matungwa peter

264 posts

matungwa peter

matungwa peter

@matungwap

we all live 24 hours

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Aralık 2014
109 Takip Edilen21 Takipçiler
matungwa peter
matungwa peter@matungwap·
@Aruatani Hapo unaweka kadi kwajili ya kufanya miamala ya kibenki hapo panascan kadi ni mbadala wa ile sehemu ya kuchomeka kadi, so badala ya kuchomeka kadi unailaza hapo na kukamilisha miamala kama kawaida
Indonesia
1
0
1
542
matungwa peter
matungwa peter@matungwap·
@iammpemba Katiba inasema majina yasopungua ma3 alafu hapohapo anakwambia jina moja halivunji katiba duh uchawa ni kipengele kweli.
Indonesia
0
0
0
152
CineBlast🍿
CineBlast🍿@Binamu01·
Hii apa lists ya wasanii 10 wa bongo ambao ni ndugu wa damu Namba sita(6) itakushangaza 10. TID na kalapina (mmoja mtoto wa mama mkubwa na mwingine mama mdogo) ⤵️
CineBlast🍿 tweet media
Filipino
39
37
742
98.7K
EastAfricaTV
EastAfricaTV@eastafricatv·
#MJADALA - Bajaji wanatuuzia wenyewe kutoka China na bado wanakuja hapa wanachukua leseni - Hamis Hassan akichangia mjadala. #EastAfricaTV
Indonesia
1
3
14
4.2K
𝐋𝐚𝐛𝐞𝐥𝐥𝐚 𝐌𝐚𝐟𝐢𝐚
Michezo 14 tangu asajiliwe nyuma Mwiko FC, Shadrack Framingo Boka: ⚽ Goals: 0 🎯 Assists: 0 🟨 Yellow cards: 3 ⏱ Dakika: 1,260 (Sekunde 75,500) 🤷‍♂️ Kutema mate: 90 mara 😅 Kiufupi, huu usajili walipigwa mchana kweupe! 🙌
𝐋𝐚𝐛𝐞𝐥𝐥𝐚 𝐌𝐚𝐟𝐢𝐚 tweet media
Indonesia
335
28
915
99.4K
matungwa peter
matungwa peter@matungwap·
@millardayo Huyu mwamba hadi p didy amemnyooshea mikono make sio kwa pumzi hiyo
Indonesia
0
0
0
306
millardayo
millardayo@millardayo·
Makamu wa Rais wa Equatorial Guinea, Teodoro Obiang Nguema Mangue amesema Serikali ya Nchi hiyo itawatimua kazini Maafisa na Watumishi wote wa Umma ambao ni miongoni mwa Wanawake zaidi ya 400 waliorekodiwa wakifanya mapenzi na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kitaifa la Upelelezi wa Fedha (ANIF) la Nchini humo, Baltasar Ebang Engonga (54) katika maeneo mbalimbali ikiwemo kwenye Ofisi za Serikali na nyumbani kwa Ebang. Ebang ambaye ni Baba wa Familia ya Watoto sita, tayari amekamatwa kwa kosa la kujirekodi akiwa anafanya mapenzi na Wanawake hao ambao wengine ni Wake za Watu Mdogo Mke wa Kaka yake, Binadamu yake, Dada wa Rais wa Nchi hiyo, Mke wa Mkuu wa Ulinzi wa Rais wa Nchi hiyo, Mke wa Mwanasheria Mkuu wa Nchi hiyo na Mtoto wa Mkuu wa Jeshi la Polisi la Nchi hiyo. Wengine walioonekana wakifanya mapenzi na Ebang kwenye video hizo ni Mke wa Mlinzi wake (Bodyguard), Mke wa Mchungaji wake, Wake wa Mawaziri kadhaa wa Nchi hiyo, Mke wa Mjomba wake ambaye ni Mjamzito, Marafiki 15 wa Mdogo wake wa kike na Wanawake wengine mbalimbali ambapo imeelezwa wote hao walionekana kuridhia video hizo kurekodiwa. Ebang Engonga ni Mkurugenzi Mkuu Shirika la ANIF ambalo ni Shirika la Kitaifa la Upelelezi wa Fedha la Equtorial Guinea linalohusika na kusimamia uchunguzi wa kifedha na kusimamia shughuli zinazolenga kudhibiti ufisadi wa kifedha Nchini humo. #MillardAyoUPDATES
millardayo tweet media
Indonesia
531
235
3.1K
536.3K
japhet mmbaga
japhet mmbaga@kighera50·
@HabarimpyaTv @RAPHAELPHAUSTI8 Tumpuuze, Wabunge Hawajichagui, wananchi wajinga ndo Wanachagua Wabunge wajinga, tunafanya biashara badala ya Kuchagua, unapewa kapero, t,shirt, khanga, elfu kumi na pilau unatoa kura, KATIBA Inakuangalia tuu, haina cha kukufanya.
Indonesia
14
1
7
1.6K
HABARIMPYA TV
HABARIMPYA TV@HabarimpyaTv·
Je Hoja ya Msanii Dudubaya ina Mashiko Tumzingatie au Tumpuuze,.? 🤔🤔
Eesti
89
258
1.3K
73.3K
Ze Planmaster
Ze Planmaster@ZPlanmaster·
Hii picha inaendana na topic gani kwenye somo la historia?😀
Ze Planmaster tweet media
Filipino
301
41
812
107.6K
Swed Junior
Swed Junior@Kingvannytz_·
Hivi mbilikimo kwa kingereza wanaitwaje ?
Swed Junior tweet media
Polski
1.3K
79
2K
218.8K
matungwa peter
matungwa peter@matungwap·
@datius_tz Bodmas (brackets open), divide, multiplication, addition, subtraction.
English
1
0
0
62
matungwa peter retweetledi
Paul_Makubi
Paul_Makubi@Makubi_Pol·
UKIFANYA HIVI UTAANZISHA BIASHARA YOYOTE DUNIANI. PDF ina inapages 13 za moto 🔥 Utaipata sasa hivi hakikisha umenifollow Niweze ingia inbox kwako 📌 Repost alafu comment "TAYARI" Nakutumia ndani ya Sekunde moja #wekezanami
Paul_Makubi tweet mediaPaul_Makubi tweet media
Indonesia
2.2K
1.5K
1.8K
228.6K
Fumbo Khan
Fumbo Khan@fumbokhanJr·
Azizi Ki, Chama na Dube in one team. Hichi kitu Tff inabidi waingilie kati we can't accept such kind of terrible combination 😭😭
Fumbo Khan tweet media
English
33
26
1.5K
56.3K