Mwami Kitentya

1K posts

Mwami Kitentya banner
Mwami Kitentya

Mwami Kitentya

@LuthKitentya

Inspirational speaker Peer educator Activist

Bubango, Kigoma Katılım Haziran 2013
506 Takip Edilen237 Takipçiler
MrBanks💰
MrBanks💰@Mrbankstips·
Arsenal trying to win the EPL 💀
MrBanks💰 tweet media
English
524
1.3K
8.6K
275.5K
Julius Joseph Massabo.
Julius Joseph Massabo.@juliusmassabo·
Liverpool came all the way kutoka jalalani halafu anabeba kombe mbele yetu😔
Filipino
2
2
5
709
Ndolezi
Ndolezi@Ndolezi_Petro·
Mimi ni Yanga kindakindaki kwa Maslahi ya Taifa hongereni Simba Sc kwa kutinga fainali. Nawatakieni kilalakheri na Mshinde
Indonesia
2
1
4
439
Mwami Kitentya
Mwami Kitentya@LuthKitentya·
@Ndolezi_Petro Inshaallah muda si bado..! Afu wewe hujachukua au ndio unasubiri majimbo yagawanywe ?😀
Indonesia
1
0
0
5
drone boy
drone boy@droneboy10·
@eastafricatv Kabudi ajifunze kwa Uto😁 kubabake kweli huu ni utoto unaosemwa upo pale Utopwengwaa
Filipino
1
0
0
595
Julius Joseph Massabo.
Julius Joseph Massabo.@juliusmassabo·
Nawaza ile kasi ya mbappe pale Arsenal atakabwa na nani nachoka kabisa.
Filipino
3
1
4
397
Mwami Kitentya retweetledi
Samwel Ndandala
Samwel Ndandala@SNdandala·
Ilikua heshima yetu kuizindua Tuyajenge Forum. Tulizungumzia Fursa kwenye sekta ya kilimo. Wapo vijana wanaofanya vizuri sana humo.
Samwel Ndandala tweet mediaSamwel Ndandala tweet mediaSamwel Ndandala tweet mediaSamwel Ndandala tweet media
Indonesia
3
5
35
2K
Mwami Kitentya retweetledi
Ayubu Madenge
Ayubu Madenge@ayubu_madenge·
Wanafunzi wa form 6 Mzumbe Sec yaani Christopher Honeywick na David Mwijage wamebuni mfumo wa Uchaguzi wa Kidigitali hapo Shuleni kwao. Mfumo huo unaonesha Matokeo Live, Unapunguza gharama za uchaguzi, Unaondoa uibaji wa kura na Ucheleweshaji wa matokeo. Vijana hawa wazingatiwe.
Ayubu Madenge tweet media
Indonesia
403
356
3.2K
145.9K
Mwami Kitentya retweetledi
Mwananchi Newspapers
Mwananchi Newspapers@MwananchiNews·
Wanafunzi wawili wa kidato cha sita katika Shule ya Sekondari Mzumbe, Christopher Honeywick na David Mwijage, wamebuni mfumo wa kidigitali wa kupiga kura, unaolenga kuondoa changamoto za ucheleweshaji wa matokeo katika chaguzi za serikali ya wanafunzi. Mfumo huo unaonyesha matokeo moja kwa moja (Live Votes) na una kipengele cha usalama kinachozuia mtu kupiga kura zaidi ya mara moja, hivyo kuhakikisha haki na uwazi. "Teknolojia inabadilisha dunia, tunapaswa kuendana nayo. Mfumo huu unarahisisha upigaji kura, unapunguza gharama na unaongeza uwazi," amesema Honeywick leo Ijumaa Februari 7, 2025 wakati wakionyesha mfumo huo shuleni hapo. Mwalimu wa Sayansi ya Kompyuta, Joshua Mbilinyi amesifu ubunifu huo akisema kuwa unathibitisha jinsi vijana wanavyoweza kutumia teknolojia kutatua changamoto halisi. Mkuu wa shule, Baraka Kupela ameahidi kuendeleza vipaji hivyo kwa kutenga chumba maalumu cha Sayansi ili kusaidia wanafunzi wabunifu kuboresha mawazo yao kwa vitendo. #tunaliwezeshataifa #mwananchiupdates
Indonesia
187
193
940
89.4K
Mwami Kitentya retweetledi
NEXT-GEN AUCTIONEER + REALTOR
NEXT-GEN AUCTIONEER + REALTOR@NextGenTanzania·
📢 NEXT-GEN AUCTIONEER + REALTOR inakukaribisha kushiriki mnada wa kuuza mali za thamani jijini Dar es Salaam. Pata fursa ya kumiliki nyumba za kifahari zilizopo Mikocheni na Mbezi. Mwisho wa kupokea zabuni: 19 Februari 2025. Kwa maelezo zaidi, piga simu 📞 +255 659 166 440.
Indonesia
0
3
1
106
Mwami Kitentya retweetledi
NEXT-GEN AUCTIONEER + REALTOR
NEXT-GEN AUCTIONEER + REALTOR@NextGenTanzania·
📢 @NextGenTanzania invites you to submit sealed bids for the sale of prime properties in Dar es Salaam. This is your chance to own valuable real estate at Mikocheni and Mbezi. Submission deadline: 19th Feb 2025. For details, contact us at 📞 +255 659 166 440.
English
1
3
2
122
Think Different
Think Different@lifeofmshaba·
Kwa nini CHADEMA wanaendelea kutumia umeme wa TANESCO wakati umeshakatika zaidi ya mara 6 Umeme unakatika hapo kwenye sehemu dogo ya mlimani City tu Anaongea Lissu umeme umekatika, imefikia hatua mpaka mabalozi wana record huu upuuzi mnaofanya ondoeni TANESCO wekeni General mafuta ni chini ya 1 million moja kwa nini isiwekwe jenereta ?
Indonesia
28
52
403
32.2K