Mvulana Initiative
9 posts

Mvulana Initiative
@mvinitiative
Mvulana Initiative (MI) is a Non-Governmental Organization that advocates for the rights and well-being of boys against all forms of abuse.
Kiluvya,Kisarawe-Pwani Katılım Mart 2026
5 Takip Edilen0 Takipçiler

@Aruatani Sio wifi hio Mzee hio ni radio frequency transmitter.Kazi yake ni kutuma taarifa kutoka kwenye ATM card yako kwenda kwenye server upande wa bank.Hii utaitumia kama endapo utaki kuingiza kadi ndani
Filipino

@Michael94678730 @Aruatani Unaweza Igusisha tu sio lazima kuiweka. Igusishe ukisikia beep sound itoe kisha endelea na Trasaction.
Tanzania 🇹🇿 Indonesia

@Aruatani Hiyo mara nyingi mimi huwa naitumia kutoa pesa kwenye ATM. Naweka kadi yangu hapo badala ya kuchomeka kadi kwenye ATM
Filipino

@bushlander_ @Aruatani Kwa sababu watu wakipata pesa wanasahau kadi. Mtu akishachukua pesa anaacha kadi anaondoka. So chukua kadi weka kisha chukua pesa ondoka.
Tanzania 🇹🇿 Indonesia

@Aruatani hivi kwani nini card ndio inatangulia kutoka kabla ya pesa?😅
Filipino

@matungwap @Aruatani Sio lazima kuilaza. Unaiweka na kuitoa inakuwa ishasomana.
Tanzania 🇹🇿 Indonesia

@Aruatani Hapo unaweka kadi kwajili ya kufanya miamala ya kibenki hapo panascan kadi ni mbadala wa ile sehemu ya kuchomeka kadi, so badala ya kuchomeka kadi unailaza hapo na kukamilisha miamala kama kawaida
Indonesia
Mvulana Initiative retweetledi

Karibuni Tanzania.
Karibuni Nyumbani.
Leo nimejumuika na Marais wa nchi na Wawakilishi wa wakuu wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki katika Mkutano wa 25 wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, jijini Arusha.
Miaka 26 tangu kurejeshwa kwa umoja huu, umeendelea kuwa jukwaa muhimu la kuunganisha nguvu za nchi zetu kama ndugu, kuongeza sauti ya pamoja katika masuala mbalimbali, na kujenga mustakabali wenye mafanikio kwa wananchi wa Afrika Mashariki.




Indonesia
Mvulana Initiative retweetledi

Ninawapongeza na kuwatakia kheri wanawake wote katika kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Wanawake. Siku hii inatupa fursa ya kipekee ya kutambua, kujivunia na kusherehekea mafanikio tuliyopata, hasa katika elimu, afya, uchumi na uongozi.
Siku hii inatukumbusha pia wajibu wetu wa msingi kwa waasisi wetu na kwa vizazi vya sasa na vijavyo; wa kuendelea kupanga na kutekeleza mipango ya kumwezesha mwanamke, ikiwa ni sehemu muhimu ya kazi ya kukomboa familia, jamii na Taifa kwa ujumla.

Indonesia

@magogonidaily Sasa Mzee amekaaje hivyo? Let's make them boys come responsible men.✍️
Tanzania 🇹🇿 English

Unamfundisha nini mtoto wako?
Sote tunafahamu kuwa mtoto ndio taifa la kesho! Lakini je, unampatia mafunzo gani ili kumuandaa na changamoto zinazoweza kukwamisha ndoto zake?
#fyp #viralvideo #Tanzania #abuse #childabuse #IranWar #SEVENTEEN #MvulanaInitiative #DarEsSalaam #boy

Tanzania 🇹🇿 Filipino

