
Jipson🛰️
1.2K posts

Jipson🛰️
@Jipsonshaka
Man of people very humble and knowledgeable.






Mbona inatumika nguvu kubwa dhidi ya Madenge kusema aliyonayo? Kwa nini Hamtaki aseme? Kwa nini asisikilizwe? Kwa nini tuaminishwe story za upande mmoja? Kwa nini Hampendagi kusikia msiyoyapenda? Hata Shetani alikua Malaika!!








Kama kuna mwana harakati yeyote anajihsi ni jeuri kwangu, mwambieni aande space me ntaongea kila kitu hadi makosa yangu...Hii dhambi sitaki kufa nayo, akitokea nambieni.

@MariaSTsehai Kwani katiba imasema Naapa nitamlinda na kumtete Rais au Naapa nitailinda katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na kutetea? Gen z Naomba mnieleweshe taratibu bila kunifokea. Hawa wanasema tumtetee Rais ni kwa mujibu wa katiba ipi? Japo Huyo Rais hatumtambui

Nilienda SIDO mkoa mkubwa Tanzania(Small Industries Development Organization), nikapeleka wazo la biashara likiwa na mahusiano na teknolojia 🤔, Nikakutana na Eng wa kiume nikapiganae story fresh then akasema kuna boss wake wa kike🤝, nikapiga nae story then akasema nitaitwa kwenye interview 😊 (funny). Ikapita mwezi, miezi mpaka mwaka, sikuitwa aisee sasa moja ya sifa yangu ni kiburi na mimi nikawapotezea, lakini point kuu ni kwamba “Hauwezi pima ndoto na wazo la mtu anayetaka ajiajiri kwa kufanyiwa tathimini na mtu aliye ajiriwa.”


Tatizo la Msukuma @rollymsouth ni uoga 😂. Mwanzo alikua na mbwembwe nyingi ila baada ya kukutana na mashambulizi ya wanaharakati akaufyata. Madenge man up na elezea upande wako watu waukubali au waukatae. Usife kinyonge.















