𝐉𝐮𝐥𝐢𝐮𝐬

36.4K posts

𝐉𝐮𝐥𝐢𝐮𝐬 banner
𝐉𝐮𝐥𝐢𝐮𝐬

𝐉𝐮𝐥𝐢𝐮𝐬

@Julius_mlowe

Salesman 👨‍💼 Kwa mahitaji ya Vifurushi & Router mitandao Yote 📥 karibu 😇

Tanzania Katılım Mart 2023
1.4K Takip Edilen4.5K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
𝐉𝐮𝐥𝐢𝐮𝐬
𝐉𝐮𝐥𝐢𝐮𝐬@Julius_mlowe·
Solution ya matatizo ni Yas 1: Yas 5G 📶 Router Tsh 250,000 gharama ya kifaa na package ya mwezi wa kwanza 20Mbps malipo ya mwezi utalipia Tsh 100,000 2: Portable pocket Mi-Fi 4G Tsh 150,000 gharama ya kifaa na package ya mwezi wa kwanza 20Mbps 3 : Wezesha unlimited kwenye laini yako ya yas Tsh 100,000 = 20Mbps Kwa maelekezo zaidii ☎️ 0678970849
𝐉𝐮𝐥𝐢𝐮𝐬 tweet media𝐉𝐮𝐥𝐢𝐮𝐬 tweet media
Indonesia
4
3
17
13.4K
BracuszCadabra
BracuszCadabra@BracuszCadabra·
🟥 Jonathan Sowah alisajiliwa na Simba SC baada ya Fadlu Davids kupendekeza aletewe mshambuliaji huyo Fadlu aliamini Katika kipaji na ubora wa Sowah pia aliamini anaweza kuweka sawa suala la ishu ya nidhamu ili awe msaada kwa timu Lakini mambo yamekuwa tofauti kwa Simba mweusi
BracuszCadabra tweet media
Indonesia
10
5
163
4.4K
BracuszCadabra
BracuszCadabra@BracuszCadabra·
✍️TRA UNITED waendelee kumaintain aggression Yao wakiwa na wasipokuwa na mpira Wamaintain intensity ya mchezo na waongeze Kasi na ufanisi wanapovuka katikati ya uwanja Watu wameanza kujog mapema sana Leo mpka CBs wao wanakuja kukabia eneo la tatu Kuna GG hapa au comeback 😃
Indonesia
11
3
122
4.6K
𝐉𝐮𝐥𝐢𝐮𝐬
𝐉𝐮𝐥𝐢𝐮𝐬@Julius_mlowe·
@ojjapiano @BracuszCadabra Hapo kwa camara ✅ incase inno karudi as 08 maana yake unaenda na kagoma & inno Just a reminder angalia game ya simba bila kante kagoma anavyo kuwa na eneo kubwa la kufanya coverage (anakuwa exposed sana / team inapoteza sana control ya mchezo)
Filipino
0
0
1
57
LONER 👽
LONER 👽@ojjapiano·
@BracuszCadabra Ndo maana kuna siku nilicoment MOUSA CAMARA kwa sababu huyu jamaa kwenye kuanzisha build up ni mbovu sana achilia mbali uwezo wa kudaka ila kuanzisha mashambulizi bado sana then kwenye mtu wa kushuka chini nadhani hapa INNO kocha amrudishe kwenye eneo lake kama CM
Indonesia
2
0
7
362
BracuszCadabra
BracuszCadabra@BracuszCadabra·
🟥Ukiwapin down CBs wa Simba SC Wana opt kucheza zaidi na GK wao kwenye build up Kwa sababu system Yao Ina destroyer ambae sio progressor mzuri(Kagoma) Actually inaleta vulnerability unless Chama a drop deep kwa sababu miguu ya Kassali ni tools kwa ajili ya kutembelea tu
Indonesia
8
8
202
5.8K
BracuszCadabra
BracuszCadabra@BracuszCadabra·
✍️Sekunde ya 9 hadi 11 kwenye hii video Kuna sauti ya die hard anapaswa kupelekwa kamati ya masaa 72
Indonesia
22
9
211
12.9K
SportsArenaTz
SportsArenaTz@SportsarenatzTz·
ENGINEER HERSI, ENGINEER WA MPIRA! Jamaaa anapenda Football kuliko kitu chochote jana ikabidi aingie mwenyewe kumtuliza Diarra ambaye damu ilishachemka 🫡
Indonesia
42
18
215
32.2K
BracuszCadabra
BracuszCadabra@BracuszCadabra·
As it stands Shughuli imeisha Al Ahly SC 1 vs Esperance de Tunis 2
Filipino
3
4
64
3K
BracuszCadabra
BracuszCadabra@BracuszCadabra·
🟥Kuna Nyakati GEITA GOLD ya GOLD ilikuwa na double pivot ya Yusuph Kagoma na Kelvin Nashon Katikati six zilikuwa zinatembea na Boli linatembea watu wazima wote kariakoo na Mzizima hakuna aliyependa kucheza dhidi ya Hawa jamaa Utofauti mdogo kati Yao Nashon analijua eneo la juu
BracuszCadabra tweet media
Indonesia
24
15
399
12.8K
MALENGOO
MALENGOO@Malengo25·
Ibenge aliwachelewesha sana wanangu nendeni mbele👏🏾👏🏾
MALENGOO tweet media
Indonesia
7
7
477
7.6K
*EXPENSIVE DOLE OF ALL TIME🐐😅*
Nadhani ni disrespectful kusema Moja kwa moja kuwa sio bora. Ila Ibenge ni a tournament merchant au Knockout merchant. Ni mzuri sana kwenye mechi za makundi na mitoano kuliko LIGI. Mfano mzuri hawahawa Azam FC almanusura wavuke kundi lao la shirikosho wamemaliza na 9 points
BracuszCadabra@BracuszCadabra

Sijawahi kuwa shabiki wa Gaffer ni kocha wa kawaida(Mzee wa kujihami) mwenye BIG PR Bahati kwake alichomokea kwenye kizazi Cha dhahabu hasa Vita Club Ile ya Makusu,Ngoma,Kazadi,Luzolo,Bangala,Munganga na wengineo Baada ya uzao ule amebaki na jina kubwa ila uwezo wa kawaida

Filipino
2
1
19
1.3K
BracuszCadabra
BracuszCadabra@BracuszCadabra·
🔵Sehemu nyingine inayohitaji Total Overhaul kwenye mpira wetu ni cóaching department Makocha wameendelea kuwa walewale wakaibadililishana vilabu Kila msimu Hakuna sura mpya zinazoweza kuleta mabadiliko matokeo yake tumeendelea kuwa mentality ya aina Moja kwa vilabu vya kati
BracuszCadabra tweet mediaBracuszCadabra tweet mediaBracuszCadabra tweet mediaBracuszCadabra tweet media
Filipino
24
8
153
6.5K
MALENGOO
MALENGOO@Malengo25·
Narudia tena CM wa simba mwenye threat na uhatari ni Kante kidogo kdogo Tutaelewana tu👏🏾
MALENGOO tweet media
Indonesia
5
9
336
8.8K
BracuszCadabra
BracuszCadabra@BracuszCadabra·
🔰Wachezaji wa Yanga SC walioondolewa kikosini dirisha dogo walikusanya alama 4 CAFCL vilevile walioingia dirisha dogo walikusanya alama 4 🟥Wachezaji wa Simba SC walioondolewa dirisha dogo hawakukusanya alama yoyote ila walioingia dirisha dogo walikusanya alama 5
BracuszCadabra tweet mediaBracuszCadabra tweet mediaBracuszCadabra tweet mediaBracuszCadabra tweet media
Indonesia
22
16
284
10.7K
BracuszCadabra
BracuszCadabra@BracuszCadabra·
✍️Average player with BIG PR Okello angewekwa benchi na Ecua,Mo Doumbia hata Chikola Buba(Hamna Kitu) chezaji mpka pawe na Big spaces Mwanengo na Masalanga kwa story za wazawa always ni sagula sagula wazuri wamo humo humo NASISITIZA Depu isn't an upgrade of Andy Boyeli
BracuszCadabra tweet media
Filipino
70
16
212
28.7K
𝐉𝐮𝐥𝐢𝐮𝐬
𝐉𝐮𝐥𝐢𝐮𝐬@Julius_mlowe·
@BracuszCadabra I’m happy huyu fraud hakuja unyamani 😁😁 uzuri viongozi wetu wapo slow hawa muwezi ababa kwenye kuyaendea ma deal 😁😁🙌
Indonesia
1
0
3
825
Simba Sports Club
Simba Sports Club@SimbaSCTanzania·
“Mwamuzi atakayeharibu huo mchezo, sio tu kwamba ataondoka kwenye mpira maisha, tutamfungulia na mashtaka ili tumfunge, hatutakuwa na masihara, hilo mimi nalizungumza wazi kwasababu sehemu kubwa wanaotuletea matatizo ni wao.” - Rais wa TFF, Wallace Karia.
Filipino
77
97
929
39.2K