THE LIFE OF MAJANI004

12.4K posts

THE LIFE OF MAJANI004 banner
THE LIFE OF MAJANI004

THE LIFE OF MAJANI004

@MAJANI_MASHA004

Zanzibar South and Central, Ta Katılım Temmuz 2013
3.2K Takip Edilen5K Takipçiler
THE LIFE OF MAJANI004 retweetledi
Fanuel Arsene
Fanuel Arsene@ArseneFanuel·
@EsirEid NISAIDIENI KAZI WAKUU Nina experience ya kazi za microfinance(mikopo) miaka 4 mpk level ya branch manager, elimu ni degrii ya Hisabati na Takwimu, ni dereva pia nina leseni hai, hata kibarua cha 10k kwa siku sawa, mambo ni mbaya,niko Kahama town 0619923421 RETWEET IFIKE MBALI 🙏
Indonesia
14
194
365
13.5K
Danny Ngudungi
Danny Ngudungi@DannyNgudungi·
@chapo255 Pombe siyo sababu kubwa ya Figo kufeli! Figo zinafeli kwa mambo mengi sana! Mfano High blood pressure,diabetes!
Filipino
3
0
6
1.3K
SANUKAnaCHAPO
SANUKAnaCHAPO@chapo255·
Kuna muda unaimiss Nyagi ila ukimkumbuka DJ Choka unakuwa mpole!
Filipino
42
46
765
49.7K
THE LIFE OF MAJANI004 retweetledi
Rugemeleza Nshala
Rugemeleza Nshala@rugemeleza·
Air Tanzania mmepoteza sanduku langu. Jana usiku nimesafiri na Air Tanzania Ndege Bamba 125 kutoka Kilimanjaro muja Dar es Salaam. Ajabu yake ni sanduku langu ndilo halikufika. Lolote litakalofanywa kwenye sanduku hilo utakuwa ni wajibu wa Air Tanzania.
Indonesia
58
247
1.2K
31.9K
JohnDoe
JohnDoe@mad_genius6·
"NO REFORM, NO ELECTION” ilikuwa ni standard ya juu sana kuwahi kutokea nchini.
Filipino
49
222
1.3K
17.8K
THE LIFE OF MAJANI004 retweetledi
Tundu Antiphas Lissu
Tundu Antiphas Lissu@TunduALissu·
Ujumbe kutoka gerezani Ukonga wa Mh. Tundu Lissu 21/11/2025 Tume za Uchunguzi ni dekio la uchafu wa serikali na Jaji Mkuu Mohamed Chande ndiye msafishaji mkuu wa uchafu huo!! Alikuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa Mauaji Bonde la Ihefu mwaka 2006. Matokeo yake? Sifuri!! Alikuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa Vyombo vya Haki Jinai Mwaka 2023. Matokeo yake? Sifuri!! Sasa ni Mwenyekiti wa Tume ya Mauaji Makubwa katika historia ya nchi yetu yote. Tutegemee matokeo gani? Sifuri!! Hakuna Maridhiano bila Ukweli na Uwajibikaji! Hakuna Amani bila Haki. TAL, Ukonga Central Prison. -Admin.
Indonesia
23
695
2.8K
110.6K
Salim Alkhasas
Salim Alkhasas@salim_alkhasas·
Kwamba ili umsaidie ni lazima akuambie anaumwa nini, kalazwa wapi, kala nini jana, ameoga asubuhi au hajaoga? Come on, unaweza changia au unaweza ukachuna tu! Mwanaume kuomba msaada sio jambo dogo
CHURA MYUNANI MKALI PAPPARAZI@Maestrowafact

Unajua kuomba msaada ni tofauti na kucreate content au kuinfluence jambo. Huyu hasemi anaumwa nini amekwamaje maradhi gani hayo anakuja tu na stroy za kutokuona aibu achangiwe? Huu nao ni utaratibu wa ajabu unaweza leta mazingira ya kitapeli unakuta mtu winga kala mzigo wa watu

Indonesia
5
4
22
1.9K
THE LIFE OF MAJANI004 retweetledi
Tito Magoti
Tito Magoti@TitoMagoti·
Pres @SuluhuSamia: Hawa (pichani) wako jela kwa makosa makubwa ya ugaidi kwa maelekezo ya Sabaya na genge lake, wanadai. Walikamatwa Hai wakati wa uchaguzi wakihusishwa na CDM & Mbowe. Waliteswa sana - see how weak they were, & the scars. Wako jela Segerea.
Tito Magoti tweet mediaTito Magoti tweet media
Indonesia
171
497
2.4K
0
Kremlin
Kremlin@therealsemsii·
TUNDU LISSU kua SOLID Chadema (Ya sasa/kwa sasa) kunakwamisha mambo ya wengi sana nchi hii..Watawala waovu wanahaha Foreign affairs kwa moto,nchini kwa moto...Wapiga dili ndani ya chama ngoma ngumu..CHADEMA HII YA LISSU imekua kama imani imebeba mioyo ya wengi.
Indonesia
9
110
424
4.4K
THE LIFE OF MAJANI004 retweetledi
Masoud Kipanya
Masoud Kipanya@masoudkipanya·
Katunix
Masoud Kipanya tweet media
Eesti
221
529
3.7K
77.3K
CHURA MYUNANI MKALI PAPPARAZI
CHURA MYUNANI MKALI PAPPARAZI@Maestrowafact·
@sinahisa Nchi haiwezi kukaa bila usimamizi wa kila siku. Kwa hiyo, Mawaziri huendelea kubaki ofisini kama Wasimamizi wa muda hadi Rais mpya atakapoapa na kuunda baraza jipya.
Indonesia
16
0
3
1.4K
Salim Alkhasas
Salim Alkhasas@salim_alkhasas·
Baadhi ya wagombea waliokatwa kwenye vyama vyao walichochea chini chini machafuko: Jaji Chande
HT
7
12
62
6.2K
Adventure-360
Adventure-360@Adventure_36·
Ujumbe huu kutoka kwa DJ Choka
Adventure-360 tweet media
Indonesia
27
41
671
35.4K
Kagimbo Lutahya
Kagimbo Lutahya@KagsLutty·
Tume ya CHANDE ije na maelezo kwamba hawa walitumwa na nani?
HT
14
98
255
6.3K
Tanye
Tanye@Bilantanyetae·
@jeju_julius @ezzy_wix Now there's new fashion many people drink force themselves to drink a lots of water than normal,It make kidney to over work nonstop after certain time it will never work again .
English
7
0
14
5K
Jeany
Jeany@jeju_julius·
Naomba kuuliza sa hivi kuna wimbi kubwa sana wengi wanaugua Figo inasababishwa na nini? Mpaka unakutwa na ugonjwa huu minijuze jamani?🙏🏻
Filipino
60
35
422
53.1K
Pope Mwita I
Pope Mwita I@EJ_Mwita·
Umewapendelea kwa kuweka bei ya manunuzi $6,000 ambayo hufanya bei ya gari kwa sawa na bei ya ushuru. Uhalisia, CIF price inaonyeshwa hapo kuwa $4,806 ambayo ni gharama ya gari + usafirishaji hadi bandari ya DAR-ES-SALAAM. Hivyo basi bei halisi ya manunuzi FOB ni chini ya $4,000
John Heche@HecheJohn

Hizi ni kodi na ushuru wa serikali kwa gari ndogo tu Crowne. Fikiria kijana ambae ameanza maisha hapa Dar, kutokana na adha ya usafiri anajibana ananunua kagari ka usd 6,000 ambazo ni sawa na 14 m. Hiyo gari ikifika inatozwa ushuru mwingine wa 14 m, yaani fikiria ushuru unalingana na ununuzi wa gari!!! Yaani gari Machuma yote, engineering iliyopo pale kwenye gari unanunua bei sawa na ushuru wa mtu ambae amekaa ofisini tu na anakuchaji hela yote hiyo!!!! Wakati mwingine kodi zinakua bei juu kuliko manunuzi!!!! Huyu kijana awe mkulima au mfanyakazi, anafanya kazi ngumu sana kupata hiyo fedha, then inachukuliwa hivi… Alafu baada ya mda CAG anasoma ripoti kwamba uwanja ulitakiwa kujengwa kwa bilioni 187 baadae ukajengwa kwa bilioni 337.. Mara umekaa unaambiwa kuna eti Waziri anatumia gari binafsi ya bilioni 2, unajiuliza mtumishi wa umma ametoa wapi bilioni 2 kununua gari na mshahara wake unafahamika, au anamiliki nyumba tano za thamani ya bilioni tatu, nne au tano… aniliki mashamba ya mabilioni, amempa mama mkwe wake nyumba ya bilioni tano na gari la kutembelea la milioni 500. Pesa zote hizi za mlipa kodi anaeumizwa kiasi hiki na mzigo wa kodi… Hapa nimesema magari tu, Ukienda kwenye kila kitu kinachoingizwa na kutoka Nchini ni mzigo wa kodi na maumivu kwa Mwananchi.. Na mwisho wa siku badala hizi fedha zitumike kwaajili ya maendeleo yetu zinaishia kwenye mifuko ya vibaka. Hakuna barabara, hakuna maji, hakuna umeme.. Maisha magumu , mishahara duni hasa kwa walimu na manesi. Hatuwezi kukubali kuwa watumishi wa vibaka wanaopora mali za umma.

Indonesia
5
12
72
7.6K
THE LIFE OF MAJANI004
THE LIFE OF MAJANI004@MAJANI_MASHA004·
@WideEdson Kuna sehem nyingi za kuchukua iyo bajaji, kuna Mo pia wanatoa bajaji na Kampuni nyingine inaitwa mogus kitu kama icho, ambao kianzia ni 1M tu!
Indonesia
1
0
1
470
MJUKUU (Fan)
MJUKUU (Fan)@WideEdson·
Wakubwa nimeenda kwenye ofisi za mikopo pale NMB Pamba Road, Miongoni mwamasharti ya kupata mkopo wa bajaji ni lazima utoe aslimia 20% Ambayo mfano kama bajaji unayotaka kukopa itakua na thamani ya M10 maana yake lazima utoe M2 ambayo ndio aslimia 20% Mnanishaurije apo? 🤔
Indonesia
11
9
167
11.1K
Thom Mnkondya
Thom Mnkondya@Thommunkondya·
“Kama ambavyo katiba inaelekeza katika ibara ya 55(4) kwamba waziri na naibu waziri watateuliwa miongoni mwa wabunge, hivyo basi Mh Rais amemteua Mh Tundu lissu kuwa waziri wa katiba na sheria na Mh Zitto Kabwe kuwa waziri wa fedha. Wataapishwa kesho ikulu ndogo ya Mtwara. “ I’m dreaming. Sema hii ndoto inaweza kuleta haueni kwa nchi 🤔.
Indonesia
31
5
31
11.7K