Macjackson

251 posts

Macjackson

Macjackson

@MacjacksonW

I don’t look back unless it’s a good view,expert in space exploration& # believer ⛪ 💒 ☦

Pretoria Katılım Ağustos 2021
338 Takip Edilen17 Takipçiler
Macjackson
Macjackson@MacjacksonW·
@CloudsMediaLive Elimu ya Tanzania bado sana hadi Leo wanafunzi wa sekondari wanafundishwa kwanini chupa ya chai haipoozi chai , wakati huko duniani watu wanasoma teknolojia
Indonesia
0
0
0
45
Clouds Media
Clouds Media@CloudsMediaLive·
"Upande wa elimu mazingira ya Ushindani yamekuwa yakibadilika, Teknoloji pia ikibadilika mara kwa mara hivyo Elimu yetu inatakiwa kuwa inaangalia mazingira halisi na ndio maana unakuta kunakuwa na mapitio ya mitaala yetu ya mara kwa mara. Lakini kunatakiwa kuwa na ushirikiano kati ya Waajiri na Taasisi zinazotoa Elimu ili kufanya kazi kwa pamoja. Hivyo ni vyema vijana kuwa wanapata mafunzo wakiwa bado masomoni na wanapofanya mafunzo mapungufu ambayo yanaonekana kwenye elimu yetu yatajitokeza kabla hawajamaliza hivyo wanaporudi chuoni kunakuwa na nafasi angalau ya kuhakikisha ule ubora wa Elimu unaendana na mahitaji ya soko" - Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu - Prof. Joyce Ndalichako
Clouds Media tweet media
Filipino
3
5
265
8.4K
Macjackson
Macjackson@MacjacksonW·
@millardayo Sasa hii habari inamsaada gani ,? Mbona nikitu chakawaida ! USHAMBA TU .
Indonesia
0
0
0
189
millardayo
millardayo@millardayo·
Ndege kubwa ya Airbus A380 ya Emirates ikitokea São Paulo Brazil kwenda Dubai ikiwa na Abiria 514 imetua kwa dharura Dar es salaam jioni ya leo ili kuongeza mafuta ya kukamilisha safari yake iliyorefushwa kutokana na anga la Sudan kufungwa. #MillardAyoBREAKING
millardayo tweet media
Filipino
139
120
3K
229.7K
Msomi Khan
Msomi Khan@MsomiKhan18·
Degree ya Chuo gani inaheshimiwa Saana Mtaani? 1. IFM 2. SAUT 3. UDOM 4. UDSM
Filipino
183
19
349
49.6K
Macjackson
Macjackson@MacjacksonW·
@VP It's honour to have Very social leader from USA 🇺🇸 # Kamala Harris
English
0
0
2
227
Vice President Kamala Harris Archived
Bruno named his farm Panuka, which means "be clever." His climate-proof farming techniques are a model for the world — and remind us what's possible when we innovate and dream big.
Vice President Kamala Harris Archived tweet media
English
975
952
6.3K
644.2K
Macjackson
Macjackson@MacjacksonW·
@INFLUENCERjr Sammata na grealish wap na wap watz punguzen sifa zisizo na maana
Filipino
0
0
1
44
WHYMYCATISSAD
WHYMYCATISSAD@INFLUENCERjr·
Kwahiyo huyu ndio mlikuwa mnalalamika anambania Samatta?
WHYMYCATISSAD tweet media
Dar es Salaam, Tanzania 🇹🇿 Filipino
33
19
1.1K
49.5K
Macjackson
Macjackson@MacjacksonW·
@kin_donn Ajax msenge kaninyima 5.7M kwel betting itakuwa dhambi
Indonesia
0
0
0
38
Donn
Donn@kin_donn·
Sina maneno mengi Ajax anakatwa mbwa yule
Donn tweet media
Indonesia
10
4
49
3.5K
Maulid Kitenge
Maulid Kitenge@mshambuliaji·
Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump (76) amefunguliwa Mashtaka kwa makosa ya uhalifu uliotokana na kumlipa pesa Muigizaji wa Sinema za watu wazima Bi.Stormy Daniels (44) ili kumnyamazisha. Jopo la Majaji Jijini New York walipiga kura ya kumshtaki Trump kwa makosa ya kumlipa Muigizaji huyo takribani dola za kimarekani 130,000 wakati wa kampeni za Urais za mwaka 2016. Inasemekana kuwa Bi.Daniels alilipwa pesa hizo ili asitoe siri kuhusu kukutana kwao kimwili jambo ambalo mwanamama huyo anasema lilitokea miaka ya nyuma. Trump anakuwa ni Rais wa kwanza wa zamani (na hata aliye madarakani) katika historia ya nchi hiyo kushtakiwa Mahakamani. Mashtaka hayo ambayo yatatangazwa rasmi katika siku chache zijazo yamekuja wakati mwanasiasa huyo akiwania kugombea tena Urais mwaka 2024. Trump amesema hana hatia yoyote na Mashtaka hayo ni ya kisiasa zaidi huku wanasheria wake wakiapa kupambana kwa nguvu zote katika kesi hiyo. #KitengeUpdates
Maulid Kitenge tweet media
Dar es Salaam, Tanzania 🇹🇿 Indonesia
46
36
1.5K
152.8K
Maulid Kitenge
Maulid Kitenge@mshambuliaji·
Rais @SuluhuSamia mchana huu leo Machi 30, 2023 amempokea Makamu wa Rais wa Marekani, Bi. Kamala Harris Ikulu Jijini Dar es Salaam. Bi. @KamalaHarris yuko nchini kwa ziara ya siku tatu ambapo pamoja na mambo mengine anatarajiwa kusaini mikataba ya ushirikiano baina ya Tanzania na Marekani. #KitengeUpdates
Maulid Kitenge tweet media
Dar es Salaam, Tanzania 🇹🇿 Indonesia
32
33
1.3K
49.3K
Macjackson
Macjackson@MacjacksonW·
@elonmusk @cb_doge Neural link already releases program that's quite sleeping in human being and that's one Elon uses!
English
0
0
0
21
Macjackson
Macjackson@MacjacksonW·
@swahilitimes Hv nakosa chakusema huku kwetu umeme tu wakuendesha viwanda vya keki unatushinda tutaweza kwel kuwauzia SA
हिन्दी
0
0
0
6
Macjackson
Macjackson@MacjacksonW·
@kin_donn Timu za Italy hazifai unaweza ipa over 0.5 na isipate goli au unaipa under 3.5 anashinda 6
Indonesia
2
0
2
53
ChichaMandi
ChichaMandi@Jumaallymwiguru·
Mwamba Huyu Hapa Anaitwa KOBOKO ✍🏿Ana Urefu Wa Mita 18 Lakini Akiona Adui Anarefuka Na Kufikia Mita 50 Yaani Nusu Ya Urefu Wa Uwanja Wa Mpira Wa Miguu. ✍🏿Ana Rangi Ya Kahawia Akitulia Lakini Akihisi Adui,Anabadilika Na Kuwa Rangi Ya Kijivu. ✍🏿Ana Sumu Inayotembea Kwa Kasi Ya 👇🏿
ChichaMandi tweet media
Indonesia
217
56
870
103.9K
Macjackson
Macjackson@MacjacksonW·
@Benjaminkamo That code is like a watermark of the provider to ensure no one broadcast that particular channel in that region
English
1
0
5
1.4K
National Geographic
National Geographic@NatGeo·
A hippopotamus partially submerged in the Mara River in Serengeti National Park, Tanzania
National Geographic tweet media
English
26
165
2.3K
383.7K
Macjackson
Macjackson@MacjacksonW·
@kingshine_tz Eehhh!! Hii nchi ngumu sana wanaupiga mwingi au tukacheki kwenye VAR?
Indonesia
1
0
1
9
KINGSHINE TZ🇹🇿
KINGSHINE TZ🇹🇿@kingshine_tz·
2 billions Tz 😂😂😂 Kwa daraja hili Mungu anawaona
KINGSHINE TZ🇹🇿 tweet media
Indonesia
2
3
33
685