Joel Msuya

139.9K posts

Joel Msuya banner
Joel Msuya

Joel Msuya

@JoelyMsuya

Mjumbe wa Baraza Kuu CHADEMA taifa || Katibu wa BAVICHA mkoa wa ILALA || Activist & Human Right Defender || Politician || Raisi wa Tanzania 2055

Katılım Haziran 2022
1.8K Takip Edilen11.9K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
Joel Msuya
Joel Msuya@JoelyMsuya·
Picha ya siku ya Katibu Mkuu wa CHADEMA taifa Mhe. @jjmnyika kutoka mahakama kuu leo kwenye kesi ya Mwenyekiti Mhe. @TunduALissu, yenye maneno:- “Haki huinua taifa bali dhambi ni aibu kwa watu wote”
Joel Msuya tweet media
Indonesia
1
7
32
1.3K
Joel Msuya retweetledi
Rev. Dr. Eliona Kimaro
Rev. Dr. Eliona Kimaro@ElionaKimaro·
Ninakutakia wiki njema yenye baraka za Mungu. Mungu akusaidie usitoke kitupu "...hapo mtakapokwenda zenu, hamtakwenda kitupu." - Kutoka 3:21
Rev. Dr. Eliona Kimaro tweet media
Indonesia
3
8
66
1.8K
Joel Msuya
Joel Msuya@JoelyMsuya·
Marehemu #Ruge aliwahi kusema:- “Ogopa MUNGU na TEKNOLOJIA”
Indonesia
0
1
7
237
Joel Msuya retweetledi
Chadema Tanzania
Chadema Tanzania@ChademaTZ2·
PUBLIC STATEMENT
Chadema Tanzania tweet media
English
12
149
545
21.2K
Joel Msuya retweetledi
Achibod Mmbando
Achibod Mmbando@AchibodM·
Nchi yangu is first periorty nipo site
Achibod Mmbando tweet media
Eesti
3
30
159
3.1K
Joel Msuya retweetledi
Tundu Antiphas Lissu
Tundu Antiphas Lissu@TunduALissu·
Message from Chairman Tundu Lissu October 26, 2025 “My brothers and sisters, For several weeks now, I have been placed under total isolation — a state of forced loneliness. The fellow inmates who once shared my cell, all of whom had been sentenced to death, have been removed; I have been left completely alone. My cell is now fitted with surveillance cameras (CCTV) that record everything I do — even when I relieve myself or change clothes. I no longer have any privacy whatsoever. This is not a matter of security; it is a deliberate act meant to humiliate my human dignity. I appeal for this matter to be raised loudly and forcefully, because it is a blatant violation of human rights and an offense under the United Nations Standard Minimum Rules for the Treatment of Prisoners (the Mandela Rules), which clearly state that: • The inherent dignity of every human being must be respected, even when imprisoned (Rule 1); • Prolonged or indefinite solitary confinement that denies a prisoner communication with others amounts to cruelty and torture (Rules 43 and 44). It is also a violation of the Constitution of the United Republic of Tanzania, Articles 12 and 13, which guarantee the dignity of every person and prohibit torture or degrading treatment. I am prepared to endure any hardship for the sake of my belief in justice and the freedom of our people. But the humiliation of human dignity can never be acceptable — not for me, nor for anyone who bears the name of a human being.” Admin
English
139
1.8K
5.4K
405.2K
Joel Msuya retweetledi
Chadema Tanzania
Chadema Tanzania@ChademaTZ2·
TAARIFA KWA UMMA.
Chadema Tanzania tweet media
Indonesia
13
151
493
62.4K
Joel Msuya retweetledi
millardayo
millardayo@millardayo·
#VIDEO Mama Mzazi wa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Weisiko Heche, jioni ya leo amefika katika Kituo cha Polisi Kati Jijini Dar es salaam ili kuomba kuelezwa alipo Mtoto wake huyo ambaye alikamatwa na Polisi jana October 22 2025 akiwa anaingia Mahakama Kuu Masijala ndogo ya Dar es salaam. Weisiko akiongea na Waandishi wa Habari nje ya Kituo cha Polisi Central amesema baada ya kufika katika Kituo hicho cha Polisi alimpigia Kamanda Muliro lakini hakupokea kisha baadae akapiga simu kwa Msaidizi wa Mkuu wa Jeshi la Polisi Camilius Wambura ambaye alimwambia asubiri atapewa majibu "baadae nikapiga simu tena kule Dodoma nikaambiwa naweza nikaondoka maana hapo wamekataa kabisa kwamba hawajamuona hapo, ombi langu mimi ni kwmaba warudishe Mtoto wangu" Mapema leo mchana CHADEMA ilisema Chama hicho kilifahamishwa jan na Polisi kwamba Heche alipelekwa Tarime lakini leo walipomuulizia huko Tarime wamefahamishwa kuwa hayupo, AyoTV imelitafuta Jeshi la Polisi ili kuhoji alipo John Heche lakini hatujafanikiwa kumpata Msemaji wa Polisi, tunaendelea na jitihada za kumtafuta. #MillardAyoUPDATES
Indonesia
41
88
572
41.9K
Joel Msuya retweetledi
Chadema Tanzania
Chadema Tanzania@ChademaTZ2·
TAARIFA KWA UMMA
Chadema Tanzania tweet media
Indonesia
9
123
382
8.9K
Joel Msuya retweetledi
John Pambalu
John Pambalu@John_Pambalu·
Mama mzazi wa Mh. John Heche.
English
7
64
362
8.6K
Joel Msuya retweetledi
Edwin Sifuna
Edwin Sifuna@edwinsifuna·
John Heche, Naibu Mwenye kiti wa chama cha @CHADEMA alikua aje mazishi ya Baba Raila Amolo Odinga kwani amekua rafiki wake wa mda mrefu. Alidhalilishwa na kuzuiwa mpakani na serikali ya Tanzania. Sasa hivi hajulikani aliko kwani alichukuliwa na jeshi la polisi alipokua akifwatilia kesi ya Tundu Lissu. Ombi letu sote tunao amini demokrasia ni aachiliwe ama ashtakiwe rasmi mahakamani Tarime walivokua wameambiwa familia yake.
Edwin Sifuna tweet media
Indonesia
228
1.5K
5.4K
224.3K
Joel Msuya retweetledi
MNYIKA John John
MNYIKA John John@jjmnyika·
Jana 22/10/2025 Polisi DSM walimweleza Mkurugenzi wa Sheria @ChademaTZ2 kuwa Makamu Mwenyekiti Bara @HecheJohn imepelekwa Tarime. Dakika chache zilizopita Wakili na Ndugu wamefuatilia Polisi Tarime lakini wameelezwa kuwa hajapelekwa Tarime. Hivyo IGP @tanpol toeni taarifa kwa umma Mpambanaji John Heche mmempeleka wapi na ana hali gani? Natoa mwito kwa vyombo vya habari na wadau wote wa haki, uhuru, utawala bora, demokrasia na utawala wa sheria kitaifa na kimataifa kufuatilia hatma yake. Taarifa zaidi ya Chama itafuata #WhereIsJohnHeche #FreeHeche
Chadema Tanzania@ChademaTZ2

TAARIFA KWA UMMA.

Indonesia
31
331
967
51.4K
Joel Msuya retweetledi
Chadema Tanzania
Chadema Tanzania@ChademaTZ2·
TAARIFA KWA UMMA
Chadema Tanzania tweet mediaChadema Tanzania tweet media
Indonesia
12
129
355
12.2K
Joel Msuya retweetledi
GASTON SHUNDO GARUBINDI
GASTON SHUNDO GARUBINDI@ShundoGaston·
Lissu atoa pingamizi lingine, apinga Ripoti ya Uchunguzi kupokelewa Mahakamani. Baada ya pingamizi Manka’s kukubaliwa, Mhe @TunduALissu amewasilisha pingamizi lingine akipinga kutolewa kwa ripoti ya uchunguzi uliofanywa na shahidi Namba 3 wa Jamhuri. Sababu ya kupinga ni pamoja na kwamba shahidi huyo si mtaalamu na hivyo anakosa sifa ya kuandaa ripoti husika. Ikumbukwe muda mfupi uliopita Mahakama imekubaliana na Lissu kwamba shahidi huyo si Cyber Forensic expert. Sababu ya pili, ni kwamba kwa mujibu wa Sheria kinachoandaliwa ni certificate na si ripoti kama shahidi anayotaka kutoa. Na sababu ya tatu, ni kwamba Sheria imetoa muundo wa kuandaa certificate hiyo ambayo iko kwenye jedwali la Sheria husika. Badala ya kufuata huo utaratibu shahidi aliandika anavyofahamu yeye. Kwa msingi huo , Lissu ameomba ripoti hiyo isipokelewe pia. Jamhuri wameomba muda wa kwenda kujipanga na Mahakama imeahirisha kesi kwa saa moja kuwapatia muda wa kujibu . Muda wa kuelewana umefika.
Indonesia
2
41
128
6.5K
Joel Msuya retweetledi
Deogratias Mahinyila
Deogratias Mahinyila@AdvMahinyila·
Ni kweli. Nimepewa taarifa na Wakili Mauki. Mchana wa leo nikiwa bado Mahakama Kuu, Ofisini kwetu Sinza, A. Walivamia watu wasiojulikana wakiwa na silaha za moto na kumchukua kwa nguvu mteja wetu GIDO MBELE aliyekuwa ameongozana nao. Hatujui nia yao zaidi: Na walikompeleka.
Deogratias Mahinyila tweet media
Filipino
2
103
376
6K
Joel Msuya retweetledi
Joel Msuya
Joel Msuya@JoelyMsuya·
🥲It's sad. Mungu akusimamie GIDO ANTON MBELE. #FreeGidoMbele
Joel Msuya tweet media
Indonesia
0
7
24
598