Michael Mafuru

5.9K posts

Michael Mafuru banner
Michael Mafuru

Michael Mafuru

@M_Mafuru

Born to Love & Help Others |Mafuru Foundation |A Better Life For All |[email protected]

Tanzania Katılım Ekim 2010
956 Takip Edilen3.6K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
Michael Mafuru
Michael Mafuru@M_Mafuru·
Tunamtumikia Mungu kupitia watu.
Michael Mafuru tweet media
Indonesia
3
6
37
1.8K
Michael Mafuru
Michael Mafuru@M_Mafuru·
Tunaendelea na ujenzi wa choo ambacho ndugu yetu Baraka alituomba tumsaidie, baada ya choo chake cha kwanza kubomoka, sasa anajisitiri kwa majirani, na tupo kwenye stage ya finishing ambayo ilikuwa ni shimo la choo, kumuwekea milango na kuezeka bati, vyote hivyo vilihitaji 1,000,000Tsh. kukamilisha. slide ya 02, tupo kwenye ujenzi wa shimo la choo! _ Tumebakiza 500,000Tsh. tu, unaweza kuchangia chochote ulicho nacho ili tukamilishe ujenzi wetu, maana ni ndugu yetu na kutokana na hali yake hawezi kumudu ghalama za choo, Mungu akubariki wewe ambae umetufikisha hapa na akujaze tena mahali ulipopunguza. _ Number za kutuma Sadaka yako kwa ajili ya Baraka: Mpesa Lipa Number #58240194 Mpesa #0748618888 Airtel Money #0695152598 Name: Mafuru Foundation. _ Mungu awabariki sana, 🙏🏾
Michael Mafuru tweet mediaMichael Mafuru tweet media
Filipino
0
4
15
1K
Michael Mafuru
Michael Mafuru@M_Mafuru·
Social Test: Part 66 - Tunawafundisha wadogo zetu kuwa na roho ya upendo na moyo wa upendo.
Filipino
0
0
3
58
Michael Mafuru
Michael Mafuru@M_Mafuru·
Social Test: Part 65 - Imagine mtu anataoka ndani na mtoto huku mvua inanyesha kwenda kuitafuta elfu 4, na bado hajaona shida kunisaidia, Mungu awalinde wapambanaji wote!
Filipino
1
0
9
203
Michael Mafuru
Michael Mafuru@M_Mafuru·
MOYO WA SHUKRANI: Amhurumiaye maskini humkopesha Bwana; Naye atamlipa kwa tendo lake jema. - Mithali 19: 17 _ Bado 940,000Tsh. Tumalizie hii project ya kumjengea choo na bafu ndugu yetu Baraka, tutumie chochote, jaribu kumkopesha Mungu kwenye hili. _ Number za kutuma Sadaka yako kwa ajili ya Baraka: Mpesa Lipa Number #58240194 Mpesa #0748618888 Airtel Money #0695152598 Name: Mafuru Foundation. _ Mungu awabariki sana, 🙏🏾
Indonesia
0
9
39
515
Michael Mafuru
Michael Mafuru@M_Mafuru·
@fintanjr_ Hao makamanda waliokuwa wanataka kumuua jamaa ili kufuta kizazi chake, mbingu wataisikia kwenye bomba 😂😂
Indonesia
1
0
0
10
The champ👑
The champ👑@fintanjr_·
Nakumbuka Baada ya kumaliza form 6, nikajikaza kwenda kureport kambi moja kule songea, kama mnavyojua " mujibu wa sheria".. Tukareport , picha linaanza tumelala saa 6 saa 7 tunaambiwa kumekucha,. Unajiuliza kumekucha vipi na hili giza, wanasema hilo giza ndio kukucha kwenyewe,.. Bhasi bhana kati ya tulioreport alikuwepo jamaa ana kichwa kirefu, hakuwa mlemavu ila alikuwa na kichogo kirefu,..wakawa kila muda wanampiga makofi , wanamwambia wanataka wamuue ili asije akaendeleza kizazi chake😂💔,.. jamaa mwisho akatoroka usiku sana ..
Indonesia
143
63
541
28.1K
Michael Mafuru
Michael Mafuru@M_Mafuru·
Social Test: Part 64 - Watu wenye roho nzuri na moyo wa upendo bado wapo, tuendelee kuwa support na kuwaonyesha upendo!
Filipino
0
0
10
223
Michael Mafuru
Michael Mafuru@M_Mafuru·
Part 03: Ujenzi wa choo na bafu unaendelea kwa ajili ya ndugu yetu baraka unaendelea, kimefikia hapa. Baada ya hapa inabidi lichimbwe shimo kubwa jingine, tununue tofari za brock za kujengea shimo na kumuezekea paa, na kumuwekea milango kiwe choo cha kisasa kabisa. _ Sehemu iliyobaki inahitajika 1,000,000Tsh. kwa ajili shimo la maji machafu, kumuezekea paa, na kumuwekea milango. hii ndio stage ya mwisho ili tukamkabidhi Baraka choo chake. maana ilitakiwa shimo la zamani litumike ila imeshindikana kutokana na mazingira ikabidi mti ukatwe ili kuchimba shimo jipya. _ Naamini wapo watu walitamani nao watoe Sadaka zao kwenye huu ujenzi basi ikiwa umeguswa unaweza kututumia chochote ili tukamilishe ujenzi wa choo na bafu kwa ajili ya Baraka. _ Number za kutuma Sadaka yako kwa ajili ya Baraka: Mpesa Lipa Number #58240194 Mpesa #0748618888 Airtel Money #0695152598 Name: Mafuru Foundation. _ Mungu awabariki sana, 🙏🏾
Indonesia
0
9
43
666
Michael Mafuru
Michael Mafuru@M_Mafuru·
Kindness: Part 08 - Hakuna mtu hapa duniani alizaliwa kwa bahati mbaya na hakuna mtu hapa duniani unakutana nae kwa bahati mbaya, hakuna jambo hapa duniani linatokea kwa bahati mbaya, yoyote unaekutana nae ipo sababu na jambo lolote unalokutana nalo ipo sababu pia. _ Kabla ya kuanza kulalamika mahali ulipo au jambo lililokutokea kama bado upo hai mshukuru Mungu kwanza sababu kama bado unapumua ni ishara kwamba hilo tatizo utalimaliza kwa msaada wa Mungu. _ Tunakutanisha na watu wengi sana ambao wanapitia changamoto za maisha na wengine ni Malaika ili tujifunze maisha kuwa wanyenyekevu na wenye mioyo ya shukrani. TUNAMTUMIKIA MUNGU KUPITIA WATU. #kindness #ukarimu
Indonesia
0
2
8
136
Michael Mafuru
Michael Mafuru@M_Mafuru·
Social Test: Part 63 - Mama kidogo afeli, na hata kilichotokea mwishoni hakuamini macho yake!
Filipino
0
3
7
265
Michael Mafuru
Michael Mafuru@M_Mafuru·
Part 02: Ujenzi wa kumjengea Baraka Choo na Bafu, zote hizi ni Sadaka zenu, Mungu awabariki sana. TUNAMTUMIKIA MUNGU KUPITIA WATU. #kindness #ukarimu
0
15
113
1.3K
Michael Mafuru
Michael Mafuru@M_Mafuru·
Part 01: Kazi ya kumjengea Baraka Choo na Bafu, baada ya kukamilisha michango imeanza rasmi, Mungu awabariki sana wote mliofanikisha hili, Sadaka zenu hazijaenda bure!
0
3
15
165
Michael Mafuru
Michael Mafuru@M_Mafuru·
Tumekamilisha 1,500,000Tsh. Kwa ajili ya kumjengea Choo na Bafu ndugu yetu Baraka, Mungu awabariki sana, kuamua kumtumikia Mungu kupitia watu, kupitia Sadaka zenu mnaenda kubadirisha maisha ya hii familia, kilio chao kilimfikia Mungu nae akamkumbuka kupitia ninyi.
Michael Mafuru tweet media
Indonesia
3
34
165
2.1K
Michael Mafuru
Michael Mafuru@M_Mafuru·
Neno hill likatimie kwa kila mmoja aliyetoa Sadaka yake kwa ajili ya ndugu yetu Baraka. _ Azikumbuke sadaka zako zote, Na kuzitakabali dhabihu zako. Akujalie kwa kadiri ya haja ya moyo wako, Na kuyatimiza mashauri yako yote. - Zaburi 20:3-4 _ TUNAMTUMIKIA MUNGU KUPITIA WATU
Indonesia
0
0
0
62
Michael Mafuru
Michael Mafuru@M_Mafuru·
kwa binadamu wenzao. MUNGU AWABARIKI SANA WOTE MLIOTOA SADAKA ZENU KWA AJILI YA BARAKA. _ Number za kutuma Sadaka yako kwa ajili ya Baraka: Mpesa Lipa Number #58240194 Mpesa #0748618888 Airtel Money #0695152598 Name: Mafuru Foundation. _ Mungu awabariki sana, 🙏🏾
Indonesia
0
0
1
50
Michael Mafuru
Michael Mafuru@M_Mafuru·
Mungu anajua kwamba unamdai nae atakulipa kwa uaminifu wako. _ Number za kutuma Sadaka yako kwa ajili ya Baraka: Mpesa Lipa Number #58240194 Mpesa #0748618888 Airtel Money #0695152598 Name: Mafuru Foundation. _ Mungu awabariki sana, 🙏🏾
Indonesia
0
0
0
37
Michael Mafuru
Michael Mafuru@M_Mafuru·
ya Baraka na Mungu asiwapungukie mahali popote mlipopunguza kwa ajili ya wahitaji wake. _ Asante sana kaka yangu JAMES tumepokea Sadaka yako ubarikiwe sana na Mungu akujaze tena mahali ulipopunguza akapajaze mara 100, Sadaka hii ikawe baraka kwa vizazi vyako vijavyo.
Indonesia
0
0
0
37