Kitua Michael

281 posts

Kitua Michael

Kitua Michael

@KituaM47329

Kitua Michael or modo is a trader of spices such as garlic,dry ginger,cloves,fresh ginger,cinnamon,dry turmerc,cardamom,etc,mob +255 753 811 260

Katılım Aralık 2023
2.8K Takip Edilen417 Takipçiler
Samia Suluhu
Samia Suluhu@SuluhuSamia·
Nimesikitishwa na taarifa ya kifo cha Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francisko. Katika kipindi chote cha miaka 12 akiwa Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francisko ameishi maisha yake kama mwalimu na kiongozi aliyefundisha na kuhimiza ustawi na maendeleo ya watu pamoja na kudumisha amani. Kwa niaba ya Serikali na Wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ninatuma salamu za pole kwa waumini wote wa Kanisa Katoliki hapa nchini na duniani kote. Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahali pema Peponi. Amina.
Samia Suluhu tweet media
Indonesia
623
430
3.3K
222.6K
Kitua Michael
Kitua Michael@KituaM47329·
@Magandula Ukimfanyia mtu ubaya gizani !! iko siku yataonejana mchana kweupe
Indonesia
0
0
0
4
Kitua Michael
Kitua Michael@KituaM47329·
@SuluhuSamia Binafsi ninaungana na wewe mama yetu pamoja na watanzania wengine
Indonesia
0
0
1
20
Samia Suluhu
Samia Suluhu@SuluhuSamia·
Nimepokea kwa masikitiko taarifa ya ajali ya barabarani iliyotokea leo Aprili 3, 2025, katika eneo la Mamba Msangeni, Wilaya ya Mwanga, Mkoa wa Kilimanjaro, na kusababisha vifo vya watu nane na majeruhi arobaini na moja. Natuma salamu za pole kwa wote waliopoteza ndugu, jamaa na marafiki katika ajali hii. Naendelea kuwasihi watumiaji wote wa barabara kuendelea kuwa waangalifu na kufuata sheria za usalama barabarani. Nasisitiza vyombo vyetu ya usalama barabarani kuendelea kusimamia sheria kwa makini ili kuepuka ajali zinazoweza kuepukika, ikiwemo kufuta kabisa leseni kwa madereva wenye makosa yanayochukua uhai wa Watanzania wenzetu. Nawaombea kwa Mwenyezi Mungu ndugu zetu marehemu wa ajali hii wapumzike kwa amani, na majeruhi wote wapate kupona kwa haraka.
Indonesia
345
187
1.2K
125.9K
John Pambalu
John Pambalu@John_Pambalu·
Shukrani za dhati kwa Kamati kuu ya chama changu Chadema kuniteua kuwa Mkurugenzi wa Organization, Mafunzo na Uchaguzi. Ninatambua kuwa hii ndiyo ROHO ya chama cha siasa. Msiache kunitegemeza chini ya mkono wa Mungu wenye nguvu nikatimize majukumu yangu kwa uadilifu mkubwa.
John Pambalu tweet media
Indonesia
79
170
1.6K
31K
Kitua Michael
Kitua Michael@KituaM47329·
@SuluhuSamia Namimi kitua michael mbwambo naungana na wewe mama yetu kipenzi ktk hilo l,napia nikutakie majukumu mema ya kuliongoza taifa letu na Mungu akulinde, Amina .
Indonesia
0
0
1
265
Samia Suluhu
Samia Suluhu@SuluhuSamia·
Pongezi za dhati kwa Askofu Stephano Lameck Musomba kwa kuteuliwa na Papa Francisko kuwa Askofu wa kwanza wa Jimbo Katoliki la Bagamoyo. Nakutakia kila la kheri. Mwenyezi Mungu akuongoze katika majukumu yako.
Samia Suluhu tweet media
Indonesia
171
235
1.8K
99.1K
Kitua Michael
Kitua Michael@KituaM47329·
Nchi ni yetu tunapaswa kuilinda na kuiombea kwa nguvuzetu zote
0
0
1
63
Kitua Michael
Kitua Michael@KituaM47329·
@SuluhuSamia Hongera sana mama (mchapakazi ) na si kwamasilahi yako binafsi wala ukoo au ndugu zako binafsi ,bali nikwamanufaa yanchi nzima ,hongerasana na Mungu akutangulie .
Indonesia
0
0
3
499
Samia Suluhu
Samia Suluhu@SuluhuSamia·
Addis Ababa, Ethiopia 14.02.2025 Mapema leo nilipowasili kwa kazi nchini Ethiopia, ambapo pamoja na mambo mengine nitashiriki Mkutano wa Kawaida wa 38 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU), sambamba na Mkutano wa Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika (AUPSC).
Samia Suluhu tweet mediaSamia Suluhu tweet mediaSamia Suluhu tweet mediaSamia Suluhu tweet media
Indonesia
321
365
2.2K
145.6K
Ayubu Madenge
Ayubu Madenge@ayubu_madenge·
Kama kawaida Elon Musk anaenda kwenye mikutano mikubwa na mtoto wake kipenzi anayeitwa X. Kwa sasa huyu mtoto anakutanishwa na watu mashuhuri na wakuu tu, huenda atakuwa anaandaliwa. Jana Elon amekutana na waziri mkuu wa India akiwa na mtoto huyu na watoto wake wengine.
Ayubu Madenge tweet media
Filipino
43
57
2K
50.2K
millardayo
millardayo@millardayo·
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema historia itawahukumu Viongozi wa SADC na EAC kama watakaa kimya na kutazama kinachoendelea nchini Congo bila kutafuta suluhisho litakalomaliza mzozo unaoendelea na kunusuru maisha ya Watu. Akiongea kwenye mkutano wa pamoja wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa EAC na SADC Ikulu Dar es salaam leo February 08,2025, Rais Samia amesema “Kama wote mnavyofahamu DRC ambaye ni Mwanachama wa Jumuiya zote ya EAC na SADC inaendelea kukumbana na mzozo wa muda mrefu ambao athari zake zimegusa mpaka mipaka na kusababisha athari hadi kwa Nchi jirani, kwa Wiki kadhaa zilizopita tumeshuhudia kuenea kwa mgogoro na vurugu kulikosababisha madhara kwa maisha ya Binadamu na mali zao na kuathiri hata biashara DRC na mipakani” “Tukiwa kama Viongozi wa Kikanda, historia itatuhukumu vikali kama tutaendelea kukaa kimya na kutazama hali ikiendelea kuwa mbaya siku hadi siku, Nchi zetu kwa pamoja zina jukumu la kuhakikisha tunamaliza mzozo huu, mkutano huu una lengo la kutufanya tuhakikishe suluhisho la kudumu la mzozo huu na kufanya Wananchi wa Congo waishi kwa amani ambayo imevurugika kwa miaka mingi” “Tanzania inaumizwa na kufuatilia kwa ukaribu kinachoendelea Mashariki mwa Congo, Nchi yangu inaunga mkono mazungumzo ya kidiplomasia yanayoendelea ili kumaliza mzozo wa DRC na hivyo tunatoa wito kwa Nchi zote zinazohusika na mzozo huo kushiriki kwa mtazamo chanya kwenye mazungumzo haya ya amani kwa kuzingatia maslahi ya amani za Watu wa Nchi zao” “Kukutana kwetu hapa Dar es salaam kutupe njia bora ya kuangalia nini cha kufanya ili kusaidia Wanachama wenzetu kudumisha usalama na amani na kutatua changamoto, tunatakiwa kuwa na uhakika kuwa mkutano huu utazaa matunda, nawaomba tuungane kwenye mapambano yetu ya kudumisha amani ambayo itafanya maendeleo yawepo kwa kasi” #MillardAyoUPDATES
millardayo tweet media
Indonesia
37
11
403
29.9K
Kitua Michael
Kitua Michael@KituaM47329·
@ayubu_madenge Hongereni tuiombe serekali iupokee huo mfumo na ndoutumike jwenyeuchaguzi huu wa kesho kutwa
Indonesia
0
0
2
36
Ayubu Madenge
Ayubu Madenge@ayubu_madenge·
Wanafunzi wa form 6 Mzumbe Sec yaani Christopher Honeywick na David Mwijage wamebuni mfumo wa Uchaguzi wa Kidigitali hapo Shuleni kwao. Mfumo huo unaonesha Matokeo Live, Unapunguza gharama za uchaguzi, Unaondoa uibaji wa kura na Ucheleweshaji wa matokeo. Vijana hawa wazingatiwe.
Ayubu Madenge tweet media
Indonesia
403
355
3.2K
145.9K