Sabitlenmiş Tweet
Jr Muhama
3.5K posts


@DicksonHen7900 Ebrania 6
⁴ Kwa maana hao waliokwisha kupewa nuru, na kukionja kipawa cha mbinguni, na kufanywa washirika wa Roho Mtakatifu,,,,
⁶ wakaanguka baada ya hayo, haiwezekani kuwafanya upya tena hata wakatubu; kwa kuwa wamsulibisha Mwana wa Mungu mara ya pili kwa nafsi zao,,,,
Indonesia

@JrMuhama @BarakaMaviatu @fidodido7437 Swali la kwanza jibu ni Gravitation pull - Dunia ina nguvu ya mvutano inayovuta vitu vyote katikati yake.
Swali la pili jibu lake ni kwamba Jua nalo halijasimama lipo linamove/ rotating around the center of milkway Galaxy
Indonesia

@BarakaMaviatu @fidodido7437 Uongo ndio unaoweza kukubaliana na hicho kinacho itwa kani ya uvutano
Filipino

@JrMuhama @fidodido7437 Aya ya kwanza inajibiwa na kani uvutano. Hoja ya 2 inatoka kwenye theolojia haina ushahidi wowote wa Kisayansi zaidi ya habari za kusikika.
Filipino

@BarakaMaviatu @fidodido7437 Kama dunia ina move nzima nzima kwa nini ukirusha kitu juu kina rudi palepale,,au wewe ukiruka juu kwa nini unarudi palepale??
Kwa nini jua ndilo lililo amrishwa kusimama wakati Yoshua anapigana na sio dunia??
Indonesia

@fidodido7437 Dunia ina move nzima nzima huku inazunguka so hakuna mahali patahama. Kesi kubwa ni kichwa juu chini
Indonesia

@JrMuhama @TheChanzo @ThatBoyKhalifax "fimbo ya adhabu"
Contextually, hapa ni mtoto akifanya makosa ya kinidhamu na sio wakati wa kumpa elimu juu ya kitu fulani.
Mimi fimbo hazijawahi kunisaidia kufaulu. Nilipobadilishiwa Mwalimu aliyewekeza kwenye kuelewesha kuliko kuchapa, matokeo yangu yalibadilika sana.
Indonesia

Dhoruba ivumapo bado mti huwa imara
𝐆𝐢𝐝𝐢𝐨𝐧 𝐌𝐰𝐚𝐤𝐚𝐥𝐚𝐬𝐲𝐚@MtumwaWaYesu
Kama mti wa mtende, uchotao chakula kutoka kwenye chemchem ya maji ya uzima, ni wa kijani na unaostawi katikati ya jangwa, ndivyo ambavyo Mkristo anaweza kuchota ruzuku za neema kutoka kwenye chemchem ya upendo wa Mungu na kuziongoza roho zilizochoka kwenye maji ya uzima Yoh 7:37
Filipino
Jr Muhama retweetledi








