Mtu mwenye Followers 50 Anae-Vibe na Post zako ana Maana Kubwa Sana Kushinda mtu mwenye Followers 50k Ambae Hajui kama una-Exist. Utajua mwenyewe cha Kufanya na huo ujumbe, ila ndio Game iko hivo. Move Accordingly.
Good morning Wakali wa X🌤️
Jifunze kuachia
Sio kila kitu kiko ndani ya uwezo wako. Kadri unavyojifunza kukubali yasiyodhibitika, ndivyo unavyojenga uimara wa ndani na utulivu wa moyo.
#ElimikaWikiendi
Leo ni siku mpya ya kujenga kile ambacho wengine wataita bahati miaka michache ijayo.
Kumbuka
Watu wengi wanaamka kutafuta starehe.
Wachache wanaamka kutengeneza maisha yao.
Tofauti ya miaka 5 ijayo inaanza na maamuzi ya leo asubuhi.
Good morning everyone