KIDEVU

240.7K posts

KIDEVU banner
KIDEVU

KIDEVU

@KEYDEVU

SIJUI MNANIELEWAA!?📚🗝️

Tabora, Tanzania Katılım Kasım 2023
457 Takip Edilen3.7K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
KIDEVU
KIDEVU@KEYDEVU·
Fungua biashara halafu tafuta mfanyakazi wa kike mdogo aisimamie,baada ya miaka 6 muoe,utakuja kunishukuru badae!!📚🗝️
Indonesia
66
118
1.3K
86.8K
KIDEVU retweetledi
KIDEVU
KIDEVU@KEYDEVU·
Usikope ili ulipie bili zako,kopa ili ununue mali halafu hiyo mali ndio ilipe deni lako!!🗝️📚
Filipino
2
9
35
669
KIDEVU
KIDEVU@KEYDEVU·
@2Ndulisu kwanini hiyo nyumba ikutoe kwenye kodi tu,kwanini usijenge fremu kwa gharama hizo then pangisha zile kodi za wapangaji ndio ujenge nyumb ya kuishi 😁kumbuka fremu zina kodi kubwa kuliko chumba
Indonesia
1
1
1
20
Strait Of Hormuz
Strait Of Hormuz@2Ndulisu·
@KEYDEVU Nyumba ya kuisihi inakutoa kwenye kulipa Kodi ya kila mwezi ya makazi, na marekebisho yake ya kuiboresha ndo liability, ila bills za maji na umeme, ni matumizi ambayo yanahusiana na wewe na sio nyumba, hata ungekuwa huna nyumba unalala nje, maji na umeme u geyahitaji tu
Indonesia
1
0
1
8
KIDEVU
KIDEVU@KEYDEVU·
Kujenga nyumba ya kuishi kabla hujajenga mali,ni kuua ndoto zako!!📚🗝️
Indonesia
24
37
184
4.9K
KIDEVU
KIDEVU@KEYDEVU·
@2Ndulisu Naam kikubwa nyumba ijengwe kwa faida ya biashara sio kwa jasho,nb bank hawaihesabu nyumba kama mali wanaihesabu km dhamana ,huwezi kukopa tu kisa una nyumba lazima wakague biashara zako😁🤝
Indonesia
1
1
1
16
Strait Of Hormuz
Strait Of Hormuz@2Ndulisu·
@KEYDEVU Dhima ni liability si ndio, Nyumba ya kuishi ni Dhima ukiiongelea kwa mtazamo wa cash flow Na ni Asset ,unapoongelea mali ya kudumu, na thamani yake inapanda kila siku kutokana na mahitaji na kiwanja.
Filipino
1
0
0
21
KIDEVU
KIDEVU@KEYDEVU·
@2Ndulisu wengi hawajui tafsiri ya neno dhima,na wengi huamini nyumba ya kuishi ni mali ndio mana wakijenga wanaona wamemaliza licha ya kuwa wanaugumu wa maisha
Indonesia
1
0
1
20
Strait Of Hormuz
Strait Of Hormuz@2Ndulisu·
@KEYDEVU Mojawapo ya Mali za marehemu zinazogaiwaga ni Nyumba ya kuishi. wengi anajenga nyumba ya kuishi kwanza, anakuja anajenga nyingine nzuri ya kuishi ile anaipangisha, Na katika kuhesabu mali alizonazo mtu hauwezi kuacha kutaja nyumba ya kuishi, Hata benki wanaipokea kama mali
Indonesia
1
0
1
16
KIDEVU
KIDEVU@KEYDEVU·
@2Ndulisu Dhima ni kitu ulichotumia pesa kukipata halafu hakikuungizii pesa tena zaidi ya kuendelea kutumia pesa zako,hii ndio tafsiri ya dhima, nyumba ya kuishi unaijenga kwa gharama,bado kila mwezi unalipia umeme,maji,kodi ya aridhi nk so ni dhima,nyumba ya kupangisha,gest ni mali📚🗝️
Indonesia
1
1
1
109
KIDEVU
KIDEVU@KEYDEVU·
Kupunguza gharama zako za maisha ni sawa na kuongezwa mshahara pasipo kufanya kazi!!📚🗝️
Indonesia
6
38
159
1.9K
KIDEVU
KIDEVU@KEYDEVU·
@2Ndulisu Nyuma ya kuishi sio mali ni dhima,nyumba ambayo ni mali ni ile ya biashara km umepangisha,gest,hotel nk
Indonesia
2
0
1
22
Haraloka
Haraloka@Haraloka1·
@KEYDEVU Kuitunza hyo pesa ni kaz saana kama huna kipato imara. Ukijalibu kuweka 30k kila siku unajikuta umetema bungo mwez wa 3 tu
Indonesia
2
0
2
129
KIDEVU retweetledi
KIDEVU
KIDEVU@KEYDEVU·
Milioni kumi+ni 30k iliyowekwa mara 365( mwaka tu😁)!!📚🗝️
Filipino
3
15
66
2K
KIDEVU retweetledi
Adv.Innocent⚖️
Adv.Innocent⚖️@Adv_innocent·
Ahsante Mungu kwa siku nyingine, leo Tukumbushe Umuhimu wako kwetu ni dhima muhimu maana watu hawaishi milele. Good morning🖐
Indonesia
57
86
149
3.6K
KIDEVU retweetledi
kasesco☆
kasesco☆@kasesco_tz·
Nimesha amka kuzima taa za nje, hapa sina deni tena na familia nimeshatimiza kazi yangu acha nirudi kulala..😅
13
35
111
1.2K
KIDEVU retweetledi
yOuNg_tHuG
yOuNg_tHuG@bOy___ThUg·
“Jaribu uone maajabu daadeki watu jau”
yOuNg_tHuG tweet media
Indonesia
9
21
45
1.1K
KIDEVU retweetledi
kasesco☆
kasesco☆@kasesco_tz·
Hivi na watoto wa kijijini uwa wanachagua chakula..?
Filipino
17
21
72
1.7K
KIDEVU retweetledi
Fundi viatu na mabegi
Fundi viatu na mabegi@Mshonaviatu·
Kila mtu anapambana vita asiyoijua,wema wako ndo akiba pekee katika kesho yako na ndiyo utakao kubeba wala sio gari lako Tuanze na Mungu kwanza 🙏🏽
Fundi viatu na mabegi tweet media
Filipino
16
30
48
600
KIDEVU retweetledi
ELIAS🇹🇿
ELIAS🇹🇿@Eliaskaneke·
Maex zako woote wakiamua kukutumia elfu kumi kila mmoja, utakuwa na shingapi? 🤔 Mimi nitakuwa na 170,000 Tsh/=
Filipino
43
49
154
4.4K
KIDEVU retweetledi
EL SUKAYO LE ANALYSTE 🇹🇿
Nikola Tesla Eng Genius mvumbuzi wa miundo mbinu ya umeme mingi ya umeme kama AC, remote, X rays nk, Aliekufa akiwa maskini bila hata mia mbovu alishindwa hata kujitibia ugonjwa wake wa moyo mpaka umauti ukamfika POV : Akili za darasani tu hazitoshi kukupa mafanikio
EL SUKAYO LE ANALYSTE 🇹🇿 tweet media
Indonesia
3
5
24
795