mackdeo Mackeja shilinde

40.2K posts

mackdeo Mackeja shilinde banner
mackdeo Mackeja shilinde

mackdeo Mackeja shilinde

@MackdeoShilinde

MD@deojr(T)ltd

dar es salaam Katılım Aralık 2014
1.5K Takip Edilen1.7K Takipçiler
mackdeo Mackeja shilinde
mackdeo Mackeja shilinde@MackdeoShilinde·
Balozi Maulidah, ametoa pia shukrani za dhati kwa Mheshimiwa Sayyid Badr bin Hamad Al Busaidi kwa mapokezi mazuri aliyoyapata wakati wa kuwasilisha nakala za Hati na ameahidi kufanya kazi kwa ukaribu ili kuimarisha na kukuza ushirikiano wa nchi mbili.
Indonesia
0
0
0
10
mackdeo Mackeja shilinde
mackdeo Mackeja shilinde@MackdeoShilinde·
Aidha, Balozi Maulidah Hassan amepongeza mchango mkubwa wa kidiplomasia wa Oman katika juhudi za amani Mashariki ya Kati, na kusisitiza uungaji mkono wa Tanzania katika kuleta amani na utulivu duniani.
Indonesia
1
0
0
13
mackdeo Mackeja shilinde
mackdeo Mackeja shilinde@MackdeoShilinde·
BALOZI MAULIDAH HASSAN AWASILISHA NAKALA ZA HATI ZA UTAMBULISHO KWA WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA OMAN. Balozi Maulidah Hassan, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Oman, leo amewasilisha nakala za Hati zake za Utambulisho kwa Mheshimiwa Sayyid Badr bin Hamad Al Busaidi,
mackdeo Mackeja shilinde tweet mediamackdeo Mackeja shilinde tweet mediamackdeo Mackeja shilinde tweet media
Indonesia
1
0
1
12
mackdeo Mackeja shilinde
mackdeo Mackeja shilinde@MackdeoShilinde·
Jimbo la Busanda utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi 2025-2030 Sera ya Afya ya Msingi Zahanati kila Kijiji, Kituo cha Afya kila kata. Mhe Rais Dr Samia Suluhu Hassan anatimiza haya kwa Vitendo. Kazi Na Utu Tunasonga Mbele 🇹🇿.
Indonesia
1
0
0
19

14
mackdeo Mackeja shilinde
mackdeo Mackeja shilinde@MackdeoShilinde·
*Tanzania Ipo Salama Mikononi mwa Chama cha Mapinduzi - Mchungaji Msigwa*
HT
0
0
1
9
mackdeo Mackeja shilinde
mackdeo Mackeja shilinde@MackdeoShilinde·
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo imeiagiza Wizara ya Viwanda na Biashara kupitia Wakala wa Vipimo (WMA) kuanza kuhakiki vipimo vinavyotumika katika huduma za muda wa maongezi na bando za intaneti ili kuhakikisha wananchi wanapata thamani halisi ya
Filipino
1
0
1
4
mackdeo Mackeja shilinde
mackdeo Mackeja shilinde@MackdeoShilinde·
*KAMATI YA BUNGE YATAKA UHAKIKI WA MATUMIZI YA MUDA WA MAONGEZI NA BANDO ZA INTANETI*
Indonesia
1
0
1
9
mackdeo Mackeja shilinde
mackdeo Mackeja shilinde@MackdeoShilinde·
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki zinapaswa kuendelea kushirikiana kulinda na kulihifadhi Ziwa Victoria kwa kuwa ni rasilimali muhimu inayogusa maisha, uchumi na mustakabali wa mamilioni ya wananchi wa ukanda huo.
Indonesia
0
0
0
6
mackdeo Mackeja shilinde
mackdeo Mackeja shilinde@MackdeoShilinde·
*DKT. MWIGULU ATAKA ULINZI NA UHIFADHI WA ZIWA VICTORIA* _▪️Asisitiza ushirikiano wa kikanda katika kulinda rasilimali za ziwa_ _▪️Aagiza kuimarishwa kwa mifumo ya uokoaji na usalama majini_ _▪️Ataka matumizi ya teknolojia katika usimamizi wa rasilimali za maji_
mackdeo Mackeja shilinde tweet mediamackdeo Mackeja shilinde tweet mediamackdeo Mackeja shilinde tweet mediamackdeo Mackeja shilinde tweet media
Indonesia
1
0
1
24
mackdeo Mackeja shilinde
mackdeo Mackeja shilinde@MackdeoShilinde·
akieleza kuwa wananchi wamemtuma kutoa shukrani zao kutokana na kazi kubwa zinazofanyika.
Polski
0
0
0
6
mackdeo Mackeja shilinde
mackdeo Mackeja shilinde@MackdeoShilinde·
Mbunge wa Jimbo la Hai, Saashisha Mafuwe, ameipongeza Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo katika jimbo hilo,
Indonesia
1
0
0
6
mackdeo Mackeja shilinde
mackdeo Mackeja shilinde@MackdeoShilinde·
*MBUNGE WA HAI AISIFU MIRADI YA RAIS SAMIA, AKIIPONGEZA WIZARA YA UJENZI*
Indonesia
1
0
1
24