Ken Walibora
4K posts

Ken Walibora
@KenWalibora
Mwanariwaya, Mwanatamthilia,Mhakiki, Msomi, Swahili novelist, poet,playwright, literary and cultural scholar
Nairobi Katılım Eylül 2013
1K Takip Edilen15.9K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
Ken Walibora retweetledi

Ukitaka neno moja unasema kafyuu. Unaitwa utohozi na wala si dhambi. Mbona neno shati ni utohozi wa shirt
𝖘𝖎𝖒𝖔𝖓 𝕹𝖉𝖔𝖑𝖔@Sndoloh
@KenWalibora Mbona si neno moja kama curfew
Indonesia

Hakuna sheria kwamba sharti liwe neno moja
𝖘𝖎𝖒𝖔𝖓 𝕹𝖉𝖔𝖑𝖔@Sndoloh
@KenWalibora Mbona si neno moja kama curfew
Indonesia
Ken Walibora retweetledi

@KenWalibora Tazama hapa Gazeti la Maarufu Tanzania lilivyokunukuu katika msiba wa Kezilahabi.
globalpublishers.co.tz/tanzia-prof-eu…
Indonesia

Ken Walibora retweetledi

A friend has just been released from Mbagathi hospital 👏👏She is now free of #coronavirus
So People, this is a happy me and a salute to health workers in Kenya.. This is why:
She had some symptoms and went for a test.
#COVID19
#covid_19Ke
#CoronaVirusUpdates
English

Danny baada ya kutafakari nimefikia mkataa kwamba lockdown ni kufungiwa, curfew ni amri ya kutotoka nje ila ukichunguza utaona maneno haya hayapo mbali sana kimaana.
Danny Wasonga@DannyWasonga
@KenWalibora This also applies to curfew, yes?
Indonesia

If you recall the New Orleans victims of Hurricane Katrina were in the main black, what comes to your mind?
EbruTVKenya@EbruTVKenya
Coronavirus wreaks havoc in African American neighbourhoods bit.ly/2V9oVUh
English

Shukran Miss Mbaabu. Chapatikana maduka mengi ya vitabu hasa Textbook Centre
Miss Mbaabu@NorahMbaabu
@KenWalibora Natamani Kukisoma kitabu chako cha Siku Njema. Nilikisoma 2002 mara ya mwisho. ninaweza kukipata vipi?
Indonesia

Nafikiri kwa kweli sina hakika
Barak Wandera@BarackWandera
.@KenWalibora what is following like following on Twitter? Is it andama?
Indonesia
Ken Walibora retweetledi

"It is too soon to start searching for the light at the end of that tunnel because the next fortnight could be very dark indeed"
@AliBunkallSKY says America is entering a defining week in its history trib.al/3I9pRtr
English
Ken Walibora retweetledi



