Sabitlenmiş Tweet
Pharm Madawa💊💊💉
1.7K posts

Pharm Madawa💊💊💉
@MachangePraygod
Voice for the voiceless. Napenda ushauri, lakini usinilazimishe niishi kwa kufwata ushauri wako.nawapenda wanaojadili hoja kuliko wanajadili vihoja.
Tanzania Katılım Aralık 2015
447 Takip Edilen126 Takipçiler

Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo, Paul Makonda, amewasili Bungeni hii leo akiwa ameambatana na nyota wa soka duniani, Didier Drogba, kwa ajili ya kuwasilisha Bajeti ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kwa mwaka wa fedha 2026/2027.
Katika tukio hilo la kipekee, begi la bajeti ya Wizara hiyo limebebwa na Drogba, jambo lililovutia hisia za wengi kwani kwa kawaida mawaziri ndio hubeba wenyewe begi hilo la Bajeti.
#MillardAyoUPDATES
Indonesia
Pharm Madawa💊💊💉 retweetledi

@Iam_Malunguja Yani ni kamzozo haswa, Tz tunapenda kujifunza sehemu zisizo rasmi
Indonesia

@TMnyama4_ Ukipitia comment za watu utagundua wengi wanakimbiliaga kutoa comment kabla awajamaliza kusoma andiko la mtu.
Indonesia

Coment ambayo haitapata reply wala like mpaka kesho muda kama huu itaondoka na kuku kutoka kwa @makumbawaleo_5n .
Kwa Dar es salaam tutafanya delivery, kwa mkoani utapata fedha taslimu Tsh 25k. Kila la heri 🫵.


Burundi 🇧🇮 Filipino

@AmRosalinee Me hata baba yangu sisemi shikamo Baba ni shikamo mzee, mama shikamo maza. Zaidi ya hapo naona kama nimenyenyekea sana kiasi cha kunitweza.😀😀
Filipino

@SuphianJuma Sasa mbona mnaangaika na kakikundi kaduchu, kapotezeni dealini na hilo kundi kubwa
Filipino

@ReganTesla_ Pole sana bro. Mwenyezi Mungu aendelee kuwa msaada wako wakati wote.
Indonesia

@MachangePraygod @MangiwaKwanza1 Na wew matumizi ya "A" na "H" hujui pia🤣
Indonesia

Nakumbuka 2020 tuliwahi kamatwa kisa hatujavaa element mitaa ya Manzese, wakachukua boda zetu tukapelekwa kituoni tukawekwa sero tukaambiwa tutoe faini 50k kuna boda mmoja akasema ambaye ajiwezi atoe hiyo pesa kama unaweza kukaza kaza watatutoa wenyewe hawa bila pesa, tulikamatwa saa tano mpaka saa kumi bado tupo ndani kmmk wahuni baadhi uvumilivu ukawashinda wakaanza kuomba simu washikaji zao wawatumie pesa, tukabaki mtu tano 🤣 mida saa tatu usiku afande anakuja kwa hiyo nyie ndo amna pesa mtalala hapa, kuna boda mmoja akasema tuna pesa za boss we tuachie tu, afande akatuangalia akaishia kucheka akatutukana tu wasenge nyie siku nyingine mfate sheria mmeona mmejiaribia siku akatuluhusu tuondoke😆
Narrowbeefly@Narrowbeeflying
Polisi wakikuweka Sero halafu wakajua kwenu hamna ela hawakupi simu uwapigie nyumbani, utawekwa viboko mpaka ushangae 😂😂
Indonesia

@HecheJohn Kwahiyo hamtaki apelekwe mahakamani eenh? kikulacho kinguoni mwako.
Filipino

Kitendo cha Magereza na Mahakama kumpeleka Mwenyekiti wetu mahakamani bila taarifa ya mawakili wa chama na chama ni aibu na kutia mashaka sana .
Tumezuiliwa kumuona kiongozi wetu kwa miezi Karibia sita kinyume cha sheria..
Sasa anapelekwa mahakamani kwa siri na kificho nia yenu ni ipi?
Lissu ni kiongozi wa umma haiwezekani kumfanyia mambo ya ajabu kama haya.
Indonesia

@millardayo Mmomonyoko wa maadili katika familia nyingi ni kutokana na serekali mbovu isiyotokana na wanachi, serekali yenye kujijali yenyewe kuliko wananchi wake, serekali iliyojaa rushwa na ubazirifu, ukatili kwa raia wake wenye kujua haki zao.
Indonesia

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda amesema kuwa wakati Wananchi wengi wakijikita katika mijadala ya kisiasa, hali halisi ndani ya Familia nyingi inaendelea kuzorota kimya kimya bila kupewa uzito unaostahili, na kueleza kuwa changamoto za kifamilia zimekuwa zikifichwa na wengi, jambo linalochangia kuendelea kwa matatizo ya mmomonyoko wa maadili na vitendo vya kikatili katika kijamii.
Makonda ametoa kauli hiyo leo Aprili 29, 2026 Jijini Dodoma katika uzinduzi wa Mkakati wa Taifa wa Kukabiliana na Mmomonyoko wa Maadili, ambapo ameongeza kuwa baadhi ya Watu ndani ya ndoa wanaendelea kuvumilia hali ngumu kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo uwepo wa Watoto na hofu ya maisha, huku wengine wakiingia kwenye msongo wa mawazo kutokana na gharama walizowekeza katika mahusiano yao.
“Hata wale ambao wapo kwenye ndoa bila kuongelea utafiti lakini ukweli usiofichika ni kwamba wengine wanavumilia tu kwa sababu wana Watoto, wengine wana hofu hawaamini hata kama wale Watoto ni wao, kwahiyo wanaishi na 'depression' kwa sababu akiangalia gharama alizokuwa nazo, wengine wanasomesha Watu wakimaliza kusoma Watu wanawaacha, mnakumbuka tulimuona baba mmoja anacheza muziki jasho linamtoka lakini maneno yake yale anayosema iliashiria kuna maumivu makubwa aliyokuwa nayo moyoni hasa kupitia kuuza nyumba zake,"
"Kwahiyo unaweza kuona namna gani ambavyo janga hili linaweza lisionekane ni kubwa kwa sababu vitu hivi havisemwi sana vinawekwa kwenye kapeti, Watu wako bize kushutumiana kwenye mambo ya Uongozi ya kisiasa lakini huku kwenye Familia zetu hali ni mbaya zaidi” amesema Makonda. #MillardAyoUPDATES

Indonesia

@MachangePraygod Ukiwa na 600k - 800k huwezi kukosa.
Indonesia

@Wakazi Huu ni mwaka 2026 lakini kwenye vichwa vya ccm ni mwaka 1945 that why wanatuchukulia kama Nguchiro.
Indonesia

CHANDE’S REPORT: A MERE COINCIDENCE OR GOD’S IRONY?!
Kama kuna mtu alikuwa anahitaji ufananuzi wa Kwanini Watu wanasema “Hatutaki CCM”, “Samia Must Go”, na “Serikali Haramu”, basi ripoti ya Chande ni kielelezo tosha.
MOJA, Mtuhumiwa Mkuu ndio anaunda Tume; same way miaka yote CCM haijaleta maendeleo sustainable ila imeendelea kushika Madarakani.
MBILI, wajumbe wa Tume kuwa na “Conflict of Interest”; sawa na wanaotuhumiwa kuwa Mafisadi na Wabadhilifu ndio wanaunda Serikali kila siku. Yule Tax anawezaje kuwa objective? Kweli Paul Makonda ni Waziri after proving how unethical & inhumane he is huko enzi za Magufuli?
TATU, Hadidu za Rejea zilikuwa hazi address REAL ISSUE, bali zinakwepa accountability na ku-undermine atrocities walizofanya; sawa na namna Ilani na Mipango ya CCM imekuwa Hayatekelezeki, Uongo na Propaganda. Yaani ni real life version ya Wimbo wa Prof Jay wa “Ndio Mzee”. Kila uchaguzi Wanakuja na ahadi ya kuleta hiki na kile as if Utawala uliopita hawakuwa wao na hawakutenda.
NNE, Siku 90 za Kazi hazikutosha na zikageuka 160, na bado kazi ikaja mbovu; sawa na jinsi utendaji wa serikali za CCM ume-prove kuwa Incompetent. I mean ingawa serikali ya sasa ni haramu, ila hata wao ukiuliza siku 100 za kwanza wamefanya nini, HAKUNA zaidi ya kufanya birthday party Kizimkazi, na kubadilisha baraza la mawaziri na kutoa matamko tu.
TANO, Tume kutoa Takwimu na Taarifa za Uongo; ni sawa na viongozi wa Serikali kutuongopea kila siku. Yaani mtu anasema “video za mauaji zilikuwa ni za Gaza”. Haina tofauti na Rais anasema “Bei ya Mafuta ya Tanzania ni ndogo kuliko Marekani”, au Mwigulu anavyodai “Wanalipwa Kuvuruga Amani”.
TUME was a disgrace from day one, but now it came with results that are insulting our intelligence, and proving how inhumane & disregarding they are, to human life, rights & decency. Wameaibisha Profession, Legacy na Integrity zao. KILA WALILOFANYA NA KUSEMA LIMEAKISI NA KUSHABIHIANA NA SERIKALI YAO HARAMU. Bahati yao Mbaya ni kwamba Watanzania sio Wajinga tena… MTAJUTA KUTUSOMESHA!!
The Leader




Filipino

@Adventure_36 Hata kama umefiwa na mume na unakiasi chote hicho cha fedha wewe sio mjane, soma biblia vizuri. Msitumie neno mjane kutaka huru ya umma
Indonesia

@mananajr_ Kulipia maji kwa wakati? Alimind akaondoka kwa hasira akavizia muda ambao sipo akaja kukata maji.
Indonesia

@mananajr_ Alishawai kuja mtu wa Dawasco anatishia kukata maji kisa tumekaa wiki moja tokea bill ya maji itoke atujalipa kitu ambacho sio shida, nikamuuliza unahifahamu sheria ya huduma kwa umma? Unafahamu wajibu wako kama afisi wa Dawasco kwa mtu ambaye ameshindwa 👇
Indonesia














