Advisor
4.1K posts


Mkurugenzi mkuu wa Travel Partner Limited Mfanyabiashara Erick Mashauri ambaye alilalamikiwa kwenye mitandao ya kijamii na raia wa uingereza ya kuwa anadaiwa kodi ya eneo lake katika wilaya ya Karatu Mkoani Arusha,hatimaye amezungumza nakusema kwamba hadaiwi kama ilivyoelezwa na kwamba alikodisha eneo hilo kwa kipindi cha miaka 15 nakuwekeza vitu mbalimbali
Hatua ya. Makalla imefikiwa wakati alipofanya kikao na kampuni hizo mbili kwenye Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Karatu, ambapo katika majadiliano yao ya kutafuta muafaka, pande hizo mbili zilishindwa kuelewana kama sehemu ya kutafuta usuluhishi wa mgogoro wao unaotokana na mwekezaji kuvunja mkataba na mpangaji kwa madai ya kutolipa kodi pango huku upande wa mpangaji ukidai haudaiwi kodi na mkataba wa miaka 15 umevunjwa kinyume na taratibu kipengele 6.4 cha mkataba
#MillardAyoUPDATES
Indonesia

𝐍𝐈𝐌𝐄𝐏𝐄𝐍𝐘𝐄𝐙𝐄𝐖𝐀 : James Temba alikua WINGA Kariakoo na pale IFM marafiki zake walimuonya aache kutapeli watu, kuna mtu (Apoli) alikua na ugomvi naye alimtapeli hela ya IPhone 17, walitafutana tangu Februari huenda jamaa kalipiza kisasi.
@tanpol Namba ya Apolo ninayo


Indonesia
Advisor retweetledi

@KennedyMmari Watanzania. Wanataka short cut...eti alikuja kulala tu hapa siku Moja.....upumbavu mwingi sana
Eesti

Mimi ninachoweza kusema kuhusu watanzania wenzangu, tabia ya uaminifu na uadilifu ni kama alien concept.
Karibu kila mtu utakayefanya nae biashara atakulaghai, atakutapeli au kukuibia. Karibu kila mtu utakayetaka kufanya nae kazi au kumuajiri atataka kufanya janja-janja na bado atake umlipe.
Kukosekana uadilifu kunaonekana kuanzia kwenye ngazi ndogo kwenye jamii na hata kubwa kwenye taifa. Ni endemic of its own kind.
Jeany@jeju_julius
Sisi Ngozi nyeusi muda Mwingine tuna Tamaa sana aisee Mzungu anaongea anaumia mpaka anataka kulia Ila Ee MUNGU amusaidie Tu hayo ni mawazo yangu 🤷♀️
Indonesia

@HecheJohn Hapana ....ni siku imemwendea hivyo...waliokatwa majina kwa kosa la kusingiziwa kutojua kusoma..ni hao hao WENGINE walishida 2014.....so inategemeana mchezo umeendaje...
Filipino

#TajiriLaKihaya
Leo kwenye Kongamano la Wasomi wa Vyuo Vikuu na Vyuo vya Kati Mkoa wa Dar es salaam…
Muda wa Lunch - nlipata wasaa wa Kua pale HighTable pamoja na KATIBU Mkuu wa CHADEMA na viongozi wengine…
Katika mazungumzo yetu Niseme kwamba JOHN MNYIKA ni TUNU ya CHADEMA… ni miongoni Kwa Viongozi waadilifu saana kwenye hii nchi…
Inabidi tumlinde Kwa wivu mkubwa saaana!

Indonesia

Huyu Mzungu Pori Tulimpokea Vizuri Tanzania Na Akapewa Nafasi Mbali Mbali Kama Balozi Haswa Kwenye Sekta Ya Utalii Lakini Huyu Mzungu Pori Ni Kama Katumwa Kuivuruga Tanzania Na Walio Mtuma.
Huyu Mzungu Amekua Ni Mtu Wa Kueneza Chuki Kwa Watanzania Dhidi Ya Serikali Yao Posti Zake Na Maneno Anayo Yatoa Ni Ya Uchochezi Tu' Huku Akijifanya Ana Uchungu Sana Na Watanzania,
Yes - Huenda Ana Uchungu Sana Na Tanzania Lakini Njia Anayo Pita Na Kufikisha Ujumbe Wake Ni Sahihi.!? Au Ndio Anaongeza Jazba Na Chuki Kwa Wananchi Na Serikali Yao! Huyu Sio Wa Kumpa Nafasi Hata Chembe Sababu Mwisho Wa Siku Yeye Yupo Ulaya Huko Na Watanzania Tunabaki Na Tanzania Yetu,
Kifupi Mtanzania Ndio Mwenye Tanzania Yake Mtanzania Ndio Anaamua Aiharibu Tanzania Yake Au Aijenge Lakini Sio Kwa Uchochezi Wa Mtu Wa Kufanya Kuja Tu,
Huenda Ni Kweli Kupitia Uchaguzi Mkuu Uliofanyika Mwezi OKTOBA 29/2025, Kuna Watu Waliumia Kwa Namna Moja Ama Nyingine Kutokana Na Vurugu Zilizo Tokea Lakini Watanzania Walisha Sahau Na Kuacha Maisha Mengine Yaendelee Lakini Yeye Yupo Ulaya Anachochea Tena Moto Ulio Zima Huyu Sio Mtu Sahihi,
Watanzania Tunapaswa Kuwapuuza Watu Kama Hawa Kwajili Ya Nchi Yetu. Ni Lazima Kujua Kwa Kila Mtanzania Ya Kwamba Hakuna Tanzania Nyingine Zaidi Ya Tanzania Hii Na Ukivuruga Amani Ya Tanzania Yako Ujue Kabisa Wewe Mtanzania Ndio Utakua Muhanga Wa Litakalo Kukuta. Tuache Kuendeshwa Na Ujinga Wa Mihemko Sababu Mwisho Wa Siku Wachochezi Kama Huyu Mzungu Pori Hawatakuwa Na Wewe Kwenye Matatizo Yako,

Indonesia

Sina huo muda..na mambo mengi binafsi ya kufanya na familia...am sorry✌️..next time labda
Big@Zephania_Ndaki
Kaka Angu @rollymsouth Njoo Kwa Speed Tutakulinda Kwa Wivu Mkubwa Mnoo!! Bora Wewe Ni Tetesi Za Maneno. Wao Tumewashudia Wanaenda Kwenye Event Zao, Tumewashudia Wameingia Studio Na Wasanii Hao Hao, Tumewashudia Wanafanya Promo Kwenye Medea. Alafu Wanasema Wanatafuta Ugali😁
Indonesia

@zoetjesheeftX Hii inaitwa HIJAMA..njia ya kusafisha mwili Kwa mwanaume ...wanawake wao wamewekewa njia hii kupitia hedhi(Period)...
Indonesia

‼️CONFIRMED‼️
Kuna mtu yupo Mahakamani kanijulisha kwamba amemuona Mhe. Lissu Mahakamani asubuhi hii.
Najiuliza kwanini Serikali haram imeamua kumpeleka Mhe. Lissu Mahakamani kimya kimya bila kuwajulisha Mawakili wake wala Chama?
Cc. Mhe. @HecheJohn @jjmnyika @rugemeleza

Indonesia

@AmRosalinee Ni maelezo mabaya uliyopewa na ukosefu wa adabu...
Indonesia













