Kilabu ya Simba sc imeripotiwa kusaini pre contract na kiungo mshambuliaji wa TRA United Ramadhan Chobwedo. Awali Yanga Fc walifikia makubaliano lakini Simba Sc wameingilia dili hilo ✍️ Acha maji yachemke
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼 𝗦𝗽𝗼𝗿𝘁𝘀 tweet media
Indonesia
9
4
39
711
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼 𝗦𝗽𝗼𝗿𝘁𝘀
🚨𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄 || William Edgar Simba SC wanamlenga kwa sababu ni runner wana uhaba mtu kama huyo kikosini. Libasse,Chama na Oura ni dribbler na mara nyingi wanataka mpira uje mguuni hawashambulii space. Ongezeko la Edgar akiungana na Mpanzu wanaenda kufanua WiGo wa kiufundi kikosini. Edgar ni workaholic na anacheza nafasi tofauti za ushambuliaji yupo comfortable kutokana na umbo lake pia uwezo wa kutumia miguu yote. 🫡@BracuszCadabra
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼 𝗦𝗽𝗼𝗿𝘁𝘀 tweet media
Filipino
8
13
156
3.8K
Jogoo la Shamba Mjini
@G_Nganyagwa @JabbarXCVII Mzee unajiabisha, kasome tena replies zako. Nenda kasome zaidi upate maarifa kidogo mana umedonoa donoa ndio angalau umerudi about SS baada ya mwenzio kukupa shule, wenzio wanauwezo wa kubisha kwa confidence after a research sio wewe unabisha wakati hujafanya any research.
Filipino
1
0
1
8
Jogoo la Shamba Mjini
Oya Paul Scholes kacheza kama attacker (No.10) kwa karibu miaka 10 pale unyumbuni kabla ya kuanza kucheza katikati, kuna wakati alifunga mpaka magoli 20+ akiwa anacheza nyuma ya Striker (RVN). Almost half of his career alicheza kama attacking player, don’t let anyone fool you.
Mponzi Sports@Mponzisports

Lakn Paul Scholes never played there shimoni muda mwingi amecheza kama CM na bado amefunga magoli mengi sana na kuna wakati yeye ndio team ilimhitaji ili itulie kwa tempo inayitakiwa tifauti na akina Lamoard na Gerrad wao walikuwa wanahitajika kufunga sana @JMariotz niue tu🤣

Filipino
20
1
32
5.2K
~BINGWA⚡
~BINGWA⚡@BingwaIK·
Nyimbo ipi ulikuwa huipendi lakini baada ya muda saivi ndo imekuwa nyimbo yako bora?
~BINGWA⚡ tweet media
Indonesia
14
16
64
3.2K
chosen_
chosen_@JabbarXCVII·
@Tweener003 Chakula kingi hutumika kugenerate heat ndio maana🤝
Eesti
0
0
0
5
PàChâ#1738 💫
PàChâ#1738 💫@Tweener003·
Hivi hali ya hewa yenye ubaridi na mvua huwa inauhusiano gani na kusikia njaa kali ?
Indonesia
8
16
44
735
Timiskid 🦅🧘‍♀️🇦🇷
Name: Marcus Rashford Hype: Mbappe Expectation: Alvarez Haircut: Bellingham Predicted Performance: Raphinha Reality: Darwin Nunez.. with a little touch of Heskey.. spiced with Ferran Torres.. & flavoured with a little touch of Higuain.
Timiskid 🦅🧘‍♀️🇦🇷 tweet media
English
4
9
24
651
Moshi Jnr
Moshi Jnr@moshijnr·
Huyu Israel Mwenda anapiga kazi sana aisee, utamkuta anashambulia kwa wakati sahihi na atarudi kuzuia kwa ufanisi ule ule na dakika zote yupo mchezoni [Athleticism] Beki bora Nambari mbili kwenye NBC PL ukianza na Shomari Kapombe. Bonge la Fullback💪🏻 Ataboresha sana game yake .
Moshi Jnr tweet media
Filipino
8
1
105
1.9K
chosen_
chosen_@JabbarXCVII·
@rayasel94 Huwezi amini waliekuja kusajili😂
Indonesia
0
0
0
83
Mr.Mbeya
Mr.Mbeya@baraka_asege·
Unatakiwa usajili wawili tu. Wote on his Prime 👇👇👇
Mr.Mbeya tweet media
Indonesia
58
9
237
13.7K
chosen_
chosen_@JabbarXCVII·
@George_Ambangil @hecenmo Watu wanataja Valdes waliemuona United Kama tumefika hatua ya kuweka Valdes ni decent kama Onana then basi kuwa Top ni ngumu sana🙌🏽🙌🏽
Filipino
0
0
1
7
George Ambangile
George Ambangile@George_Ambangil·
@hecenmo Naomba kwa upole kabisa nieleweshe na unitajie timu gani top umewahi kuiona ina just " decent GK " na sio " Top GK " na bado ikapata mafanikio makubwa
Filipino
26
3
161
10.8K
hussein
hussein@hecenmo·
Kuna tofauti yoyote umeiona Yanga kumkosa Diarra? Basi ipo hivyo kwa 80% ya matches kwenye ligi, big teams huwa hazihitaji top class GK kwa sehemu kubwa ya msimu ili zishinde. A decent GK anatosha, ndiomana GK hawezi kuwa mchezaji muhim zaid kwenye timu
Indonesia
22
2
153
12.5K
Jacky
Jacky@MCFC_Jacky·
The only club in history to win the champions league unbeaten
Jacky tweet media
English
386
1.1K
13.6K
864.8K
Comrade Kicheche Jr
Comrade Kicheche Jr@Kicheche_jr·
Umewahi kujiuliza ni kwanini shetani aligusa kila kitu cha Ayubu ila hakumgusa mke wake?
Indonesia
46
35
469
30.2K
Deogratius||🕊️
Deogratius||🕊️@Philosophe45141·
Kwenye bible wale jamaa walipojenga mara mkubwa ili kumfata mungu huko juu alipo mungu akaogopa kukutwa hivyo kawapiga pigo la kuchanganya lugha. Sasa hivi kuna setallite&mission za kwenda juu zaidi ya mnara wa babiloni mbona mungu ajafanya chochote???
Indonesia
56
14
120
11.7K