Life Of Vike

12K posts

Life Of Vike banner
Life Of Vike

Life Of Vike

@Life_of_vike

LIFE OF VIKE

Mwanza, Tanzania Katılım Kasım 2022
911 Takip Edilen921 Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
Life Of Vike
Life Of Vike@Life_of_vike·
Kipindi nipo kwenye form ya MAPENZI nishawah na DEM ALIKUA ALBINO ! Ile MALI ilikua kali sana halafu usiku macho yanawaka hivi kama PAKA ... kuwa naye ilikua inahitaji Ujasiri sana 😅.. Maana kuna day niliwah kutembea naye nampeleka ROCK CITY MALL .. police wakanisimamisha 👇
Life Of Vike tweet media
Filipino
20
11
65
6.3K
The Kyejo
The Kyejo@OfficialKyejo·
@Life_of_vike Duu mnakula mpka albino aisee 😅 ila mm kuna albino niliwahi kumuelewa Alikuwa pale vwawa songwe uko ahaa sijui aliendaga wap
Indonesia
1
0
0
116
Life Of Vike
Life Of Vike@Life_of_vike·
Kipindi nipo kwenye form ya MAPENZI nishawah na DEM ALIKUA ALBINO ! Ile MALI ilikua kali sana halafu usiku macho yanawaka hivi kama PAKA ... kuwa naye ilikua inahitaji Ujasiri sana 😅.. Maana kuna day niliwah kutembea naye nampeleka ROCK CITY MALL .. police wakanisimamisha 👇
Life Of Vike tweet media
Filipino
20
11
65
6.3K
S3
S3@stevenquotes360·
Mwanetu Abdul ametoa timu mapema kama Senegal! Baba Mkwe kuosha vyombo kunashida kweli? Na huyo fundi aliyetumwa mbona mbea? Alitumwa kupimisha nguo au kuchunguza mambo ya watu? Abdul yuko sahihi au alikuwa anatafuta sababu ya kuondoka? 🪄Good Morning
S3 tweet media
Filipino
1
1
2
17
Life Of Vike retweetledi
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
#TajiriLaKihaya Kuidharau timu ambayo haijafungwa kwenye UEFA Champions League, imewapita Bayern Munich na Atlético Madrid kirahisi, na ipo kileleni mwa English Premier League tangu mwaka jana,hiyo si masihara. Hiyo ni sauti ya kushindwa na frustration, kwa sababu timu zenu hazikuweza kufikia hata kiwango cha karibu. Najivunia kuwa shabiki wa Arsenal… #COYG
Filipino
18
16
50
1K
britishboe
britishboe@british77boe·
Kwa Tanzania sioni kama kuna anae mkaribia,Africa top 10 yupo ya pisi Kali sana,tena sio namba 10 ni namba 2
britishboe tweet mediabritishboe tweet mediabritishboe tweet media
Filipino
4
7
17
561
The champ👑
The champ👑@fintanjr_·
Nadhani, ifikapo 2090, humu hizi account zote zitakuwa domant, waliochanga karata vizuri ujanani watakuwa wamefariki, na ambao tulikosea hesabu za kimaisha tutakuwa Tumekufa,.. Sasa, hakuna atakayeishi milele, Jeuri ni za nini?...
Indonesia
24
38
62
563
Life Of Vike retweetledi
Kante
Kante@MkulimaKante·
Iko hivi katika maisha yetu ya kila siku hakuna kitu kizuri na muhimu kama kujaribu. Nakumbuka 2021 Shilole alilaunch shishi food pale Dodoma na wakati huo nilikuwa nimehairisha chuo kwa kukosa ada so nikawa nawaza ni namna gani naweza jikusanya kupata chochote kitu. Nikiwa mtandaoni nikaona tangazo kwenye page ya shilole pale mjini instagram akitafuta wafanyakazi ikiwemo wapishi, usafi na waiters na akatangaza tarehe ya usahili. So akilini mwangu nikasema hapa napo naenda kurusha karata yangu kama waiter japo sikuwa na vyeti vya huo ujuzi. Ikanibidi nichukue magamba yangu ya shule niende nayo kwenye huo usahili uliokuwa unafanyika siku ya jumamosi. Nafika pale nikakabidhiwa kadi namba 76 huko ikimaanisha mm ntakuwa mtu wa 76 kupigwa interview na madam shilole. Mungu si Athumani nikavumilia mpaka wakati wangu wa kuingia na mlangoni alikuwa amesimama good brother vido vidox so unapigwa maswali kidogo kabla hujaenda kukutana na shilole. Mule ndani shishi alinipiga maswali kadha wa kadha nikajibu na nikaambiwa niache namba😁nikahisi kazi tayari guess wat sikupata nikaingia zangu kwenye harakati za kuuza ukwaju. Ninachotaka kusema ni hivi dunia haina huruma na haitaki ww utie huruma fosi kivyovyote kupata mkate wako wa kila siku. Kwa ground hadi leo bado algorithm ya maisha inanipiga za kichwa lakini sijawahi kulaumu namshukuru Mungu na bado nina imani ipo siku mambo yatakuwa ahueni. Kwangu kila hatua moja ninayopiga huwa natizama nyuma nilikotoka nikiona nimesonga mbele hata hatua nusu huwa nabaki kusema "Lord, The one you have blessed has come to say thank you" coz mm ndio najua ni mangapi nimepitia. Sisi ndio wale hata tukila wali nyama ni mafanikio kwetu🫵😁
Indonesia
3
8
16
529
LI BRO STIMA ⚡
LI BRO STIMA ⚡@JosmanStima·
Kipindi tunakua Kuna majilani zetu walikuaga wanahali ya chini ya kimaisha na kiuchumi ila mama alikua ananituma nikaombe magadi,kinu,chumvi hata kama vitu hivyo tunavyo ndani nili muuliza Mama "kwanini unaniagiza kuomba na wao Hali Yao ni ya chini"....
Filipino
14
27
70
2.2K
CHAVO 🌟
CHAVO 🌟@HastaRuego·
Ukiona sehemu kuna dizaini hii ya viti, ujue utapoteza sana muda wako hapo. Yani kama una subiri huduma basi utakaa sana hapo 😄
CHAVO 🌟 tweet media
Indonesia
10
8
16
260