Mtv

4K posts

Mtv banner
Mtv

Mtv

@MTVDRC

Compte officielle de la chaîne de télévision Malivika TV (MTV DRC) E-mail: [email protected] Tél: +243 990 667 466

République Démocratique Du Con Katılım Şubat 2023
384 Takip Edilen1.7K Takipçiler
Mtv
Mtv@MTVDRC·
AFC- M23 yaendelea kuwapa mafunzo ideolojia na ungozi bora viongozi wa tabaka za chini kutoka vijiji,Vitongoji na miji kwa ajili ya kuimarisha Uongozi Bora . Mafunzo inayo lenga viongozi wa chini ambao ndio huiishi na wakaazi wasema viongozi wa AFC - M23
Indonesia
0
0
0
29
Mtv
Mtv@MTVDRC·
DRC kinshasa Chama tawala cha UDPS cha tangaza maandamano makubwa Mjini Mjini Kinshasa Kuunga mkono serikali ya Marekani kwa kumuwekea Vikwazo Rais Mustaafu Joseph Kabila.
Mtv tweet mediaMtv tweet media
Indonesia
0
0
0
18
Mtv
Mtv@MTVDRC·
AFC M23 yatangaza kuwapa mafunzo viongozi wa tabaka za chini kwa ajili ya kuimarisha uongozi Bora. Hatua inayo chukuliwa kuwapa mafunzo kutoka vijiji na vitongoji mbali mbali kwa kwa kile wanacho kiita mabadiliko.
Mtv tweet mediaMtv tweet mediaMtv tweet media
Filipino
0
0
0
19
Mtv
Mtv@MTVDRC·
AFC-M23 And MONUSCO/GOMA Corneille Nangaa na timu lake wakautana na kiongozi wa MONUSCO nchini DRC James Swan . malezo zaidi .
Indonesia
0
0
0
62
Mtv
Mtv@MTVDRC·
ZXX
0
0
0
21
Mtv
Mtv@MTVDRC·
DRC. Kiongozi wa Umoja wa Mataifa MONUSCO nchini DRC James swan awasili GOMA eneo linalo tawaliwa na AFC-M23 Kivu kaskazini Mashariki. James amewasili Mjini Goma kutumia uwanja wa ndege wa Goma ulio fungwa kwa muda mrefu akitumia helikpa.
Indonesia
0
0
0
50
Mtv
Mtv@MTVDRC·
Turi/MONUSCO kujikita katika maendeleo. Huko Bavokutu, katika eneo la Irumu, daraja la Masinda sasa linarahisisha uhamaji na kuimarisha usalama wa watu. Umejengwa na kikosi cha Kiindonesia cha MONUSCO, muundo huu wa uwezo wa tani 10 unachukua nafasi ya daraja la chini la mbao.
Mtv tweet media
Indonesia
0
0
0
81
Mtv
Mtv@MTVDRC·
Goma aeroport
Español
0
0
0
24
Mtv
Mtv@MTVDRC·
ZXX
0
0
0
50
Mtv
Mtv@MTVDRC·
ZXX
0
0
0
31