
Just bought a casket for my brother!! Mimi siko fiti😭
Kamami Faith
224K posts

@Kamamifay
Tour Consultant. Live simply so that others may simply live. If there is a man to pray, there is God to answer. It’s by God’s Grace we live!

Just bought a casket for my brother!! Mimi siko fiti😭

Hi, my name is Joshua. Age : 36y/o Status : Single Genotype : AA Blood group : O+ Choice of partner ; -Must be a VIRGIN -Not older than 24 -Must be doing well for herself financially -Dark skin is preferred Money is not a problem for me. Note : I don’t like FAT girls.

I give you Ksh100,000 CAPITAL today to be REPAID in 12MONTHS. Which BUSINESS opportunity will you INVEST in if not M-PESA Kiosk, Barbershop, Wines& Spirits & Carwash?

Vijana wale tulilelewa rural areas tukakuja nairobi university. Hebu niskizeni,hii taon ina mambo mingi sana. Na dhambi pia ni mingi,sahii vile kuko ata yesu akirudi hawezi beba hizi dhambi zote one round. Labda akufe safari kama kumi ivi ndio amalize dhambi zote dunia ikue safi. Na kwa hizi dhambi,mingi zinahusika na ngono. Theres just something about sex. Mkienda mechi kwa uwanja ya team mate,ama yenye teammate alihire ni vizuri mfanye hii tunaita ground survey. Kwanza kama uwanja iko kilimani ama Roysambu. Chunga sana,angalia chini ya kitanda kama kuna suitcase,juu ya wardrobe angalia pia. Ukipata suitcase fungua,hiyo ndio inakuanga tool box ya watenda dhambi wa taon. Kuna aina ya ngono wanaita BDSM. Ukiwauliza ni nini wanasema "spicing things up" . The "M" in BDSM stands for Masochism. There are people who enjoy sex if its done to them in a painful or humiliating manner. Nina kijana yangu mpaka sahii bado akona depression buana. Anasema kule mirema aliyaona ya firauni. Ati mrembo alimslubisha kwa kitanda after kumpatia guarana nane,kidogo akaona mrembo amechomoa suitcase chini ya kitanda. Akachomoa toys akazipanga kwa kitanda kama Mwanajeshi anayejitayarisha kuingia kismayu. Anasemanga mrembo alianza na kumfunga mdomo,kampira ka round size ya lollipop lakini kako na kamba. Kidogo akachomoa yeye underwear,sasa hapa ndio mambo ilichemka. Ati aliona mrembo ameinua kitu inakaa kabiru'. Hii inatumiangwa kwa mjengo kupima ukuta. Lakini iyo haikua na kamba ilikua na kamkia kama ka sungura. Akashangaa kwani namna gani. Mrembo akaipaka mafuta alafu akainama akairusha west pokot buana. Akapanda kwa kitanda akakuja akamkalia,akaguza guza yeye machine ikawaka. Sasa jamaa juu alikunywa guarana anachemka kuchemka kama mayai boiro kwa pressure cooker. Anasemanga hajai ona ngono kama hiyo,alijaribu kupiga nduru kumbe kampira aliwekewa kwa mdomo ni kasilencer buana. Akijaribu kupiga nduru ananyongwa na mate. Mrembo akiona jamaa hajiwezi naye anaongeza gear juu ya furaha. Ata ilifika mahali mrembo akachomoa kiboko kama ile ya kupiga farasi,akamnyorosha kifua jamaa ungedhani alilala juu ya kamba juu ya blisters buana. Ilifika mahali akaisha nguvu akalala,watu wa kuosha BNB ndio waliamsha yeye saa nne. Sahii hawezi karibia mwanamke ako chini ya kilo 60. Anasema aliona kifo kisimani. Ruto naye lazima tupeleke nyumbani apende asipende #RutoMustGo

