Jerry Silaa

8.3K posts

Jerry Silaa banner
Jerry Silaa

Jerry Silaa

@JerrySilaa

Minister for Lands & Housing MP for Ukonga | mPAP | BSC in Electronics Science & Communication UDSM | MBA MSM-Esami | LL.B-OUT | PGD LP-LST |

Dar es Salaam Tanzania Katılım Ağustos 2011
181 Takip Edilen84.6K Takipçiler
Jerry Silaa
Jerry Silaa@JerrySilaa·
Wababa tunajukumu kubwa la kutengeneza nguvu kazi ya kizazi kijacho kupitia watoto wetu tutimize wajibu wetu happy fathers day to all fathers
Indonesia
24
3
26
8.6K
Hancy Machemba
Hancy Machemba@hancymachemba·
Maisha yetu watu wa Ukonga yamekuwa ya tabu sana miaka nenda rudi. Mwanzo tuliambiwa tatizo ni upinzani na sasa tuna mh @JerrySilaa wa CCM maisha yale yale tu. Tuliambiwa barabara nyingi zinaanza kunjengwa mwezi wa nne kupitia mradi wa DMDP na mpaka sasa sijaona mkandarasi popote
Indonesia
25
33
161
12.9K
Nchumali3
Nchumali3@Nchumali3·
@hancymachemba @JerrySilaa Ukonga wanaishi wavamizi hilo eneo halitakiwi kuendelezwa ni eneo la kimkakati ni eneo la jeshi na ni eneo la Anga pia watu waliopo Ukonga wanatakiwa kuondoka na kupisha hayo maeneo walio yavamia hivyo hawana haki kama watu wa Ngorongoro mjiandae kupelekwa Msomera Tanga..
Filipino
1
1
3
298
Hancy Machemba
Hancy Machemba@hancymachemba·
@Massawe1Rogers @JerrySilaa 😂😂😂😂😂 Haina shida maana nitaanza na mwenyekiti na diwani kisha nasubiri mwakani nione mwingine nani wa kumpunguza asitucheleweshe tena.
Indonesia
2
0
2
290
Kaka Poli #Mkwanzania
Kaka Poli #Mkwanzania@Yahya_Poli·
@hancymachemba @JerrySilaa Ukonga kama ukonga. Tunaipenda Ukonga yetu na tunamzimia kinoma mbunge wetu @JerrySilaa. 30 tena kwake. Yaani babrabara ilivyo nzuri kuanzia Msongola hadi Banana mpaka majimbo mengine wanatuonea donge. Ila yale mawe wameweka hapo Kizuiani ndio yapondwe na magari au nia nini?
Indonesia
2
0
5
347
Hancy Machemba
Hancy Machemba@hancymachemba·
@algheirabhan @JerrySilaa We huna akili. Mihemko ni kusubiri kwa miaka mingapi? Nipo kitunda wamekuja wabunge wengi na kuondoka halafu unaniona ni mihemko hii?
Indonesia
2
0
0
81
Hancy Machemba
Hancy Machemba@hancymachemba·
@Seleman91124854 @JerrySilaa Kwann ututenge ndugu zako kaka? Uje kutusalimia utapata kuku na mayai pia. Ww umekuja siku moja unasema kurudi tena wakati sisi ndiyo maisha yetu miaka yote😂😂😂 Serikali nadhani haitambui kama huku kunaishi watu na wanalipa kodi
Indonesia
1
0
1
610
Rodger
Rodger@RodgerRonaldE·
@hancymachemba @JerrySilaa Awamu ya pili ya pesa za DMDP naskia zilitoka ili kujenga barabara za wilaya ya Ubungo na huko kwenu. Sasa nadhani wamechepusha. Maana mpaka mikutano serikali za mitaa ilifanya kuwapa taarifa na kuwaandaa watu
Indonesia
2
0
2
154
Jerry Silaa
Jerry Silaa@JerrySilaa·
Dar es Salaam, Tanzania 🇹🇿 ZXX
8
3
22
8.5K
Jerry Silaa
Jerry Silaa@JerrySilaa·
Kazi kazii Barabara ya banana -kitunda - Kivule - Msongola
Dar es Salaam, Tanzania 🇹🇿 Indonesia
32
4
33
9.7K
Jerry Silaa
Jerry Silaa@JerrySilaa·
Jerry Silaa tweet media
Dar es Salaam, Tanzania 🇹🇿 ZXX
13
1
21
3.7K
Jerry Silaa retweetledi
ikulu_Tanzania
ikulu_Tanzania@ikulumawasliano·
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akilihutubia Taifa kupitia Vyombo vya Habari kuhusu kifo cha Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Mzee Ali Hassan Mwinyi kilichotokea Hospitali ya Mzena Jijini Dar es salaam alikolazwa kwa matibabu ya 29 Februari 2024.
ikulu_Tanzania tweet mediaikulu_Tanzania tweet media
Indonesia
61
156
914
45.5K
Jerry Silaa
Jerry Silaa@JerrySilaa·
A legend has rested. A principled, straight forward, no nonsense and decisive leader. Life well lived, million lessons for young leaders. Pole nyingi kwa mama na familia, wanaCCM na watanzania wote. Our thoughts and prayers are with you at this sad moment. RIP EL JS
Jerry Silaa tweet media
English
4
2
23
2.5K