MRUFIJI
1.7K posts

MRUFIJI
@Local_Maelezo
NGOTWIKE FRESH CASHEW NUTS SUPPLIER
Lindi, Tanzania Katılım Nisan 2014
433 Takip Edilen70 Takipçiler

@shaffihdauda1 Wanangu wa @YoungAfricansSC tu mu-unfollow huyu mpumbavu
Indonesia

Azam ameongeza alama moja na kusogea nafasi ya pili akiwa amecheza mechi sawa na Yanga
Yanga amebaki nafasi ya kwanza akiwa ameongeza alama moja pekee na kufanya gap kati yake ya Azam libaki pts 8 vile vile, lakini amewaacha Simba kwa alama 9
Faida ya Simba hapo ni kwamba ana mechi mbili mkononi kama atashinda zote na kukusanya alama 6 atapunguza gap na kubaki alama 3
[Gap litatoka alama 5 na kubaki 3] Lakini kama Simba atashinda mechi zake

Filipino

#QUIZ
Dondosha comment yako hapo chini, majibu utapata kwenye #KipengaXtra kila siku Jumatatu hadi Jumamosi kuanzia saa 6:00 Mchana kupitia EATV
#QUIZ #DONDOO #EastAfricaTV

Indonesia

"Kwanini hayo mabomu yametupwa ndani ya eneo la kanisa la Jimbo Kuu Katoliki Musoma? waliotupiwa ni hawa kina mama ila walioathiriki si hawa kina mama tu, kulikuwa na watoto wadogo, mabibi na wazee wanatoka kanisani na wengine wanaingia misa ya pili." Askofu Michael Msonganzila
Imeandikwa| Mwandishi Wetu
Tembelea epaper.ippmedia.com kusoma gazeti lako au wasiliana nasi 📞+255 745 -700 710 au 0677- 020 701 kwa maelezo zaidi.
#NipasheDigital #NipasheMwangaWaJamii #miaka30yakupashahabari
Filipino

Taarifa muhimu kuhusu pre order ya jezi za michuano ya kimataifa 2025/26. #NguvuMoja


#VIDEO Jeshi la Polisi Dar es salaam limewadhibiti Wafuasi wa Chama cha CHADEMA huku baadhi yao wakiadhibiwa kwa kupigwa virungu na mateke baada ya kuibuka kwa hali ya taharuki katika viunga vya Mahakama Kuu ya Tanzania Masijala ndogo ya Dar es salaam.
Wafuasi hao walifika maeneo ya Mahakamani kwa ajili ya kufuatilia mwenendo wa kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu.
#MillardAyoUPDATES
Indonesia

Sheikh Rashid Njuki ambaye amefariki kwa ajali ya Gari usiku wa kuamkia leo kumbe alifanyiwa Dua na Madrasa moja huko Tanga impate ajali hiyo ili Taasisi yake ya Manasiki ife.
Msikie mwenyewe akielezea na ona na Dua yenyewe hii aliofanyiwa.
Sheikh Njuki amezikwa leo baada ya Swala ya Magharibi huko Manyara.
#KitengeUpdates
Indonesia

Mzee wa miaka 65 toka Liwale, Mkoani Lindi ameanguka na Ungo katika harakati zake za kwenda kuwafuata watu awachukue kichawi.
#KitengeUpdates
Indonesia

Jemedari Said Kazumari amekamata nafasi ya mwisho kwenye kwenye Uchaguzi wa ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi, CCM katika Jimbo la Mtama mkoani Lindi huku Nape Moses Nnauye akiiongoza kwa matokeo ya kata 19 kati ya 20.
MATOKEO:
Nape Moses Nnauye - kura 3160
Metta Nahonyo- kura 1545
Jabir Chilumba- Kura 824
Jemedari Said - kura 358
#KitengeUpdates

Filipino

Jeshi la Polisi Mkoani Mtwara limesema limemkamata Anastanzia Exavery Mahatane (27), maarufu Ebitoke katika fukwe za Msanga Mkuu Mjini Mtwara akiwa katika hali inayoonekana kuwa amechanganyikiwa na wala hakuwa ametumbukizwa katika shimo wala kutekwa kama ambavyo alivyokuwa ameeleza mitandaoni ambapo Polisi hao wamempeleka Ebitoke Hospitali ya Mkoa Mtwara kwa matibabu na limeomba Ndugu zake wafike Mtwara kumchukua.
Akiongea leo August 01,2025, Kamanda wa Polisi Mtwara Issa Suleiman amesema ““Mnamo July 30, 2025 Anastanzia Exavery Mahatane (27), maarufu Ebitoke ambaye ni Msanii wa comedy hapa Tanzania, Mkazi wa Dar es salaam, ambaye kwa sasa anaishi katika Kata na Kijiji cha Msanga Mkuu Wilaya ya Mtwara alichapisha taarifa katika akaunti zake za mitandao ya kijamii ikiwemo Instagram kuwa yeye kwa sasa yupo Mtwara na kwamba ametumbukizwa katika shimo huko katika fukwe za Msanga Mkuu na kwamba wapo Watu ambao aliwataja kwa majina kuwa wanataka kumuua”
“Kwakuwa Jeshi la Polisi jukumu lake la msingi ni kulinda raia na mali zao, Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara lilianza uchunguzi wa haraka sana ilikujua ukweli wa taarifa iliyotolewa na Anastanzia Mahatane, katika uchunguzi wa awali Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara limebaini kwamba Ebitoke alifika Mtwara tangu Aprili 2025 na kufikia katika hoteli moja iliyopo Msanga Mkuu na kuomba hifadhi kwa Watu waliokuwa wanafahamiana kabla ya maisha yake kumuendea vibaya huko alikokuwa”
“July 31, 2025 saa 11:00 jioni Jeshi la Polisi Mtwara lilimkamata Ebitoke huko katika fukwe za Msanga Mkuu akiwa katika hali inayoonekana kuwa amechanganyikiwa na wala hakuwa ametumbukizwa katika shimo wala kutekwa kama ambavyo alivyokuwa ameeleza katika mitandao hiyo ya kijamii, Ebitoke amefikishwa katika Hospitali ya Mkoa wa Mtwara kwa ajili ya matibabu na Jeshi la Polisi Mtwara linawaomba ndugu na jamaa wa Ebitoke kufika Mkoa wa Mtwara kutoa msaada au kumchukua ndugu yao”
#MillardAyoUPDATES

Filipino

Chama Cha Mapinduzi(CCM) kimewateua Wagombea 17 kugombea Ubunge Viti Maalum kupitia UVCCM Zanzibar akiwemo aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Muheza, Zainab Abdallah na wengine kama Amina Perera, Kazija Omar, , Bimkubwa Iddi, Raya Mmaka , Amina Miraji, Latifa Khamis, Asma Ali, Monica Edward, Amina Ali, Zainab Hassan, Zadida Abdalla, Salma Mzee, Mziu Mkashaa, Mwanaenzi Hassan Suluhu, Aziza Omar na Amina Bakar.
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla ametangaza majina hayo leo July 29,2025.
#MillardAyoUPDATES



















