Joh✊
1.6K posts

Joh✊ retweetledi

Mshindi wa Tuzo ya Grammy “Tayla” anasema kipindi anajitafuta aliwahi kumtumia Meseji (DM) instagram Msanii Mwenzake Nasty C” akimuomba kolabo Nasty alimjibu ampatie kiasi cha Dola $300K ambayo ni sawa na Shilingi Milioni 750 za kitanzania Tayla akamjibu yeye bado hajafikia ukubwa huo kaka wakina Rihanna au Nick Minaj kumpa hiyo hela Tayla anasema baada ya kumjibu vile Nasty alim Block Tayla Instagram Mpaka leo.

Filipino
Joh✊ retweetledi
Joh✊ retweetledi
Joh✊ retweetledi
Joh✊ retweetledi
Joh✊ retweetledi
Joh✊ retweetledi



























