LongaZimale

19.4K posts

LongaZimale banner
LongaZimale

LongaZimale

@LongaZimale

MUNGU NI MUWEZA JUU YA KILA KITU.

Katılım Temmuz 2022
3.7K Takip Edilen10.4K Takipçiler
LongaZimale
LongaZimale@LongaZimale·
@fumbokhanJr Hatoboi, Waislam hawaogopi kufa, labda awauwe wote, ndio maana hakuna Muiran anayeishi kwenye mashimo kama Nguchiro.
Indonesia
1
0
0
128
Fumbo Khan
Fumbo Khan@fumbokhanJr·
Marekan Katuma Mwezi Kama hizi tatu kwenda Middle East, Baada ile Meli Yao Moja Kutunguliwa. Hii vita US wameichukulia serious sana, plus katuma 10K soldiers🙌
Fumbo Khan tweet media
Indonesia
6
3
88
2.5K
LongaZimale
LongaZimale@LongaZimale·
ROHO ni MVUKE unayo ifanya Damu ya Mtu isigande ikiwa mwilini, huo Mvuke ukitoka, Mtu hupoa na kuitwa “MFU” badala ya “MTU”. @ElimikaWikiendi
Indonesia
0
0
0
37
LongaZimale
LongaZimale@LongaZimale·
@joeselasini MwanaAdam asili yake ni udongo, Udongo ukapulizwa Roho, Roho ikitoka mwili hurudi Udongoni.
Indonesia
0
0
1
8
Mamwavi_Nkabasia
Mamwavi_Nkabasia@joeselasini·
Kituo cha tatu ktk Rozari MATENDO YA UCHUNGU. Yesu anavikwa taji la miiba. TUMUOMBE MUNGU ATUJALIE KUACHA KIBURI. Kiwe cha madaraka, mali au elimu na utanashati mwisho wake ni shimo hili la futi mbili kwa sita. Tumuombe Mungu fadhila ya UNYENYEKEVU na utumishi wa haki Kwa wote.
Indonesia
1
2
16
716
LongaZimale
LongaZimale@LongaZimale·
Kama unataka kupima kiwango chako cha uwezo wako wa kufikiri, ishi na adui yako pamoja naye. @ElimikaWikiendi
हिन्दी
0
0
0
19
LongaZimale
LongaZimale@LongaZimale·
Unafahamu sababu ya Nyoka na Fimbo kuwekwe kwenye nembo za Afya na Dawa?. Soma hapa, Hesabu 8:21 @ElimikaWikiendi
Indonesia
0
0
0
67
LongaZimale retweetledi
Miss Chelsea1221
Miss Chelsea1221@MissChelsea1221·
Naomba Mshow #Love kwa Repost🙏 👉Bei jezi za zamani(Vintage) 35,000/= Wa.me/+255717251747 Au 0714336827 👉Duka lipo kariakoo.Pia tunatuma NCHI NZIMA
Miss Chelsea1221 tweet mediaMiss Chelsea1221 tweet media
18
129
130
1.8K
LongaZimale
LongaZimale@LongaZimale·
Sio kila “Pori” kuna “Sungura”. Mapori mengine wanaishi “Nguchiro” na Vicheche wala Kuku. Chukua tahadhari. @ElimikaWikiendi
Filipino
0
0
1
23
LongaZimale
LongaZimale@LongaZimale·
Yapo magonjwa ya Mwili, na yapo magonjwa ya Roho, yale magonjwa ya Mwili, yawahishe Hospitali mapema. @ElimikaWikiendi
Indonesia
0
1
7
85
LongaZimale
LongaZimale@LongaZimale·
Nabii Mussa “as” alikua Nabii aliye ongea na Mungu moja kwa moja bila kupitia Malaika “Gabriel” Jibrilu as, pamoja na yote aliambiwa akasome kwa Hidhri ambaye ni mtu wa kawaida. @ElimikaWikiendi
Indonesia
0
0
0
20
LongaZimale
LongaZimale@LongaZimale·
Waisrail mambo leo sio Wakristo wala sio Waislam, wapo kama 300,000 Dunia nzima. Lakini ndio wanao uongoza Ukristo na Uislam.
Filipino
2
0
5
286
LongaZimale
LongaZimale@LongaZimale·
Zama zimebadilika sana, Misiba imegeuka shangwe.
0
1
3
53
LongaZimale
LongaZimale@LongaZimale·
@Eagleseye02 Shiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiindwa, siachi ng’oooooo. 😂😂😂😂
Filipino
0
0
0
1
LongaZimale
LongaZimale@LongaZimale·
Kutizama “Milembwende” husababisha changamoto ya nguvu za kiume.
Filipino
1
0
0
102
al-maghribī
al-maghribī@abulhusayn01·
Masiko Yake Na Macho Yake, Hakika Si Vingenvyo Haifidishi [Hakuna Faida] Kwa Yeye Kuingia Katika Dini Hali Ya Kutenzwa Nguvu Na Kulazimishwa" [تفسير القرآن العظيم (٢/٢٥٠)]
1
0
3
54
al-maghribī
al-maghribī@abulhusayn01·
Kwa Faida: Anasema Al-Imaam Ibn Kathir [Allah Amrehem] Kipindi Akifasiri Kipande Hiki Cha Aya: " Maana Yake, Halazimishwi Yeyote Kuingia Katika Dini Ya Uislaam, Kwan Hakika Dini Ya Uislaam Iko Wazi Kabisa, Dalili Na Hoja Zake Ziko Wazi Kabisaa, Hivyo Haitajii Mtu Akarahishwe
LongaZimale@LongaZimale

@abulhusayn01 Naaaaaam. Soma hapa Quran 2:256 “Hakuna kulazimishwa Mtu DINI”.

Indonesia
1
2
7
226
PRIME
PRIME@slugger_tz·
@LongaZimale @INFLUENCERjr Usisahau kuwa utalipia na jizzya pia kama kodi ili uwe mkristo, na pia ikitokea umebadili dini kutoka uislamu kuja ukristo adhabu yake ni kifo
Indonesia
1
0
1
16
MRENO⛑️
MRENO⛑️@mreno255·
Akishakua hivi hata ukimkumbatia tuu anashika mimba na hua haitoki hata achoropoe vipi 🤣
MRENO⛑️ tweet media
Indonesia
29
23
115
4K