chaupole

20.2K posts

chaupole banner
chaupole

chaupole

@MagrethMtemi

A Dief | Lady with Christ |I'm not lucky,I'm totally blessed

Mwanza, Tanzania Katılım Ağustos 2019
249 Takip Edilen999 Takipçiler
Nkota
Nkota@xlusako·
Huyu akiungua alafu aletewe Janabi anaweza kimbia Dar-Namanga nonstop
Nkota tweet media
Indonesia
16
10
218
15.4K
chaupole retweetledi
Holy
Holy@yose_hoza·
Mtegemee Mungu nyakati zote hatakuacha.
Indonesia
2
7
40
464
Myunani
Myunani@MaxTz255_·
Misconception zilizopo Mtaani Commonly 1. Kutokula Mchana Kunasababisha Vidonda vya Tumbo 2. Azuma Ni Dawa Ya UTI Sugu 3. Ukiumwa Na Nyoka Funga kwa Juu sehemu ulipoumwa 4. Dawa za Minyoo lazima Zimezwe Asubuhi sana kabla Ya kula chochote 🫵😂 5.UTI ni Sexual Transmitted infection (STI's) 6.Kumpa maziwa au maji Mtu aliyekunywa Sumu 7.Kila Homa Ni Malaria 8.Flagyl (Metronidazole) inatumika Kutoa Mimba 9.Mkojo Usipofanana Na Maji ukiwa na Rangi Nyingine (pale yellow) wanakuambia Ni Mchafu ( anadaka Azuma )
Filipino
21
17
185
30.6K
Kaji 🎬
Kaji 🎬@kaji_sijo·
Imagine mtu anapata supp mpaka Communication Skills, mpaka unajiuliza huyu chuo alifikaje?😅😅
70
50
691
36.3K
chaupole retweetledi
Holy
Holy@yose_hoza·
Tutazamie kwa furaha ujio wa mwokozi.
Indonesia
0
4
9
238
chaupole retweetledi
Holy
Holy@yose_hoza·
Kwa msaada wa Mungu tushinda ya dunia.
Indonesia
0
4
8
254
chaupole retweetledi
Holy
Holy@yose_hoza·
Elimu ya afya ya uzazi ianzie ngazi za chini ili kuongeza uelewa na kuwasaidia vijana kufanya maamuzi sahihi. #Youth4ICPD30
Holy tweet media
Indonesia
1
11
17
599
chaupole retweetledi
Holy
Holy@yose_hoza·
Sadaka yako iliko ndiko na moyo utakapokuwa. Kama hujafanikiwa kufika ibadani, Mtolee Mungu kwa Simbanking Fungua Simbanking piga *150*03# 👉 Chagua 3 SADAKA 👉 Chagua 1 Toa sadaka 👉 Chagua 1 binafsi Weka namba ya nyumba ya ibada ya benki #BenkiNiSimbanking #TushavukaHuko
Indonesia
3
19
23
1.9K
chaupole retweetledi
Holy
Holy@yose_hoza·
Disemba ni kuchangamka Santa Rapa wa CRDB anakuambia kila unapofanya miamala na kulipia bills tisha na Simbanking kabla mwaka haujaisha kuna Toyota Harrier Anaconda mpyaaa kwa ajili yako Tisha ushinde #TushavukaHuko
Filipino
3
16
15
993
chaupole retweetledi
Holy
Holy@yose_hoza·
Mwanamke vuka mwaka kishujaa. Fungua Hodari akaunti ya CRDB isiyo na makato, utapata ✅ TemboCard ✅ Lipa Hapa bure ✅ Mkopo hadi 50M Ni wakati wa kuvuka vikwako na kujiimarisha kiuchumi #TushavukaHuko
Holy tweet media
Indonesia
4
22
24
763
Jay~Umeme⚡
Jay~Umeme⚡@JayUmeme·
Poleni sana aisee
chaupole@MagrethMtemi

@Bravo6xGoinDark @JayUmeme Nmetoka Geita basi likaishia hapo Usagara kwenye vurugu. Nimepigwa mabomu jamani nikalia mpaka sauti ikapotea 🥲 jioni Polisi na wanajeshi walipofika nikachukua boda boda mpaka Ngudu. Nafika nimeloa balaa na nikakaa masaa machache tu Nyumbani tukapata msiba 💔😭

Eesti
1
0
2
95
Jay~Umeme⚡
Jay~Umeme⚡@JayUmeme·
Hapa wakazi wa Mwanza kama unamiliki mtungi wa hivi na hauna risit wajuba wakija wanaweza kusepa na wewe😀🚮
Indonesia
6
1
9
1.2K
Franklin Tissa
Franklin Tissa@franklin_tissa·
Huyo mtoto anaezoa damu za Mama ake, amefanya usiku huu kuwa mgumu come on!! Kama Taifa kama tunaona haya na hatushtuki tuna shida mahali.
Filipino
22
186
781
19.6K
chaupole
chaupole@MagrethMtemi·
@Bravo6xGoinDark @JayUmeme Nmetoka Geita basi likaishia hapo Usagara kwenye vurugu. Nimepigwa mabomu jamani nikalia mpaka sauti ikapotea 🥲 jioni Polisi na wanajeshi walipofika nikachukua boda boda mpaka Ngudu. Nafika nimeloa balaa na nikakaa masaa machache tu Nyumbani tukapata msiba 💔😭
Indonesia
1
0
2
144