STIMA:oi niaje kesho naitaji tuwe wote
DEM:stima me sio rahisi kihivyo unavyo dhani nipo busy na kazi
STIMA:kwani ukija utaondoka bure huko kazin unalipwa Tsh?
DEM:ni elfu35 per day
STIMA:(unanikomoa😁)okay nitakupa elf50
DEM;ila nikija sipiki nikitandani tu
Unaweza kupandisha content Kali na isinase, unaweza kupandisha meme Kali na isinase mpaka ukaona huu mtandao unakunyanyapaa,uchawi ni ku engage na wagonga ulimbo plus ma future millionaire,nimewaibia tu siri,msinitaje..!