アボット Kazimoto 

112.2K posts

アボット Kazimoto  banner
アボット Kazimoto 

アボット Kazimoto 

@Kazimotoinc

KazimotoINC | IT Technician | Husband & Dad | Baba Michelle | Perescope @Kazimotoinc | #ElimikaWikiendi |#Ajalisasabasi | #NeverMissaMoment

Dar es salaam Katılım Temmuz 2012
512 Takip Edilen19.1K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
アボット Kazimoto 
アボット Kazimoto @Kazimotoinc·
Matapeli mara nyingi wanakuwaga more intelligent zaidi yako wewe victim na mara nyingi madali ndo wanapigwa sana sababu kichwani kunakuwa kumejaa ganji mlima 😅 Mimi niliwahi kutapeliwa iphone 5s enzi hzo zinauzwa 1m mi nauza 1.15m nimeweka zangu ganji laki unusu 😅😅
アボット Kazimoto  tweet media
Indonesia
37
37
285
58K
アボット Kazimoto  retweetledi
John Heche
John Heche@HecheJohn·
Asante sana ndugu zetu wa @LindaMwananchi_ kwa kutambua na kukemea dhuluma, wizi wa uchaguzi na mauaji ya wananchi Tanzania. Hili linaloitwa bunge la Tanzania, halikuchaguliwa Kwahiyo halina uhalali wowote kuwakilisha wananchi wa Tanzania.. Asante sana ndugu @edwinsifuna @HEBabuOwino @orengo_james Mungu awabariki.
John Heche tweet mediaJohn Heche tweet mediaJohn Heche tweet media
Indonesia
11
210
746
15.1K
アボット Kazimoto  retweetledi
John Heche
John Heche@HecheJohn·
Kama haujapata mda wa kumsikiliza mwanasheria mkuu wa chama Dr Nshala live. Hakikisha umepata mda wa kufanya hivyo.
Indonesia
26
281
1.7K
18K
アボット Kazimoto  retweetledi
John Heche
John Heche@HecheJohn·
Tume ya Jaji Chande iliundwa kuficha uovu na kusafisha wauaji.
17
249
1.1K
17.4K
アボット Kazimoto  retweetledi
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸@mangekimambi·
Hatutaki maridhiano, na hilo dili la energy, mkirudi nyuma few weeks ago mtaona niliongelea hili.
Filipino
27
208
1.4K
38.1K
Lubasha Jr
Lubasha Jr@MarekaMalili·
Nipo natafakari hili buku nipande boda, au nitembee nilinywe fanta orange ya baridi?
Indonesia
35
20
280
16.1K
アボット Kazimoto  retweetledi
Lubasha Jr
Lubasha Jr@MarekaMalili·
Nina Viwanja kuanzia 3.8m Dodoma. Nipigie 0762344677
Suomi
3
15
68
6K
アボット Kazimoto  retweetledi
Peter Msigwa
Peter Msigwa@MsigwaPeter·
“Much love, my friend—I miss you deeply. You are still one of the finest brains this country has. I’m keeping you in my prayers—may God give you the courage, strength, and resilience to rise above every challenge before you.”
Peter Msigwa tweet media
English
243
373
2.3K
91.5K
アボット Kazimoto  retweetledi
Boniface Mwabukusi
Boniface Mwabukusi@Mwabuk2Boniface·
KICHWA CHA MWENDA WAZIMU HAKIOTI NYWELE. Mwambieni Ndugu Paul Makonda kwamba Tulikuwa na watu kama Mzee Jella Mtagwa au Mzee Peter Agustino ( Peter Tino) Ngulungu au Hata Sunday Manara aliyefungua mlango wa TZ kucheza ulaya na kwa kizazi kipya akina Mbwana Sammata nk ndani ya Taifa hili . Tunge kuwa na utashi wa kweli tunge wa enzi hawa kwa mchango wao katika Taifa hili kulipeleka Afcom kwa mara ya kwanza tuna Wallace Karia ambaye ametufanya tuzoee sasa kushiriki Fainali za AFCON na akina Mohamed Dewji kwa kuondoa vilabu vya Tanzania katika Unyonge kiasi kwamba kila klabu ikipangwa na Yanga au Simba inapata hofu. Lakini kwasababu sisi nikichwa cha Mwenda wazimu usishangae kuona akina Didier Drogba au David Beckam wakienziawa. Ndiyo ukichwa cha mwenda wazimu wenyewe. ANY WAY CHA MUHIMU TUJUE WALIOTEKWA WAKO WAPI,OKTOBA 29 NANI ALIHUSIKA NA ALIHUSIKA VIPI KABLA,WAKATI NA BAADA. UKWELI,HAKI NA UWAJIBIKAJI VITALIPONYA TAIFA. BAK Mwabukusi.
Indonesia
29
279
1.3K
42.2K
アボット Kazimoto  retweetledi
Lubasha Jr
Lubasha Jr@MarekaMalili·
Kuna wa 16kgs, 5kgs na 6kgs. Sangara Fresh wa leo leo. Nipigie 0762344677
Lubasha Jr tweet mediaLubasha Jr tweet mediaLubasha Jr tweet media
Filipino
3
40
84
7.4K
アボット Kazimoto  retweetledi
SANUKAnaCHAPO
SANUKAnaCHAPO@chapo255·
SABABU KWANINI WIMBO WA ‘FINALE’ WA ALIKIBA NA BIEN ULICHELEWA KUTOKA HADI KUBADILILISHWA BEAT NA KUFUTWA LYRICS Katika ulimwengu wa muziki, mara nyingi mashabiki huona matokeo ya mwisho bila kujua safari ndefu iliyopita nyuma ya pazia. Hivi ndivyo ilivyokuwa kwa wimbo “Finale”
SANUKAnaCHAPO tweet media
Filipino
11
24
402
32.2K
アボット Kazimoto  retweetledi
Joseph Mbilinyi
Joseph Mbilinyi@TheRealJongwe·
Hii ni Nkasi jana kikao cha ndani, tena Kirando huko! Najivunia sana kuwa Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa, pia najivunia tuna mtu imara kabisa my sister Mh. Aidah mkoa wa Rukwa! #StrongerTogether
Joseph Mbilinyi tweet media
Indonesia
30
275
1.9K
21.7K
アボット Kazimoto  retweetledi
Son of God(Huios)
Son of God(Huios)@EliabuDanford·
Soma Biblia hakuna mtumishi ataaamua uende mbinguni au usiende. Hili kipo mikononi mwako na Mungu. Ni siri yako na Mungu. Mjue Mungu kibinafsi. Mchungaji hatakuwepo wakati ule, Nabii, Padre wala Mwinjilisti hatakuwepo utaulizwa kwanini ulipewa akili. Kwanini ulipewa Roho Mtakatifu na kwanini ulipewa Biblia. Na fursa pekee ya Agano jipya kwamba kila mtu anaweza kusogea kwa Mungu. Anaweza kuhusiana naye na kuongea naye kibinafsi bila kupitia kuhani/mtumishi yeyote.
Indonesia
1
13
49
754
アボット Kazimoto  retweetledi
khalifa said #SUDAN 🇸🇩 ☭🌹
khalifa said #SUDAN 🇸🇩 ☭🌹@ThatBoyKhalifax·
hii yenyewe ni aina ya ukatili unaofanywa na dola dhidi ya w’nchi. hii ni dar, inayozalisha utajiri mkubwa kila sekunde. unakwenda wapi, kama mitaa inaonekana kama hivi? well, inakwenda kwa wahuni na majambazi wachache, waliopora madaraka, na kila siku kuimba amani na uzalnedo:
khalifa said #SUDAN 🇸🇩 ☭🌹 tweet media
Indonesia
44
181
718
18K
アボット Kazimoto  retweetledi
Joseph Mbilinyi
Joseph Mbilinyi@TheRealJongwe·
Yes kwa sababu mmezingua sana, yaani mmejivunjia hata heshima ndogo mliyokuwa mmebaki nayo kama WAZEE…Mmelisaliti Taifa na kuliongezea maumivu mioyoni kwa kutoa ripoti ya ovyo ya KUBUMBA!
Joseph Mbilinyi tweet media
Indonesia
94
284
1.9K
28.5K
アボット Kazimoto  retweetledi
Godbless E.J. Lema
Godbless E.J. Lema@godbless_lema·
Takribani mwaka mzima Chama chetu hakijakutana, na leo Kamati Kuu imekutana Dar es Salaam. Majadiliano ya msingi ni muhimu kila wakati, hasa katika kipindi hiki ambacho nchi inapitia huzuni kubwa kufuatia matokeo ya Tume ya Jaji Chande.
Godbless E.J. Lema tweet mediaGodbless E.J. Lema tweet mediaGodbless E.J. Lema tweet mediaGodbless E.J. Lema tweet media
Indonesia
25
218
1.5K
23.4K
アボット Kazimoto  retweetledi
M A G I R I
M A G I R I@Kiganyi_·
Leo @JustFittz imeungana na watanzania wengine na wadau wa masumbwi kumpokea bingwa wa WBC International Silver Super Featherweight Champion, Ibrahim Class. Justfit inajivunia kuendelea kuwa sehemu ya safari ya mafanikio ya bingwa huyu.
M A G I R I tweet mediaM A G I R I tweet mediaM A G I R I tweet mediaM A G I R I tweet media
Indonesia
0
8
18
1.4K
アボット Kazimoto  retweetledi
Tito Magoti
Tito Magoti@TitoMagoti·
Endelea kupumzika kwa amani, kaka yangu Hamza. Im so sorry tulichelewa sana kukuelewa🙏🏽
Tito Magoti tweet media
Indonesia
36
334
2.6K
51.4K
アボット Kazimoto  retweetledi
John Heche
John Heche@HecheJohn·
Mwenyekiti wetu alisema haya miaka 12 iliyopita, kama kawaida ya watawala dhalimu wakapuuza ushauri wa mtu mwema huyu. Ccm wanakwenda kuingiza Nchi yetu shimoni, Watanzania tunapaswa kuungana kuokoa Nchi hii.
Indonesia
53
509
1.8K
25.7K
アボット Kazimoto  retweetledi
Sammy Awami
Sammy Awami@awamisammy·
Katika makala hii, nimejaribu kujenga hoja kadhaa juu ya kilichotokea wiki ya uchaguzi na kinachotukabili kama nchi; 1) Si cha kipekee kwa Tanzania tu. 2) Si kweli kwamba kimesababishwa na wapinzani na wanaharakati. 3) Si kweli kwamba vijana walilipwa kwenda kuandamana. 4) Vijana wana mahitaji ya dhati na ya msingi lakini hawaoni kwamba kuna mtu ana nią ya dhati ya kuyatatua. 5) Hichi ni kizazi cha tofauti; kinajua kinachotaka, na kina ujasiri wa kukidai kutoka kwa serikali/viongozi/watawala, ikibidi hata kwa njia zisizo za kawaida.
Indonesia
47
439
1.1K
27.7K
アボット Kazimoto  retweetledi
Tito Magoti
Tito Magoti@TitoMagoti·
Kwa mujibu wa Jaji Kiande, Master Tindwa alipigwa risasi akauwawa akiwa nyumbani kwake sababu alilipwa na akapewa mafunzo ya kuandamana. Keep resting in peace, Master! What a sad day for us!!
Tito Magoti tweet media
Filipino
47
421
2.5K
42.4K