
deejaygady
349 posts

deejaygady
@Kilingepazasaut
Mastering Java ☕️ Sharing my wins, bugs, and lessons as a beginner. 📍 Tanzania 🇹🇿 | #Java








Dms ambazo mimi ndo nilikuomba nizi leak ili kuongelea kuhusu issue yako ya 100M na sikuzi leak nikihofia ugali wako we unazi leak leo kama EXCLUSIVE? Kwanini ume crop nilivoanza betting si ulikuja na bango lako Kulipisha usenge nikaku bluetick? 2024 si ulirudi tena kuomba niwafanyie promo Helabet kuja kuongea na Jamaa kumbe mnataka kufanya u middle men wa kupiga hela za matangazo nikakataa nikawaambia Leteni mawasiliano ya meneja wenu wa kampuni mkapotea na hela za watu? NOT YOU MF?? Mi ni Real G ndio maana DMs sio silaha kwangu ila hizi nilikuomba nizipost mi mwenyewe na nilisema tulichochat. HAYO MAGOLI UNAYOPIGWA KUPATA GIGS ZA SERIKALI YASIKUTOE AKILI LAMAMAKOOO.




Umefanya nipitie dm zangu, hapo ni 2021 na acc yangu ilikuwa inasoma $2k . Na uzuri time nilikuwa na dara nilikwambia lipo na time sina darasa nilikwambia. Now nakwambia tena nina darasa linaanza may, price ni 250k litachukua 3 months. Wahi mapema






















