Joxe Setty

544 posts

Joxe Setty banner
Joxe Setty

Joxe Setty

@JoxeSetty

Tanzania Free Speech Activis || Member of CHADEMA✌️|| Backup Account

Katılım Haziran 2025
312 Takip Edilen56 Takipçiler
Williard
Williard@prolific_88·
Hatutaki hela nusu tumekataa hatutaki kabisa.
Williard tweet media
Indonesia
20
16
171
5.5K
TheProtégéTZ
TheProtégéTZ@giboretz·
Hoima City Stadium, Uganda 🇺🇬 Kama huu uwanja CAF wanasema bado hauna vigezo, viwanja vyetu kuna ambacho kitakidhi hivyo vigezo kweli?
TheProtégéTZ tweet media
Indonesia
8
0
53
3K
PASTA JOSHUA
PASTA JOSHUA@pastajoshuatz·
Wanawake hawana shukrani. Ukitaka kumpa msaada mwanamke mpe tu bila kutegemea mrejesho au fadhila. Unaweza kumpa msaada mwanamke na akakurudishia ubaya with interest. Ukielewa hili utaishi nao vizuri tu. Mimi nawaachia ulemavu wa kudumu kwa package hizi
PASTA JOSHUA tweet media
Indonesia
11
11
39
1.4K
27__FOX✝️
27__FOX✝️@traviture27·
Girlfriend allowance nacho ni kitu gani?
Filipino
12
20
61
1.5K
KiDi Memes
KiDi Memes@Mos_flow1·
Ukipata Ukimwi usisahau kuweka Disappearing kule Whatsapp kama wenzako 😂😂😂
Filipino
10
16
85
3K
Narrowbeefly
Narrowbeefly@Narrowbeeflying·
Aisee Enjoy maisha kabla hujaoa, ukishaoa ujue ndio baasi 😁✍️
Suomi
4
5
54
887
MaYuLu MsOMi
MaYuLu MsOMi@hauleisaac84·
Punguzeni kukaa kwa wakala mnapiga stori hazieleweki watu tunatoa pesa hazisemeki kwa sauti aargh
Indonesia
11
12
129
4K
Wakunesa
Wakunesa@Savasec·
Maisha ni Magumu lakini yatakuwa Magumu kama ukiwa na akili za Harmonize kwenye Mapenzi.
Filipino
8
12
56
8.3K
Tanzania Abroad TV
Tanzania Abroad TV@AbroadTanzania·
Makandarasi wazawa wameanza kukata tamaa, serikali haina fedha!
Indonesia
7
12
141
7.4K
uncle chitemo
uncle chitemo@Mikumifinest·
Ukiweza kujenga Dodoma . Sehemu nyingine unaweza kuanzisha Kampuni
Indonesia
6
3
22
888
iamLookman
iamLookman@official_kauzu·
Niwe tu mkweli sijawahi kueka ela bank yoyote ile apa tz me nacheza tu na mpesa qmmke nina laini kama nne zote za lipa namba 😎
Indonesia
3
8
50
1.3K
Nkota
Nkota@xlusako·
Biashara ya Ardhi imekuwa ngumu sana matapeli wanazidi kuboresha mbinu zao pande hizo, ukijichanganya kidogo tu unalizwa
Indonesia
7
6
51
15.1K
Joxe Setty
Joxe Setty@JoxeSetty·
@INFLUENCERjr Njoo huku Chemba na kondoa napo ni Dom upate nyumba bei rahisi😂
Indonesia
0
0
1
587
WHYMYCATISSAD
WHYMYCATISSAD@INFLUENCERjr·
Bei ya vyumba Dodoma unaweza ukahisi dalali amekosea kuitaja. Moja ya jiji lina maisha ghali kwa sasa hapa Tanganyika.
Indonesia
52
67
831
36.3K
Kante
Kante@MkulimaKante·
Umaskini kisiwe kisingizio cha wewe kutokuoa,Maisha lazima yaendelee na ndoa ni muhimu.
Indonesia
37
59
253
5.1K
Kante
Kante@MkulimaKante·
Ni vile watu wabishi tu ila kiuhalisia Dar es salaam kuna maisha nafuu kuliko Arusha na Mwanza📌
Eesti
82
37
399
17.1K
Joxe Setty
Joxe Setty@JoxeSetty·
@Waeastzoo Mwamba siku hizi mbona wanasema kila Sehem Dodoma ni pakaliiii ama Madalal wanatushika??
Indonesia
1
0
0
165
Eastzoo
Eastzoo@Waeastzoo·
Mitaa ya Kishua Dodoma -Ilazo -Kisasa -Majumba 300 -Mlimwa C -Swaswa -Mkalama Mitaa ya Uswazi Dodoma yenye vichochoro na Vibaka weng -Chang'ombe -Kikuyu Camp D -Chadulu -Majengo -Airport ya chako ni chako -Makulu -Makole -Bahi road Weka hapo chini mtaa nilousahau 😂😂
Indonesia
68
35
194
18.5K